kaka

Ricardo Izecson dos Santos Leite (Brazilian Portuguese: [hiˈkaɾdu iˈzɛksõ duˈsɐ̃tus ˈlejt͡ʃi]; born 22 April 1982), commonly known as Kaká (Portuguese: [kaˈka] (listen)) or Ricardo Kaká, is a Brazilian retired professional footballer who played as an attacking midfielder. Owing to his performances as a playmaker in his prime at A.C. Milan, a period marked by his creative passing, goal scoring and dribbles from midfield, Kaká is widely considered one of the best players of his generation. With success at club and international level, he is one of eight players to have won the FIFA World Cup, the UEFA Champions League and the Ballon d'Or.Kaká made his professional club debut at age 18 at São Paulo in Brazil in 2001, and his performances with the club led him to joining Serie A club AC Milan in 2003. In Italy, Kaká helped Milan finish runners up in the 2004-05 UEFA Champions League with him being the top assist provider of the tournament, and named the UEFA Club Midfielder of the Year. He led Milan to win the 2006-07 UEFA Champions League and was the tournament's top goal scorer. His performances saw him win the FIFA World Player of the Year, the 2007 Ballon d'Or, the UEFA Club Footballer of the Year and the IFFHS World's Best Playmaker awards. After six years with Milan, Kaká joined Real Madrid in 2009 for a transfer fee of €67 million, which was the second highest transfer fee at the time. However, after four injury troubled seasons in Spain, which saw his physical mobility rapidly decline, he returned to AC Milan for a single season in 2013, prior to joining MLS expansion club Orlando City. He initially returned to his former club São Paulo on loan, before relocating to the United States in 2015 and retiring in 2017.
Kaká made his debut for the Brazil national team in 2002, and was selected for their victorious FIFA World Cup squad that year, as well as the 2006 and 2010 tournaments. He was also a member of Brazil's 2005 and 2009 FIFA Confederations Cup-winning squads, winning the Golden Ball Award in 2009 as the tournament's best player.
In addition to his individual awards, between 2006 and 2009 he was named in both the FIFA World XI and the UEFA Team of the Year three times. In 2010, he was named in the A.C. Milan Hall of Fame. One of the world's most famous athletes during his playing career, Kaká was the first sportsperson to amass 10 million followers on Twitter. Off the field, Kaká is known for his humanitarian work, where he became the youngest ambassador of the UN World Food Programme in 2004. For his contributions on and off the pitch, Kaká was listed by Time as one of the world's 100 most influential people in 2008 and 2009.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuna binti anataka kufanya partnership (biashara) na wifi yake (mke wa kaka yake)

    Hapa ushauri unahitajika maana nimeshauri mpaka nimechoka. Kuna binti kaja kuniomba ushauri kuna biashara anatamani kufungua ila wifi yake yaani mke wa kaka yake anatamani kufanya naye partnership. Watu wenye uzoefu na biashara za kufanya na ndugu hili swala mnaweza kushauri vipi.
  2. JamiiForums Tanzania Kaka wa Tundu Lissu aibua masikitiko juu ya ukimya wa uchunguzi wa tukio la kupigwa risasi (Lissu) Dodoma

    Alute Munghwai, Kaka wa mwanasiasa maarufu wa upinzani, Tundu Lissu, ameonyesha masikitiko makubwa kuhusu ukosefu wa maendeleo katika uchunguzi wa tukio la kupigwa risasi kwa ndugu yake jijini Dodoma miaka saba iliyopita.. Akizungumza kwa masikitiko makubwa, amesema: “Ukumbuke alivyoshambuliwa...
  3. JamiiForums Tanzania Story ya kurejea kwa Sultan wa Zanzibar ni Fake News! JF Tumelishwa Tango Pori!. Asante Kaka Chale kuniwezesha kuupata ukweli

    Wanabodi, Hii story ya Sultan wa Zanzibar kurejea Zanzibar Ni fake news. Zanzibar Kumpokea Sultan Jamshid: Ziara ya Kihistoria Baada ya Miaka 60 Uhamishoni Jana baada ya kuisoma na kuchangia, nilipandisha bandiko la maoni yangu. Kaka yangu mmoja kutoka Zanzibar, Kaka Chale, akanipigia simu...
  4. JamiiForums Tanzania Kaka nilikutana na huyu mwanamke akiwa amepigika nikamzoa Hadi Akawa mtu katika watu

    Kaka nilikutana na huyu mwanamke akiwa amepigika nikamzoa Hadi Akawa mtu katika watu, alikuwa anatembeza soksi na nguo za nd0ani mtaa Kwa mtaa amepauka miguu ndara zimekatika. Nilimpa Msaada nikamnunulia sendo hapo ndipo ikawa mwanzo wa kufahamiana niliona mwanga ndani yake na nilitarajia...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini!? Namtamani kaka yangu

    NJIAPANDA; NIFANYE NINI NAMTAMANI KAKA YANGU! Nina miaka 33, sijaolewa na sasa hivi siko kwenye mahusiano, iko hivi, mimi nafanya kazi na kipato changu ni kizuri tu. Naishi kwa Kaka yangu, si Kaka wa tumbo moja bali ni mtoto wa Mama Mkubwa ila tunaishi kama ndugu. Huyu Kaka ana kampuni yake...
  6. JamiiForums Tanzania Hakikisha haikosi ndani mwako hii kitu kaka

    Hakikisha haikosi ndani mwako hii kitu kaka
  7. JamiiForums Tanzania Kaka Magical power nina furaha sana, yule kaka niliyekuwa namuwinda siku nyingi bila mafanikio sasa nimeshamnasa.

    Kaka Magical power nina furaha sana, yule kaka niliyekuwa namuwinda siku nyingi bila mafanikio sasa nimeshamnasa, kumbe rahisi niliamua kujitoa akili nikalipa double kwenye send-off ya rafiki nikamuomba kampani tukaenda wote nikawa sikuwa na haraka basi akaumwa akanipigia simu anaumwa...
  8. JamiiForums Tanzania Mke wa Kaka hataki kunifulia nguo

    baada ya kumaliza mtihani wa form 4 nikaomba nikapumzike kwa kaka town. sasa nimeshangaa wakati wa kufua nguo zangu siombwi kwa ajili ya kufua, huu ni utaratibu wa wapi? huyu shem hajui kua sisi ni brothers? nawaza nimulize ila naogopa fulani hivi. naomba ushauri wakuu
  9. JamiiForums Tanzania Nisaidieni kujua kwanini huyu kaka kaniganda kwa miaka minne

    Habari zenu Wana Jf naomba nieleze kwa ufupi ...Mimi ni binti WA kike ila Kuna mkaka nilikiwa nae kwenye mahusiano nikiwa sekondari ila nlimuacha baada ya kugundua alinificha kuwa alikuwa na mtoto Mara kadhaaa tangu kuachana nae amekuwa akinitafuta kwa miaka minne tokea 2020 na kusem kuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Nampenda sana lakini kila nikiwaza kulea watoto ambao sijawazaa moyo unakuwa mzito

    Habari kaka Magical power, nina umri wa miaka 33 Nina Mtoto mmoja, sielewi Mimi ni single au nijiteje kuna jamaa ambaye tumetokea kupendana kwa miezi nane sasa, ila tatizo nikuwa aliachana na mke wake na ana watoto watatu na huyu ex wake. Nampenda sana lakini kila nikiwaza kulea watoto ambao...
  11. JamiiForums Tanzania Nina umri wa miaka 35 mama wa watoto 3, niko kwenye ndoa kwa miaka miwili, mume wangu bado hajawahi kuninunulia zawadi hata siku ya birthday yangu

    Habari kaka Magical power Samahani sana nimekuja kwako nahitaji Msaada. Mimi mpaka hapa nilipo nina umri wa miaka 35 mama wa watoto 3, niko kwenye ndoa kwa miaka miwili, mume wangu bado hajawahi kuninunulia zawadi hata siku ya birthday yangu.ila Nina mpenzi wangu wa muda mrefu tunapendana Kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanaume wangu hataki kufanya kazi. Mimi ndiyo na mlea na mtoto wangu, naombeni ushauri wenu

    Habari kaka... naomba ushauri mimi ni mama wa mtoto mmoja nina miaka 25 Nina ishi na mpenzi wangu niliezaa nae tunamiaka 8 mpaka sasa. Naomba ushauri kwani mimi najiona kabisa nakaribia kukata tamaa huyu kaka toka nimekua nae kwenye mahusiano alikuaga hana kazi mimi nikajitahidi pale nilipokuaga...
  13. JamiiForums Tanzania KAKA angu pita kwenye maduka ya nguo za ndani angalia rangi uzipendazo si unajua size yake kama hujui muulize wala usimwambie kuwa unamnunulia chupi

    KAKA angu pita kwenye maduka ya nguo za ndani angalia rangi uzipendazo si unajua size yake kama hujui muulize wala usimwambie kuwa unamnunulia chupi au blazia, wewe nunua rangi uzipendazo kumuona amevaa📌 Unaweza kuchukua 20k ukanunua nusu dozen ya chupi kiwango ukampeleke kipenzi chako au...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wa kichaga kila mtu ni kaka yake japo nyuma ya pazia hawana kaka wala baba. mdogo bali wote halali?

    Samahani kwa mliiooa wanawake wa kichaga. Uzoefu wa wengi ni kwamba wanachukuana wao kwa wao. Kila anayekuja ni kaka wakati ni washikaji hata wengine wana ukoo wa damu kama mtoto wa baba mkubwa au mama mdogo au mkubwa. Je hii ni mila au?
  15. JamiiForums Tanzania Kaka pamoja na kwamba umeamriwa kupenda ila hakikisha unayempenda naye anakuelewa kuna utii, baraka na matendo mema utayapata

    Kaka pamoja na kwamba umeamriwa kupenda ila hakikisha unayempenda naye anakuelewa kuna utii, baraka na matendo mema utayapata Mwanamke akupenda kuna upendo utaupata, atakusaidia na atasimama na wewe kwenye changamoto zako. Mwanamke akikupenda hata kama atakuwa na mzuri wa muonekano au atakuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Kaka hawa ndio wanawake na uhitaji wao kurinagana na umri wao walionao

    MIAKA 18-25 Umri huu wa wanawake walio wengi wao wanawaza masomo walioko shuleni ila walioko nyumbani wanawaza kuolewa wawe na familia Wanaosoma wana taswira za kubwa baada ya masomo yao yaani waajiriwe waanze kupokea mshahara na wengine wanawaza KUENDELEA kusoma masomo ya juu kama digree...
  17. JamiiForums Tanzania Kaka Magical power umeamkaje na familia yako.

    Kaka Magical power umeamkaje na familia yako Kaka naomba kuwaambia watu hasa wadada wenzangu wajifunze kukoment positive kuna faida kama kuna post unaona huwezi kuandika kitu achana nayo. Mimi ni mfuasi wako mzuri sana nipokufollow nikawa nasoma komenti za wanaume walioko humu wengi nikaona ni...
  18. JamiiForums Tanzania Habari kaka Magical power mimi ni mmoja wapo ninae fatilia sana Uzi zako pamoja na ushauri wako.

    Habari kaka Magical power mimi ni mmoja wapo ninae fatilia sana Uzi zako pamoja na ushauri wako, mimi ni binti wa miaka 24 nlikuwa kwenye mahusiano lakini hayakuwa ya amani hivi baada ya kuondoka kwenye hayo mahusiano nilikaa mwaka mzima bila kujiingiza kwenye mahusiano sasa kuna kaka...
  19. JamiiForums Tanzania Habari yako kaka Magical power pia pole Kwa msiba ulio kufika,napenda kukupa Asante ya mrejesho wangu huu,utakapo lud ewan utaukuta.

    Habari yako kaka Magical power pia pole Kwa msiba ulio kufika,napenda kukupa Asante ya mrejesho wangu huu,utakapo lud ewan utaukuta. nimefuatilia masomo yako nimefanikiwa kuwa mtu angalau kwa sasa hivi baada kutoka kwenye yale mahusiano magumu ambayo nilikuwa nayo hapo awali Sina budi...
  20. JamiiForums Tanzania Kama ndoa ndio hii basi imenishinda

    Kaka Magical power habari ya usiku huu kaka Kaka angu ndoa imenishinda kama ndoa ndio hii basi imenishinda, nipo kwenye ndoa mimi ni Bi. Mkubwa mwanaume wangu kaoa wawili mwaka huu kwangu anakuja hata mara mbili kwa mwezi na akija anakuja nikiwa kwenye siku za kike kwasababu anajua mzunguko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…