kada ya afya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barua ya wazi kwa TAMISEMI kuhusu malipo ya fedha za kujikimu kwa Walimu wapya

    Sisi walimu wa ajira mpya tulioajiriwa mwezi Januari 2026 tunaomba ufafanuzi kutoka Ofisi ya Rais – TAMISEMI kuhusu hatima ya malipo ya fedha za kujikimu. Hadi sasa zimepita takribani miezi sita tangu tulipoajiriwa, lakini bado hatujapokea fedha hizo. Kwa mujibu wa taratibu za utumishi wa umma...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Mbomba - Songwe ajira mpya Kada ya Afya tumelipwa pungufu fedha za kujikimu

    Mimi ni mtumishi Halmashauri ya Mbomba mkoa wa Songwe ajira mpya Kada ya Afya tunadai pesa zetu za kujikimu kwa muda mrefu sana sasa, Julai 12, 2026 wamelipa ila wamelipa pungufu wakati walisema kuwa serika imeshaingiza pesa zote hivyo tutalipwa zote bila ubaguzi. Ajabu wamelipa kiwango tofauti...
  3. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Ni lini muundo mpya wa Kada ya afya hasa Wauguzi utaanza kutumika? Ni mwaka sasa tangu ahadi itolewe

    Naomba kuwasilisha kero hii Ni takribani mwaka mmoja sasa tangu kuahidiwa kwa muundo mpya wa kada za afya, hususan kada ya uuguzi, lakini utekelezaji wake bado haujaanza. Tunaomba mamlaka husika kuliangalia suala hili na kutupatia majibu kuhusu ni lini muundo mpya utaanza kutumika, kwa kuwa...
  4. V

    JamiiForums Tanzania Nafasi nyingi za kazi kada ya Afya kupitia ajira portal

    Ingawa kuna watu nikiweka ujumbe wa kusaidia kwa wenye changamoto kama kusahau password, kusahau email na changamoto zingine za ajira portal wanitafute niwasaidie wanareport kwamba ni kuatarisha taarifa binafsi wengine kuniita tapeli;sichoki kusaidia. Jitahidi kuomba kazi kama una changamoto...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Ajira Mpya Kada ya Afya Halmashauri ya Mkalama Wamepewa Fedha za kujikimu Wakati Walimu ajira mpya hatujapewa hata Mia. Inaumaaa

    Watumishi wa ajira mpya wa kada ya afya katika Halmashauri ya Mkalama wamepewa fedha za kujikimu, lakini sisi walimu wa ajira mpya hadi sasa hatujapokea hata shilingi moja. Hali hii inakatisha tamaa na inazua maswali kuhusu usawa katika kuwahudumia watumishi wa umma. Tunaomba mamlaka husika...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi (Ajira Mpya) Nyang'hwale mwaka 2025, Kada ya Afya hatujalipwa pesa ya kujikimu

    Halmashauri ya Nyang’hwale ajira za july 2025 kada zingne zote wamepata hela yao ya kujikimu isipokuwa kada ya afya na tukiulizia kwa katibu wa afya anatufokea
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chamwino Kada ya Afya tulioripoti March 2025 hatujalipwa fedha za kujikimu, Viongozi wanatupuuza

    Chamwino Kada ya Afya tulioripoti March 2025 hatujalipwa fedha za kujikimu, Viongozi wanatupuuza Sisi Watumishi wa Halmashauri ya Chamwino Kada ya Afya tulioripoti March 2025, hatujalipwa fedha za kujikimu😭😭. Kinachotuumiza zaidi viongozi wetu wanatoa majibu ya mkato, ukipiga simu hawapokei na...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira mpya kada ya Afya Mafia hatujalipwa posho za kujikimu kwa miezi mitatu

    Sisi ni ajira mpya Wilaya ya Mafia, Mkoa wa Pwani, kada ya afya ni miezi mitatu sasa hatujalipwa pesa zetu za kujikimu na tumefuatilia kwa viongozi wa wilaya lakini majibu hayaridhishi kabisa. Cha ajabu, wenzetu wa Kada ya Elimu wamelipwa pesa zao muda mrefu lakini sisi tunapigwa kalenda tu...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kada ya Afya Ajira Mpya, Wilaya ya Rungwe hatujapata fedha za kujikimu na Viongozi wapo kimya

    Watumishi wa Kada ya Afya Ajira Mpya, Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya bado hatuchapokea hela ya kujikimu, ajabu ni kwamba viongozi hawaongei chochote kuhusu hizo hela. Utaratibu wa malipo hayo ya kujikimu mwajiriwa inabidi apewe ndani ya wiki mbili tangu aripoti kazini ila sisi mwezi wa tatu sasa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kada ya Afya - Halmashauri ya Kilosa hatujalipwa fedha za kujikimu, tumeambiwa hadi hali ya fedha itakapotengemaa

    Sisi Watumishi wa Umma ambao ni waajiriwa wapya Serikalini katika Kada ya Afya, Halmashauri ya Kilosa Mkoani Morogoro tuna changamoto ya kutolipwa stahiki zetu za fedha za kujikimu na majibu tunayopewa yanatukatisha tamaa. Huu ni mwezi wa tatu sasa tunafuatulia malipo hayo, awali tuliambiwa...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Oral interview kada ya afya: tupeni feedback

    Habari za weekend na poleni kwa majukumu. Hivi karibuni kada mbalimbali za afya zilikuwa katika usaili was written na oral vikisimamiwa na ofisi ya rais utumishi wa umma Kwanza niwape pongezi wote waliofanikiwa kushiriki katika saili hizi zote mbili. Kwenye Thread hii naomba mtujuze Oral...
  12. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Mtu wa Kada ya Afya hujaajiriwa au unapenda fanya kazi Geita basi tukutane hapa

    Just comment unachotaka kujua au private message tupeane details na nini cha kufanya. Muwe na siku njema.
  13. Jerry001

    JamiiForums Tanzania Usaili kada ya Afya 2024: Matokeo ya usaili ya kuandika (written) Tabibu daraja la pili (Clinical officer II) yametoka

    Ingia kwenye tovuti ya ajira utumishi kuona matokeo yako: Public Service Recruitment Secretariat | PSRS . Pia unaweza kupakuwa pdf attachment no.1 hapo chini kuona matokeo. UPDATES: Matokeo ya AFISA MUUGUZI MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT NURSING OFFICER II) yametoka, unaweza kupakua pdf no...
  14. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Watu wamepigana wakati wa Usaili wa Kada ya Afya nchini Tanzania

    Watu wanachapana mikono huko, yaani ni noma sana.
  15. R

    JamiiForums Tanzania Uhuni wanaofanyiwa vijana waliokuja kwenye usaili wa kada ya afya kituo cha shule ya Sekondari Galanos, Tanga

    Naandika kwa masikitiko makubwa nikiona wanachofanyiwa vijana waliokuja kwenye usahili (written inteview) hapa Galanos Tanga. 1. Identification requirements zimekuwa mentioned katika tangazo la kuitwa kwenye usaili. Walio wengi wamekidhi kuja na vigezo/vitambulisho hivyo. Ajabu wasimamizi...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Je, kuna umuhimu kama taifa kufanya usaili kwa kada ya Afya na Ualimu ndo Uajiri?

    Leta hoja yako, ijikite kwenye 1. Kwanini miaka mingi kada hizi hazikuwa na usaili isipokuwa sasa. 2. changamoto kiujumla za Mchakato wa usaili kwa kada hizi 3. Faida ya kufanya na kutofanya usaili 4. Bajeti za wizara kutekeleza usaili. 5. Hitimisho. Soma Pia: Kada ya Ualimu na Afya wafanyiwe...
  17. kante mp2025

    JamiiForums Tanzania Mabosi wa taasisi binafsi, ruhusuni vijana kada ya afya wakafanye intrerview

    Imebainika baadhi ya taasisi private zimeanza kutoa vitisho kwa vijana waliochaguliwa kwenda kufanya usahili katika kada mbalimbali za afya maboss hao wameanza kuwatisha vijana kuwa wakifanya usahili basi na vibarua vyao ndio vitaota nyasi. Acheni hii, ruhusuni vijana wakapambane kuna...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Usaili kada ya Afya utaanza Septemba 2 mpaka 9, 2024

    Leo utumishi wametoa majina ya wasailiwa kada ya afya, usaili huo utaanza septemba 2 mpaka tarehe 9, katika mikoa waliombea nafasi! Niwapongeze sekretariati ya umma kwa kazi nzuri ambapo kwa sasa ni imani yangu saili zote zitafanyika kwenye mikoa ya waombaji hii itawaondolea vijana gharama na...
  19. Rockefeller

    JamiiForums Tanzania Msaada kubadili kituo cha usahili kada ya Afya

    Wakuu Habari, Naombeni msaada nawezaje kubadili kituo cha kufanyia usahili. Nimepangiwa interview lakini sitoweza kufika katika kituo hicho husika nataka nibadilishiwe kituo cha kufanyia huo usahili. Sekretarieti ya ajira leo hawashiki simu kwenye namba zao. Msaada wakubwa🙏
  20. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Jiandae kwa usaili kada ya afya

Back
Top Bottom