David Zacharia Kafulila (born 15 February 1982) is a Tanzanian NCCR–Mageuzi politician and Member of Parliament for Kigoma South constituency since 2010.
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi Cha DK 45 amekaririwa akisema namnukuu,
" Bajeti ya kilimo imeongezeka kutoka TZS400bn mpaka TZS1.9Trilioni sawa karibu na mara tano" alisema Kwa...
Hapa naona Bwana Mkurugenzi Kafulila kawekwa mtu kati na huyu Mtangazaji wa ITV naangalia hapa anamuuliza " unafanya siasa na maisha ya watu"?!
Huyu dada anaitwa nani?
KAFULILA ANASEMA MIAKA 60 HEKTA 500,000 MIAKA 4 HEKTA 400,000, RAIS SAMIA HEKO.
==
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 amefafanua kuwa Tanzania tangu iwe huru ilifanikiwa...
==
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 na kufafanua kuwa biashara ya kuuza na kununua nje imekuwa Kwa zaidi ya 84% Kwa mujibu wa taarifa za benki kuu ya Tanzania BOT Kwa...
KAFULILA: UBIA SIO UBINAFSISHAJI. NDANI YA DAKIKA 45 KESHO NDANI YA ITV SAATATU KAMILI USIKU
09||06||2025.
==
Ni Mjadala mkali kati ya mtangazaji machachari wa kituo cha runinga cha ITV Ms Farhia Medley atahenyeshana Kwa hoja nzito nzito na Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini...
Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC David Kafulila amesema kuwa muwekezaji anaweza kupewa vivutio ikiwemo kuchangiwa mtaji endapo atawekeza kwenye ubia ikiwa ni pamoja na dhamana za serikali kumlinda muwekezaji ambaye anawekeza endapo ikitokea tofauti na jinsi ilivyo kadiriwa na hivyo...
Ndg zangu nimekutana na taarifa hii muhimu ya Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila kwakweli nimeshtuka kidogo na kujiuliza huyu bwana anajiamini nini kukubali kukabiliana na hawa wasomi?
Kwa wale wachache wanayo ifahamu vizuri historia ya Taifa...
==
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila amewataka Watanzania waache kutishwa na watu wanaosema kupanda au kushuka Kwa shilling ya Tanzania kunaashiria Uchumi wa Tanzania kuwa legelege.
Bwana Kafulila amesema Uchumi wa nchi yoyote Ile duniani ni...
David Kafulila a.k.a "Tumbiri" amejipa jukumu la kuwa msemaji wa watawala kuonesha kuwa uchumi wa Tanzania upo Imara na himilivu kuliko hata wale wenye jukumu Hilo.
Kafulila anaongea sana kuhusu Hali ya uchumi wa Tanzania kuliko hata Waziri wa fedha au Gavana wa Benki Kuu ambao ndiyo wenye...
https://youtu.be/gjrrbUm9Xgg?si=wlBvnC5Dg4FuVziw
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila amesema deni la Tanzania ni stahimilivu kwa Vipindi vyote,
Kama unataka kuogombea kagombee sio kuweka uchawa wa kupika data za uongo mfano kusema uchumi umekuwa kwa 20% ni uongo.
Wewe sio gavana wa bank kuu waache watupe data za ukweli badala ya kupotosha watu na kuweka uchawa mbele.
==
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila katika ukurasa wake wa X zamani tweeter ameandika haya;-
Kati ya mwaka 1970 na mwaka 1998 wakati misaada toka nje ya Africa ilikuwa ya kiwango cha Juu kuliko wakati wowote ajabu ni katika wakati huo huo...
Hili nimeliona na kuna watu Lumumba wanazungumza.kuwa dogo sasa anaropoka sana. Yeye anataka kuwa Katibu wa Chama kwa maoni ya watu wengi.
Ameanza kukera baadhi ya watu kuwa ana jikomba mpaka anajikomboleza.mwishoni atabakia hana kitu. Wataalamu wanasema pengine ni ushamba na pia...
Nadhani hawa watu wanaojiita viongozi wetu aidha wana tatizo la kujieleza, au wanapenda kufanya mambo kwa kuficha ficha vitu. Sasa huyu Kafulila, ambaye siku hizi amejifanya msemaji wa serikali au Raisi Samia, anauliza kuna ajabu gani Tanzania kununua umeme toka nje wakati tuna ziada, akitoa...
Hivi karibuni nikekuwa nikimuona mdogo wangu Kafulila akitoa maoni yake kwenye kila kitu uenda ni kutokana na nafasi yake ya Ex. Director wa PPPC ndiyo maana anakuwa na munkari ya kuongea sana. Ila hekima ni pale unapotulia na kutoa ufafanuzi wenye busara na logic.
Suala la serikali kununua...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP), David Kafulila, ameungana na wanawake katika kusherehekea Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kwa kutoa ripoti tatu muhimu zinazobainisha mchango wa wanawake katika uchumi na nafasi za uongozi.
Akianza na ripoti...
Katika salama zake za siku ya Wanawake Dunia Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila kwanza amewapongeza wanawake wote kwa kuzaliwa wanawake.
Pili, David Kafulila amerejelea Utafiti uliofanywa na UNAC ya nchi Marekani uliokuwa na majibu kwamba Wanaume sio...
Kuna miradi ni jukumu la serikali kuibeba hasa ile inayohusu kuhudumia wananchi mfano barabara, hospitali, kusambaza umeme, maji na mingine kama hiyo hiyo ni jukumu la serikali kuitekeleza
Kuna miradi kweli unahitaji PPP kuitekeleza sababu utekelezaji wake unahitaji fedha kubwa mfano
Mradi wa...
Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta binafsi (PPPC), David Kafulila amesema kitendo cha Rais wa Marekani, Donald Trump kuja na sera za kusitisha baadhi ya misaada kwa nchi za Afrika, kimefungua fursa mpya kwa Tanzania na kwamba serikali iko mguu sawa kuzitumia fursa hizo...
::::::
Serikali ya Tanzania kupitia kwa Waziri wake wa Mipango na Uwekezaji Prof Kitila Mkumbo imeliambia Taifa hilo kuwa Ujenzi na Uendeshaji wa Bandari ya Bagamoyo bado haujaanza na kama utaanza basi Serikali hiyo itaufanya mradi huo kwa sharti la Ubia kati yake na Sekta binafsi yaani PPP...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.