kafara

Fidyah (Arabic: الفدية‎) and Kaffara (Arabic: كفارة‎) are religious donations made in Islam when a fast (notably in Ramadan) is missed or broken. The donations can be of food, or money, and it is used to feed those in need. They are mentioned in the Qur'an. Some organizations have online Fidyah and Kaffara options.

View More On Wikipedia.org
  1. Kipenzi Changu

    Aliyemtoa kafara mke wake ili apate ubunge ni nani?

    Jana nilikuwa namsikiliza Mamba Dudu Baya akiwachana waliokuwa mabeberu wa mziki wa Bongo Fleva. Alitaja orodha lakini akasema kuna mmoja alimtoa mpaka mkewe kafara ili apate ubunge. Ni nani huyu wakuu
  2. Slobodan Mirosovich

    Kutoka kwenye Raha, Utukufu, kuogopwa na kunyenyekewa hadi Mbuzi wa Kafara

    Ndugu zangu kamwene, Katika ulimwengu wa madaraka, kuna wakati taasisi inabidi ijioshe ili ipate hewa ya kupumua. Nchi inapokwama kiuchumi kwa sababu ya doa la damu mfumo haulazimishi kila mtu kuwajibika maana kuna uwajibikaji hauna impact hivyo anatafutwa mtu mmoja mwenye uzito wa kubeba...
  3. I

    Mwanaume: Usijaribu kujitoa kafara kwa mambo yafuatayo

    1. Usijaribu kumfia Mwanamke: Usivimbe kichwa kwa jinsi mwanamke anavyokusifia eti unamkuna kisawasawa,eti unajua mapenzi, au akikuambia jinsi unavyojali familia yao, au kwa jinsi unavyomhudumia. Hayo yote ni mbwembwe tu za kuhakikisha anaendelea kula mpunga wako na kujihakikishia security ya...
  4. M

    Kama watawala walijua wanaua mbegu ya ukombozi na kuizika basi ndiyo inachipua kwa kasi

    Kama watawala walijua labda wakipiga risasi na kuuwa watu eti watanganyika watapata wogo,basi walishindwa kusoma nyakati za tawala zote kandamizi zilizotangulia kama wao,yaani hii mbegu inayochipuwa kwa kasi sana. Hawataweza kuizuia kamwe na inaenda kuwaacha uchi kama walikuwa wanapambana na...
  5. L

    Kafara ya taifa ni nini? Is it real?

    Habarini wanajamvi LA jamiiforums Kuna ili Jambi linniwazisha na kunisononesh sana for surer, kafaraa ya taifa in kitu gani? Akina nani in wausika was kutolewa kafara? Msaada wa majawabu tafadhariini
  6. L

    PostGE2025 Maria Sarungi na Mange Kimambi waache kuwatoa kafara vijana huku wao wakiwa wamejificha uvunguni nje ya Nchi wakiogopa kufa

    Ndugu zangu Watanzania, Acheni Unyumbu, acheni ujinga na uhayawani ,acheni ushamba,acheni umbumbumbu ,acheni kutumika vibaya kama mazuzu. Hivi mtu na akili zako Timamu kichwani na unayejitambua vizuri kabisa na mwenye utimamu wa akili na Mwili unaweza vipi kukubali kuandamanishwa barabarani na...
  7. Mr Q

    Tetesi: Wafuatao ni mbuzi wa kafara. Soon mtasikia!.

    1. MONGOSO-GBPi 2. Tuesday Fire 3. Internal affairs boss. ✂️ 4. The teeth-Boss mobimba Mombo na ngai 5. Mama sitomea UBER🚕✂️ 6..... Reserved for further updates. This is coming sooner than anyone could have expected.
  8. Logikos

    Haki inahitaji kuonekana Imetendeka hata kama ni kwa Kutoana Kafara - Kwa manufaa ya Kesho Yetu

    Justice needs to be Seen to be Done..... Ni mengi yametendeka hivi karibuni wala hayahitaji maelezo, kuna wengi waliopoteza ndugu zao na jamaa zao (hata tukisema hao jamaa walikuwa waharifu basi ni vema tungewashika na kuwashitaki)... Sasa sababu tumeshafika hapa na tunahitaji kuponyana na...
  9. Myahudi Jr II

    Kuna watu walitakiwa watolewe kafara ili nchi iwe salama lakini wakapuuza

    1. ADUI NO.1 wa SATIVA Huyu jamaa alistahili aondolewe kabisa kwenye utumishi wa umma hasa upolisi, ananuka damu, ananuka damu, ananuka damu, ila kwakua anafanya kazi ya watawala vizuri wakaona hakuna wa kumgusa akaota pembe akidhaniataendelea sana (mtu mwenye akali timamu, SATIVA alikua wa...
  10. October 2pm

    Kuna mtu anatolewa kafara na wanamtandao soon

    Hajijui. Yupoyupo! Anajiendea. Hasomi mchezo. Si mbali kutokea leo. Soon as sooner. Samuya jitazame walahi. Wanamtandao washenzi sana. Set up exist Door. Kumtoa kafara ili wao wabaki salimini. Nye! Nye! Nyie! Acheni aseee! Watu wabaya nye. Na bado
  11. Robert Heriel Mtibeli

    Watibeli sio mbuzi wa kafara. Kamwe hatutakubali kugeuzwa chambo

    WATIBELI SIO MBUZI WA KAFARA. KAMWE HATUTAKUBALI KUGEUZWA CHAMBO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Sisi tunaongozwa na mambo makuu manne; HAKI, AKILI, UPENDO NA UKWELI. Hayo ndio yanayotuongoza na ndio mhimili mkuu katika maisha yetu. 2. Huwezi mgeuza mtibeli mbuzi wa kafara au chambo...
  12. Dogoli kinyamkela

    Nakusihi ukipanda gari unaposafiri tanguliza jiwe kwenye gari kabla ya kupanda kafara kubwa zinatolowa kwa kasi mno mwezi huu hadi wa 10 mwishoni

    Nakusihi ukipanda gari unaposafiri tanguliza jiwe kwenye gari kabla ya kupanda kafara kubwa zinatolowa kwa kasi mno mwezi huu hadi wa 10 mwishoni na kama huna ulazima wa kusafiri tulia nyumbani. Asili huponya Asili Ina sili. Mazarau hasili hufa kikatili😂😂😂🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️
  13. Jack Daniel

    Kutoana kafara kwenye familia, na Siri ya wazazi wetu

    Habari za mchana. Hii nimeitoa kwenye familia moja kanda ya ziwa. Hivi ulishawahi kuona familia fulani ina watoto wengi lakini mmoja haolewi,au haoi na akioa anaacha ndoa haidumu. Au kama ni mwanamke anaachika ili tu arudi Kwa wazazi? Unakuta kijana anapambana lakini hatulii,anajikuta...
  14. Mshana Jr

    Afisa polisi OCS mshukiwa wa kifo cha Albert akana uhusika! Agoma kuwa mbuzi wa kafara

    Ninatolewa kafara. Sasa mimi ndiye mshukiwa mkuu wa mauaji ya Albert Ojwang, ingawa sina hatia. Maafisa wa DCI walipomleta Albert Ojwang katika Kituo Kikuu cha Polisi, alikuwa katika hali mbaya. Alionekana kuteswa. Niliwataka maafisa wa DCI kumpeleka hospitalini kabla ya kumwingiza mahabudu...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    Dr. Tulia anasema vijana wajitokeze kuyasema mazuri ya serikali; anasahau Baba ukishatoa kafara mtoto mmoja kisa utajiri mazuri yote hufutika.

    Mpo salama! Ukishatafuta utajiri wa kafara, ukamtoa Mke au mtoto mmoja na watu wakajua na watoto waliobakia. Hata uwajengee watoto ghorofa, uwanunulie Range Rover, au ukawasomeshe Marekani. Kamwe hawatakutaja kama Baba Bora, wala hautasifiwa kwa lolote zuri. Hakuna Jambo kubwa kwenye maisha...
  16. Jack Daniel

    Hakuna jambo nzuri kama kuwa huru, usikubali kuwa Mbuzi wa kafara

    Salaam jamiiAfrica. Unataka kuwa huru? Unataka kuwa na Amani? Unataka watoto wako uwalee na wafurahie uwepo wako? Unataka kufaidi mema ya Dunia,japo asilimia 0.01? Jitenge na siasa,kaa mbali na wanasiasa. Acha kuiongelea siasa. Kaa kimya fanya mambo yako ,usifanye vitu Kwa kutafuta sifa...
  17. Abtali Mwerevu

    Kafara Katika Kuvuta Wateja Katika Biashara Yako

    Katika mfumo wa maisha tunayoishi, imejengwa misingi kwamba, wengi wawe masikini na matajiri wachache. Kwa hivyo, kama upo kundi la umasikini, kutoka humo siyo kazi nyepesi, ni lazima uzijue kanuni za kiulimwengu. Kuanzisha biashara ni jambo jepesi kupata wateja ni jambo gumu. Wateja wengi ni...
  18. M

    CAF, Mungu anawaona, mpaka sasa Simba hatujui ni uwanja upi tukatoe kafara zetu yaani!

    Wataalam wa mbilingeni tunatokaje hapa? Ikiwa mpaka mida hii, bado haijulikani kama tutatumia uwanja upi ili tukafanye yale mambo yetu maana kafara za mbuzi zipo ila haijulikani sasa ni uwanja upi utatumika ili kazi ifanyike Mwaka huu huwenda ni mbaya sana kwetu kama timu, maana kwa, macho ya...
  19. Gabeji

    Waziri ya mambo ya ndani, IGP na RPC wa mkoa wa Ruvuma watolewe ili kumwokoa Rais Samia kisiasa

    Jamani thinking tank ya CCM haipo? au kama ipo inauwezo mdogo sana wa kufikiri ! Ina maana wao hawaoni kuwa Samia amepotea kiasasa juu ya No Reform No election, pamoja na kumkamata Lissu na kumfungulia mashataka ya uhaini. Mwokoeni Samia maana propaganda zote zimeshikakana! Njia ya kumsaidia...
  20. Damaso

    Youssouph Dabo ulikuwa mbuzi wa Kafara pale Azam

    Baada ya kufungwa na Singida, sasa rasmi Azam FC hawatoweza kufikia idadi ya alama walizomaliza nazo msimu uliopita (69) walipokuwa chini ya kocha msenegali Youssouph Dabo, mpaka sasa Azam wana alama 51, wamesalia na mechi 5 ambazo hata wakishinda zote watafikisha alama 66. Tusamehe sana Kocha...
Back
Top Bottom