kaka yangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NetMaster

    Stori yangu, Niliacha shule form 4 nyumbani nilidharaulika, nilichekwa nilipoenda kujifunza useremala ambao leo umerudisha heshima yangu

    kwangu niliona shule siwezi tena maana uwezo wangu wa kujifunza ulikuwa mdogo, walimu darasani walikuwa wanafundisha kwa spidi kubwa kuzidi uwezo wangu, vitabu hakuna, sina hela za kwenda tuishen, n.k. Form 4 matokeo yalitoka nina division 4 mbaya sana lakini waziri wa elimu wakati huo...
  2. Melki Wamatukio

    Kaka yangu anaelekea kuoa bomu, nimnusuru vipi?

    Huyu mwanamke nimemfahamu mwaka jana mwezi wa pili jijini Dar. Kila siku nilimkuta kwenye bar X yenye jina kubwa tu hapa Dar. Hakuwa mhudumu, bali alipretend kuwa mteja, kiuhalisia alikuwa anauza japo kwa kutumia akili pana sana! Alikaa kwenye moja ya meza mle bar akiwa katika mavazi na mikao ya...
  3. Pacbig

    Mpenzi wangu ana mahusiano na kaka yangu wa damu

    Nilianza mahusiano na huyu binti mwaka juzi mwezi wa kumi na mbili. Mwaka 2019 Nikiwa semester ya mwisho kabla ya kumaliza chuo nilipata supplementary ambayo mwalimu alichelewa kutoa matokeo, akaja kutoa siku moja kabla ya graduation hivyo jina langu halikuwepo kwenye list ya graduates...
  4. KING MIDAS

    Mama yangu na kaka yangu ni wachoyo sana, wanafunga friji wafanyakazi wasile, lakini ni washika dini sana

    Mama yangu anaishi na kaka wa kwanza. Hawa watu ni washika dini sana, lakini ni wachoyo sana wa chakula kiasi kwamba Wamefunga friji na makufuli ili wafanyakazi wasipate nafasi ya kula vyakula kadha wa kadha. Nimeshawasema kwa tabia yao ya kuwabagua wafanyakazi, lakini hawakomi. Yaani hadi...
  5. K

    Jinsi kuku walivyonizuia kuhudhuria msiba wa kaka yangu

    Ilikuwa mwaka 2011 nilipata kazi ya mkataba wa miaka 2 kijiji kimoja cha huko kwa wahaya Kutokana na kukuta huko bei ya kuku iko chini nilianza kuwanunua kidogo kidogo ili wakiwa wengi niwe naenda kuwapush Town baada ya miezi mitatu nilikuwa na kuku zaidi ya 40 ambao nilikuwa ninawahifadhi...
  6. L

    Kaka yangu ananichukia

    Za leo ndugu zangu, natumai mko poa kabisa. Kuna jambo limekuwa linanitatiza kwenye maisha yangu nalo ni chuki aliyonayo kaka yangu juu yangu. Hili jambo nimekosa wa kumshirikisha ikabidi nililete hapa jukwaani kuna watu wanaweza kunisaidia. Huyu kaka yangu kaanza zamani kunichukia toka...
  7. Dr Msweden

    Kaka yangu amechomwa Moto kwa kudhaniwa ni mwizi

    Inasikitisha sana Kaka yangu ni mlemavu wa akili (ana downs syndrome) hata kumuangalia kwa macho unajua kabisa huyu mtu kichwani hakuna kitu. Majuzi alitoroka nyumbani tulimtafuta bila mafanikio ghafla tukapewa taarifa kuwa ameitiwa mwizi amechomwa moto, amekamatwa mzima mzima wala hawajampiga...
  8. Mtoto wa Nyerere

    Kaka yangu amefariki kwa ugonjwa wa CORONA

    Kaka yangu kafariki jioni hii kwa covid 19 hospital ya Bugando Mwanza hakika ni majonzi makubwa sana. Alifikishwa hapo kwa matatizo ya uchovu tu na kwenda kucheki na hakupelekwa na mtu alienda akiendesha gari yake mwenyewe ila badae walimpima na kukuta ana corona akawekwa pale toka juzi Leo...
  9. B

    Lema: Waziri Kalemani alimpigia simu mkewe akimtaka kuwapa Polisi ushirikiano wa kuondoa kamera

    Lema kupitia space anasema "Waziri Kalemani, alimpigia mke wake simu kwamba polisi wanakuja hapo kuondoa kamera wape ushirikiano, hii ni baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi.." —; Godbless Lema Natamani kusikia hii Taarifa siyo kweli, natamani kusikia kutoka kwa Mhe. Kalemani. Kama mke...
  10. C

    Naweza kuoa mwanamke kutoka nyumba alipooa kaka yangu?

    Habari za muda huu wana JF! Niende moja kwa moja kwenye mada kama kichwa kinavyojieleza hapo. Nimempenda mdogo wake na mke wa kaka yangu. Je naweza kuoa? Kimaadili imekaaje hii? Msaada tafadhali.
Back
Top Bottom