kafulila

David Zacharia Kafulila (born 15 February 1982) is a Tanzanian NCCR–Mageuzi politician and Member of Parliament for Kigoma South constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania Kafulila hayo unayofanya yatakufikisha pakubwa baada ya uchaguzi mkuu 2025

    Pamoja na kuvurunda na kuendesha uwekezaji kienyeji na kutokuwa na mpango unaoeleweka vizuri wa PPPP, siasa unazofanya kumpamba mama zitakufanya upate cheo kikubwa baada ya uchaguzi wa mwezi October lakini watanzania watabaki wameambulia hewa tupu.
  2. Vugu-Vugu

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Kwenye azimio la Dar es salaam, Rais Samia atatumia Tsh. Trilioni 33 kusambaza nishati safi ambapo Tsh. Trilioni 13 zitatoka PPP

    === Akihojiwa na kituo cha utangazaji Cha ITV kwenye kipindi ya DK 45 Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia Kati ya Serikali na Sekta binafsi nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila amefafanua haya "Kuhusu mpango wa Rais Samia Suluhu Hassan wa kutumia Sh trilioni 33 sawa na $13bn...
  3. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Hakuna siku Serikali itaacha kukopa kwani hata Marekani na China nao wanakopa zaidi ya Tanzania

    === Akiongea katika Kipindi cha DK 45 kinachorushwa "LIVE" na kituo cha runinga cha ITV Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi nchini PPPC Bw David Kafulila alikuwa na haya ya kuwaambia Watanzania, Akifafanua kuhusu Tanzania kuendelea kukopa na kujenga...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu Mradi wowote ulioanzishwa chini PPP ya David Kafulila atufahamishe, mimi siujui hata mmoja, ni Mwingi wa maneno tu

    Partnership (PPP) in Tanzania is a collaboration between the public and private sectors to deliver public services or infrastructure. PPPs are a way to combine the public sector's oversight with the private sector's expertise. How do PPPs work in Tanzania? The private sector renovates...
  5. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania David Kafulila ni mwanasiasa au mtumishi wa serikali?

    Mara nyingi nakutana na habari za kisiasa zinazosemwa na David Kafulila, nijuavyo huyu ni mteule wa Rais asimamie taasisi ya serikali, nijuavyo hawa wateule ni tofauti na na Mawaziri ambao wanaanza kuwa na koti la ubunge yaani uanasiasa. Hawa wa taasisi za umma si wanasiasa na kanuni za...
  6. J

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Huyu Tundu Lissu ni muongo

    === Kwa mtizamo wangu Mtu pekee toka Chama Cha Mapinduzi CCM anayeweza kumnyoosha sawasawa Tundu Lissu kwa hoja mujarabu tena kwa data ni huyu Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila, Kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya mitandaoni na mitaani ni wazi Watanzania...
  7. M

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: AFCON na CHAN zitumiwe na sekta binafsi na ile ya Umma kutengeneza ajira tujenge Viwanja vidogo vya mazoezi na Migahawa tutapa pesa

    ==== Kuelekea mashindano ya Mpira wa Miguu ya Kimataifa ya CHAN Mkurugenzi wa PPPC Bwana David Kafulila ameitaka sekta binafsi na ile ya Umma PPP kushirikiana na kuhakikisha wanaitumia kwa usahihi fursa hii pekee iliyopatikana kwa ushawishi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Kafulila anasema...
  8. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Yanga yaingia robo fainali ya Kafulila Cup

    Timu ya Yanga Wakereketwa ya huko Wilaya ya Sengerema imefanikiwa kuingia robo fainali ya Kafulila Cup baada ya kuifunga timu ya MC Gara B FC goli 4-0. Pichani, wachezaji wa Yanga wakishangilia goli la 3 kwa kumtekenyatekenya mwamuzi Matokeo hayo yanafuta machozi matokeo mabaya timu ya Yanga...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Anayetaka kuwekeza TANESCO na aje,Tanzania inajengeka kwa Kasi mno mwaka 2050 tutahitaji zaidi ya Megawatt 60K wakati leo tuna Megawatt 4K

    == Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika Kipindi Cha One on One Cha Wasafi TV amesema haya, " Tanzania katika miaka 25 ijayo inatarajia kujenga Uchumi mkubwa karibu mara mbili ya Uchumi wote wa Africa ya Kusini ya leo...
  10. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania 2025 Rais Samia ampa nguvu zaidi David Kafulila

    == Katika hotuba yake bora ya kihistoria ya kufunga mwaka wa 2024 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ameitangazia Tanzània na Dunia kuwa mwaka 2025 utakuwa ni mwaka ambao Serikali yake itajikita zaidi katika kuvuta na kutumia mitaji ya sekta...
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Tegeta Escrow: Je, David Kafulila anakumbukwa kwa lipi baada ya Kifo cha Jaji Werema?

    Roho ya Marehemu ipate rehema kwa Mungu na ipumzike kwa amani -AMINA Leo mara baada ya kupata taarifa za kifo cha aliyewahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya awamu ya nne (4) chini ya Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Hayati Jaji Frederick Werema, Kwa haraka nikamkumbuka...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Ifikapo mwaka 2050 kipato cha kila Mtanzania kitakuwa kati ya TZS 12M na 20M pato la Taifa litafikia $700bn mara 9 zaidi ya leo

    YAJAYO YANAFURAHISHA SANA Mkurugenzi Mkuu wa kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila ameandika haya katika ukurasa wake wa X zamani tweeter, Kafulila akiifafanua Dira ya Maendeleo ya Taifa la Tanzània ya 2025- 2050 amesema yafuatayo, 1. Kafulila amewataka Watanzania wafahamu kuwa...
  13. Bubu Msemaovyo

    JamiiForums Tanzania Kafulila na Adan- Namtilia shaka Kafulila kulungulwa

    Aliporejea kutoka India alisema mengi, lakini hili la Adan akitaka apewe TANESCO kama mwekezaji nasikia harufu kwasababu wenzetu wamesikia harufu toka kwa Adan. Namtaka Kafulila aje atwambie hii harufu ya Adan kule India hakuisikia kama siyo kupakazwa na yeye? Ile TICS kachukua Adan. Kafulila...
  14. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Bilionea Gautam Adani ambaye Kafulila anataka kumpa shirika la TANESCO ashitakiwa kwa utapeli huko Marekani

    Bilionea wa kihindi Gautam Adani ameshitakiwa kwa utapeli na rushwa katika mahakama ya New York. Yeye na wenzake wanatuhumia kuahidi rushwa za mamiliono ya dola kwa maafisa wa serikali ili kupewa mikataba na tenda kimagumashi ikiwemo ya umeme wa solar. Itakumbukwa kuwa moja ya makampuni ya...
  15. Vugu-Vugu

    JamiiForums Tanzania Vijana mnapopata nafasi za kiuongozi kaeni mbali na rushwa na Ufisadi, Kuna siku majina yenu yatajadiliwa kama ilivyo leo kwa Kafulila

    Sikilizeni, Nyie vijana hasa wale mnaopata nafasi za kuongoza jaribuni kukaa mbali na matendo mabaya ya rushwa pamoja na ufisadi kuna siku majina yenu yatajadiliwa kwa mema kama ilivyo leo kwa Kafulila, Polepole, Silaa na wengine. Leo naomba mniwie radhi kwa mada hii huenda...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo Faida za PPP na Faida yake kwa Taifa kama anavyofafanua David Kafulila. Tuipe Nguvu PPP itasaidia kuongeza wigo wa kodi na mapato

    Ndugu zangu Watanzania, Ningependa kusema kuwa PPP (Public Private partnership)yaani ubia kati ya secta ya Umma na binafsi ni mkombozi na mfumo ambao unaweza kutusaidia sana katika kuharakisha miradi mbalimbali ya kimaendeleo. pamoja na kuvutia mitaji mikubwa mikubwa ya mabilioni ya pesa...
  17. L

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Masuala ya Mikataba Mibovu aina ya IPTL hayawezi kujirudia kupitia PPP

    Ndugu zangu Watanzania, Mkurugenzi Mkuu wa PPP Mheshimiwa David Kafulila amewatoa hofu watanzania ambao wameonyesha kuwa na hofu kubwa sana juu ya mikataba ya Ubia .hasa kwa kurejea majeraha na makovu ya mikataba mibovu ambayo yamewahi kushuhudia yakileta hasara kwa Taifa letu.ikiwepo IPTL...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo David Kafulila alivyotua mbele ya sanamu la Mwalimu Nyerere New Delhi nchini India

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa David Kafulila Chuma cha Reli ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa PPP, ametua mbele ya Sanamu ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Katika ubalozi wetu wa Tanzania Nchini India . Ambapo Mzalendo huyu mwenye maadili na aliyenyooka kama rula. Na ambaye amekuwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye wachumi nguli waungana na David Kafulila

    Kama kuna kitu Tanzania inapashwa kukipa nguvu inayostahili basi ni hii PPP ya Kafulila. Nchi nyingi dunia zinanufaika na PPP hasa katika kukuza Uchumi jumuishi kwa maendeleo endelevu.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Kwa Utafiti uliopo ndani ya miaka 25 ijayo Tanzania italazimika kujenga uchumi sawa au zaidi ya Afrika ya Kusini ya leo

    === Akihojiwa na kituo cha runinga cha Clouds Media Group Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPP -Centre David Zacharia Kafulila alikuwa na haya ya kusema ;- "Tafiti zilizofanyika zilionesha kwamba mwaka 2015 mahitaji ya miundombinu yaliyokuwepo yalijitosheleza kwa...
Back
Top Bottom