kabudi

Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi (born February 24, 1956) is a Tanzanian lawyer who currently serves as the country's Minister for Constitution and Legal Affairs since April 2021 appointed by President Samia Suluhu. He was a Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation appointed by President John Pombe Magufuli since 2020 to 2021.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Kabudi alivyowanyanyua Wanyaturu Singida na kuwasahau Wanyiramba

    Siku zote nilikuwa nikikutana na Prof. Kabudi ninamhusisha moja kwa moja na Wanayaturu kwa yale macho yake. Wanayaturu wengi niliosoma nao pale Mwenge Sekondari na hata Mazengo Sekondari walikuwa na macho ambayo ni kama makengeza fulani hivi. Sasa kila nilipomwona Kabudi nilimfananisha na Mzee...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Balozi Polepole kapotelea Cuba, ameungana na Kabudi na Dr. Bashiru Ali kujisomea majarida. Maskini kutoboa si kazi ndogo!

    Polepole amejitahidi kuandika andika na kusema ila mwisho ameishiwa pumzi baada ya vyombo vya habari kumkataa pamoja na mvuto kwenye social media kupotea. Huyu ni moja ya watu waliotoka familia maskini kama ilivyo kwa Bashiru na Kabudi. Kwa kuonekana wanataka kukitutumua familia za kifalme...
  3. I

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Prof. Kabudi asema aliyevujisha mkataba wa DPW katuvua nguo

    Inadaiwa kuwa Prof. Palamagamba Kabudi amenukuliwa kwenye Mtandao wa Clubhouse akisema alievujisha huu Mkataba wa Bandari ametuvua Nguo, tumeweka Ujinga wetu wote hadharani. Ni kwei Prof. Kabudi kazungumza maneno haya?
  4. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Kwenye sakata hili la Bandari, Prof. Kabudi, Bashiru Ally, Humphrey Polepole jiandaeni kujibu mbele ya Mungu wenu kama mnamwamini

    Binafsi Imani Yangu kwenu haikuwahi kuwa na Shaka. Ukimya wenu kwenye suala hili la bandari bila kujali nafasi mlizopewa unadhibitisha kuwa hamko tofauti na watanzania wengi wanaotetea matumbo Yao. Haijalishi mnazo nafasi gani kwenye hii serikali. Ukimya wenu ni majibu tosha kuwa tuliwaweka...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Natamani watu kama Spika Tulia, Lissu, Shivji, Mwakyembe, Kabudi, Halima na Masereka waandae kongamano. Tuone jinsi Tulia atakavyowatoa jasho

    Dr. Tulia Ackson kishawaambia mkataba hauna vifungu vyenye kasoro. Lissu anasema vipo vyenye kasoro. Kabudi anasema hakuna vyenye kasoro. Shivji anasema Kuna vyenya kasoro. Masereka anasema Kuna vyenye kasoro. Feleshi anasema hakuna vyenya kasoro. Hao wote ni wanasheria. Sasa sijui nani yuko...
  6. Kasanzu The Great

    JamiiForums Tanzania Kwanini Profesa Kabudi anaandamwa?

    Kumekuwepo na utitiri Wa watu kumuandama na kumkashifu Prof. Palamagamba Mwaliko Aidan Kabudi hasa katika mjadala huu Wa Sakata la DP WORLD. Kwanini imekuwa hivi!? Mwanasiasa ni binadamu anayefanyakazi kwa kutazama kiongozi Wa nchi anataka nini. Hii ni nidhamu ya kutawala ambayo imekuwepo...
  7. Mnada wa Mhunze

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kabudi kuachia nafasi zote za kisiasa

    Taarifa za ndani kutoka kwa watu wake wa karibu zinadai mzee anafikiria kuachia ngazi zote za kisiasa. " Toka juzi hayupo sawa na aliwataarifu baadhi ya rafiki zake wa ndani akiwamo kiongozi mkubwa mstaafu kwamba anataka ku resign nafasi zote za kisiasa." " Yule huwa harudi nyuma nafikiri...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Profesa Kabudi kamuingiza chaka na Rais Samia?

    Kama ilivyokuwa wakati wa biashara ya Korosho wakati ule wa utawala wa the late emperor chuma mwendazake jiwe Magufuli, tukapigwa na kitu kizito na korosho hazikuuzika. Tukapigwa kwenye mikataba ya ACACIA na Barick, kabudi huyu huyu alikuwepo. Na sasa ni yeye tena au kasingiziwa?
  9. Mnada wa Mhunze

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kabudi: Sifahamu wao kuhusu mimi nimechagua kuishi

    "....mwanangu nina watoto kama wewe na wajukuu pia katika muktadha huo hunibidi hasa kwa wakati huu ning'amue baadhi ya mambo kwa umakini mkubwa na ndiyo maana nimekujuza kuhusu u muhimu wa umri niliobakiwa nao niutumie kuishi vyema na wao." "....jawabu langu li bayana sitogombea!" Profesa.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi Magufuli: Tumerogwa na nani?

    Mbali na viongozi kujua wanaowateua ni bure kabisa lakini bado wanaendelea kuteua watu hao hao! Awamu zote mambo ni haya haya, miaka nenda rudi bado tunafanya makosa haya haya! Hii inafanya tupigie mstari wa wino mwekundu kuwa, kuna ka mkono kao huwa kanahusika kwenye upigaji wa hii mikataba...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi aibuka. Aililia tembo kuvamia Mashamba ya Wananchi wa Kilosa

    Mbunge wa Kilosa, Profesa Palamagamba Kabudi amesema wananchi wa Jimbo la Kilosa wamekuwa wakipata usumbufu mkubwa kwa tembo kuvamia mashamba na kuharibu mazao na miji ya watu na kwa muda mrefu wananchi hao hawajalipwa kifuta machozi kutokana na uharibifu huo. Pia, ameomba Wizara ya Maliasili...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Professor Kabudi apotosha kuhusu Uraia pacha! aombe msamaha

    Msikilize Emanuel akitoa data za ukweli anzia dakika ya 17:05
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hoja za Profesa Kabudi kuhusu uraia pacha si za kweli

    Nimeshangazwa sana na hotuba ya profesa Kabudi bungeni kuhusu uraia pacha. Alianza kwa kusema amefanya utafiti Lakini alichokiongea ni uongo mkubwa na bunge lingelikuwa na heshima ya ukweli ingebidi aitwe ili kusahihisha makosa kibao kwenye utafiti wake. Nimeona ni bora kufanya fact check ya...
  14. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Kwanini Palamagamba Kabudi yupo nje ya Baraza la Mawaziri?

    Nimemsikiliza mbunge Aidan Kabudi akichamgia mjadala bungeni muda sio mrefu. Hakika mchango wake ni bora sana. Ninalotaka kusema hapa ni kwa nini mtu kama huyu mama amemuweka nje ya baraza la mawaziri. Mtu msomi ambaye ni hazina kubwa tunamtoa badala yake unaweka watafuta kwa nguvu nyingi...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: Mkulima kuwafungulia kesi vigogo Mwigulu, January, Kabudi na Mbarawa

    Mkulima Thomas Nkola ametaja watu 10 ambao wametajwa kwenye ripoti ya CAG anakusudia kuwafikisha mahakamani Mwigulu Nchemba, January Makamba, Prof. Makame Mbarawa, Prof. Palamagamba Kabudi, Maharage Chande, Masanja Kadogosa, Habinder Seth na wengineo waliotajwa na CAG. Chanzo: Jambo TV
  16. K

    JamiiForums Tanzania Profesa Kabudi tunakushukuru kutusaidia sana kuangalia mikataba

    Pamoja na uchawa wake na kupenda kujipendekeza kwenye mikataba Professor kabudi umesaidia sana kuangalia mikataba na kuweka uwazi ambao haukuwepo. Zamani tulikuwa na Chenge ambaye alikuwa anajifikira yeye kuliko nchi
  17. benzemah

    JamiiForums Tanzania Kabudi: Tanzania imeweka historia, ndio nchi ya kwanza Afrika kusaini mkataba wa hisa isiyofifishwa

    Leo hii Jumatatu April 17 2023 Serikali imesaini mikataba na kampuni tatu za madini za Australi zinazohusisha uendeshaji wa uchimbaji wa Madini ya Kinywe (GRAPHITE) na madini adimu (RARE EARTH ELEMENTS) katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma na kushuhudiwa na Rais Samia Suluhu Hassan...
  18. Babyloni

    JamiiForums Tanzania Prof Kabudi ni hazina kwa taifa letu akiweka siasa za uchawa pembeni

    Taifa letu limejaliwa kuwa na wabobezi wengi katika nyanja mbali mbali kama siasa, uchumi n.k. Nikiri kuwa siasa za nchi hii zinawaharibu wataalamu wetu wengi kwa ambao tumebahatika kumfahamu prof Kabudi kabla ya kuingia katika siasa za CCM watakubaliana na mimi kuwa huyu prof ni smart sana na...
  19. mngony

    JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa kutowaona wakina Kabudi, Makonda, Hapi Bashiru na wengine huko Chato. Hongera Waziri Bashungwa

    Bila shaka ni watu ambao kwa namna moja au nyingine aliwabeba na kuwapa nafasi ya kuongoza, kujifunza na kupanda kisiasa Aliziba masikio kelele za watu wengi dhidi ya baadhi yao na hata kukataa ushauri wa watu wa karibu na wataalamu juu ya kuwaweka pembeni, alifikia hatu kusema 'yeye ndio Rais...
  20. Chikenpox

    JamiiForums Tanzania Kwanini Polepole, Bashiru, Makonda, Kabudi nk walikuwa wanaamini katika maguvu na ubabe tu?

    Katika uongozi uliopita kila kitu ilikuwa amri na bunge lilikosa kabisa uelekeo wake mana wanachojadili kinaweza kupinduliwa kibabe na asiwepo wa kuhoji. Ikatengenezwa image kwamba wapinzania ni maadui wa nchi kumbe siyo kweli. Mpaka lisu akashambuliwa kwa masasi eti ni msaliti while in actual...
Back
Top Bottom