Rais Samia S Hassan ameendelwa kuonesha kwamba yeye ndio suluhi ya matatizo mbalimbali yanayoikumba jamii Kwa kuendelea kuyatatua Kwa Kasi kubwa.
Kwa Sasa Ma jobless wamefikiwa na Upendo wa mama na moyo wa mshumaa ambapo Serikali yake imetangaza ajiza takribani 10,209 Kwa kada mbalimbali huku...
Habari wakuu?
Kwa kweli huyu mama yetu mama samia anaupiga mwingi, kwenye hili la kada ya afya kupitia utumishi na kufanyiwa usaili naipongeza serikali sana kwa sababu kupitia usaili usawa utakuepo lakini pia watapatikana watu competence pamoja na hilo usaili utaondoa dhana ya kuwa kuna...
TAMISEMI imekua na mtindo wa fake promise kuhusu ajira kila uchwao na hakuna kutekeleza yani hakuna ajira.
au wakiajiri basi wataajiri idadi ndogo kuliko waliosema.
mwaka huu walisema wataajiri lakini hola wanacheza na akili za wasomi kirahisi tu haLafu watu wasomi wamelala.
kwa sababu ya...
Hapo Mimi huwa sielewi kibali tayari, nini huwa kinakwamisha au bajeti na mchakato kuchambua maombi utachukua mda Gani na hao watumishi wapya mfano Walimu wataripoti lini au mwezi wa 9? Au Kuna nn kama Mhe. Rais ametoa kibali?
Mbunge wa Viti Maalum kutoka Mkoa wa Singida Mhe. Jesca Kishoa leo alhamis Aprili 18, 2024 kwenye Kipindi cha Maswali na Majibu Bungeni amehoji Serikali kupitia Wizara ya TAMISEMI ,Serikali ina mkakati gani wa kuongeza watumishi kada ya afya kwakuwa idadi iliyopo ni watumishi 287 tu ambapo idadi...
Maisha yamebadilika sana, watu wameongezeka sana, utandawazi nk.
Vyuo, vimeongezeka na wahitimu wameongezeka maradufu.
Hali ya Ajira ni changamoto sana kwa vijana hawa. Hali hii imepelekea mrundikano mkubwa wa wahitimu mbalimbali nyumbani.
Katika hali kama hii ndipo suala la usaili...
Ofisi ya Rais - TAMISEMI inawatangazia wananchi wote raia wa Tanzania wenye uwezo na sifa za kujaza nafasi za ajira za Kada za Afya 746 kwa ajili ya Hospitali za Halmashauri, Vituo vya Afya na Zahanati
Tangazo hili linarudiwa kwa mara ya pili baada ya kukosa waombaji wenye sifa katika tangazo...
Mwaka jana nilifanya maombi 8 ya kazi Serikalini(Tamisemi na Afya), taasisi binafsi.
Nilipigwa kibuti sehemu zote, taasisi moja tu ya binafsi ndio walinipa mrejesho wa kunikataa japo kwa usahili, mrejesho wao kidogo ulikuwa unaumiza ila nilipiga moyo konde na nikaamua kukaa kimya bila kutuma...
Mdogu wa kike ana diploma ya nursing and midwifely, but katika kuomba ameniuliza kama anaweza kuomba nafasi ya muuguzi daraja II yaani wa certificate.
Anauliza kufanya hvyo kwasababu upepo kwa upande wao ni mbaya yaani unakuta wilaya nzima wanataka RN mmoja tu wakati EN zaidi ya 20 mfano...
Waziri Jenister Mhagama akitoa kauli ya Serikali bungeni kuhusu upungufu wa watumishi nchini, amesema Rais ameridhia na kutoa kibali cha kuajiri watumishi 30,000 na wiki ijayo atazitangaza.
Waziri Jenister Muhagama: Nasimama hapa kwa heshima kubwa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Habari,
Sisi ni wanafunzi wa afya ambao mwaka jana mitihani ilivuja kwa baadhi ya Vyuo na uamuzi uliofikiwa ni kufutia matokeo na kufanya mitihani upya jambo ambalo ni sawa kabisa.
Shida imekuja hivi matokeo yalivyotoka wanafunzi waliofeli ni wengi kuliko walio faulu na pia wanafunzi wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.