kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Vyeo 9 vya nguvu alivyoshika Uhuru Kenyatta kabla ya kuwa Rais

    Rais anayeondoka Uhuru Kenyatta aliwashukuru Wakenya kwa fursa nyingi walizompatia kuhudumu katika majukumu mbalimbali ya umma katika miongo miwili na nusu iliyopita. Akihutubia Taifa katika Ikulu mnamo Jumatatu, Septemba 13, Rais anayeondoka alikumbuka safari yake katika utumishi wa Umma...
  2. JamiiForums Tanzania Jumamosi iliyopita kuna Timu Moja ilikuwa inaendeleza kile ilichokizoea na nyingine imeonjeshwa Asali kabla ya Kulambishwa Chungu

    Huenda mwisho wa Kufurahi kwa hiyo Timu na Mashabiki wao ukawa ni Weekend ijayo ( hii ya sasa ) na baada ya hapo Kununa (kwa Kufurumushwa kabisa Michuanoni ) Kukaanza ama kutokea Sudan au Ethiopia.
  3. JamiiForums Tanzania Mapiramidi ya Misri yalijengwa kabla au baada ya mafuriko ya siku za Noah?

    Eti wakuu. Yale mapiramidi ya kwanza kujengwa huko Misri. Yalijengwa kabla au baada ya mafuriko ya siku za Nuhu?
  4. JamiiForums Tanzania Elizabeth, kabla ya kifo chako uliwahi kuwaomba msamaha watu weusi?

    Japo kwa cheo QUEEN ELIZABETH wewe ulikuwa malkia kwa maana kiongozi hakosei. ila kwa upande wengine tukitoa cheo chako wewe Elizabeth Alexandra Mary Windsor ulikuwa ni binadamu kama binadamu wengine. na japo kosa haukulifanya wewe walifanya watu wengine ila ungetudanganya basi hata kwa neno...
  5. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mambo muhimu ya kuyafahamu kabla ya kuomba wazo la biashara mtandaoni

    Nifanye biashara gani? Nipeni wazo la biashara, nina mtaji wa milioni mbili nifanye biashara gani? Naomba wazo la biashara, biashara gani inayolipa? Haya ni maswali ambayo watu wengi hasa vijana wamekuwa wakiuliza au kuomba ushauri kupitia mitandao ya kijamii. Kuomba wazo la biashara mtandaoni...
  6. B

    JamiiForums Tanzania "Watu wasikamatwe kabla ya uchunguzi," Waziri Mkuu Majaliwa haimuhusu?

    Kumesikika Uyui Tabora watu kutuhumiwa kula kwa urefu wa kamba zao. Waziri Mkuu kaamuru wakamatwe kisha TAKUKURU wafanye uchunguzi. Hii imekaa je ikizingatiwa hawa ni watuhumiwa tu bado? Hivi hawa TAKUKURU wenye kusubiria amri kama hizi hata kuna haja gani ya kuwa nao? "Kwa rushwa...
  7. JamiiForums Tanzania Ni kipi ulitami ungekijua kabla ya kufika miaka 23?

    Habari za saa hizi. Je, ni mambo gani unatamani ungeyajua kabla hujafikisha miaka 23, Share hapa na wengine wajifunze.
  8. JamiiForums Tanzania Mambo kumi ya kuzingatia kwenye Blog yako kabla ua kuanza rasmi

    Hello, natumai mu wazima. Kwenye kujaribu kuiongelea Blogging kwa kina, kutokana na maombi ya baadhi ya wadau, nimeona mwanzo kabisa uwe na Basics, na hapa ntaongelea mambo ambayo utahakikisha umeyaweka sawa kabla hujaendelea na swala zima la Blogging. Mengi ya haya mambo yatakua sio mageni...
  9. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli: Nimejitoa maisha yangu kwa ajili ya Watanzania masikini

    Wote tunapenda afya njema, Amani na upendo pamoja na Uhuru wa kujieleza. Ndani ya Serikali, awamu ya tano wote tulikubaliana kuwa tutaishi na corona, kama magonjwa mengine. Kwamba atujui hili gonjwa litaisha lini na viongozi mbali mbali walikua mstari wa mbele kutuaminisha kwamba tumeishinda...
  10. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nunua kiwanja chenye pagale Madale Flamingo sasa kwa bei ya milioni 40

    NUNUA KIWANJA CHENYE PAGALE MADALE FLAMINGO SASA KWA BEI YA MILIONI 40 MAZUNGUMZO YAPO KIWANJA KIMEPIMWA NA KINA HATI. WAHI KABLA HAKIJAWAHIWA ●Kiwanja pamoja na nyumba kimepimwa ukubwa Sqm 800 ●Huduma za kijamii zote zipo karibu SIFA ZA PAGALE ●Vyumba 3 viwili ni self kimoja normal ●Jiko...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali ipige marufuku soda na vinywaji vyote vilivyoongezwa sukari

    Juzi nimesikia NIHF ipo karibu kufirisika. Waziri anasema gharama za kutibu magonjwa yasiyoambukizwa ni kubwa sana. Ni magonjwa gani hayo yasiyoambukizwa? Makubwa ni Kisukari, figo na high blood pressure. Haya kwa sehemu kubwa husababishwa na ulaji mbovu na sedentary lifestyle na yanahusiana...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Ni suala la muda tu kabla Mwigulu hajaondolewa katika nafasi yake kwa kubadilishwa wizara au kuondolewa kabisa katika Baraza la Mawaziri

    Hata kama Mama anampenda au bado ana imani na Mwigulu, ni vigumu sana kuendelea kumbakiza katika nafasi yake kutokana na reaction ya umma kwani anaonekana kuwa ni waziri anaengoza kwa kulaumiwa na kutuhumia na hivyo anakosa sifa ya kisiasa ya kuendelea kuwa waziri. Kwa maneno mengine, yeye...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Anne Makinda kusema 93% wamehesabiwa umetambuaje? Ulikuwa na idadi kabla ya sensa?

    Kamishina wa Sensa, Bi. Anne Makinda amesema kuwa asilimia 93 ya kaya Tanzania tayari zimehesabiwa. Sasa swali langu la msingi ni hili, yeye kajuaje kaya zilizohesabiwa ndio hiyo asilimia 93? Je, alikuwa anajua idadi ya kaya zote nchini kabla ya zoezi la sensa kuanza? Kama alikuwa anajua hiyo...
  14. JamiiForums Tanzania Ndugai: Viongozi tujipime kabla ya kufedheheshwa

    Kauli ya aliyekuwa Spika wa Bunge, Job Ndugai ya kuwataka viongozi wa kuchaguliwa kujipima kabla ya kugombea tena nafasi hizo katika chaguzi zijazo ili kuepuka aibu ya kushindwa, imewaibua viongozi wa siasa. Ndugai, ambaye ni Mbunge wa Kongwa (CCM), alisema yeye hatagombea tena nafasi hiyo...
  15. JamiiForums Tanzania Ni ipi sababu ya kuteguliwa Rafael Chegeni kabla ya kiapo cha Mkuu wa Mkoa?

    Anayejiita Dk ilihali u daktari wake ni wa mashaka bwana Rafael Chegeni mapema mwezi uliopita aliteuliwa awe RC Mara ajabu kabla ya masaa ya uapisho wake uteuzi wake ulitenguliwa pasina kusemwa sababu leteleza. Kwa wingi wa wajuvi humu jf pengine huenda wapo walio na ufahamu wa kipi hasa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kwamba yupo mwanamke wa kwanza kuumbwa kabla ya Hawa?

    Hello 👋👋, habari za mida. Leo nataka niwafahamishe kitu ambacho wengi hawakujui juu ya uumbaji. Bila shaka wengi wetu tunaelewa kuwa Binadamuu wa kwanza katika uumbaji wa mwenyezi MUNGU alikua ni ADAM akafatiwa HAWA kama msaidizi wake katika bustani ya Eden. Hyo yote n kwa sababu ya maandiko...
  17. JamiiForums Tanzania Jenga Mtazamo Sahihi Juu Ya Wanaume/Wanawake Kabla Hujaoa/Hujaolewa

    Tuingie moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu, watu baadhi wameingia kwenye ndoa na watu sahihi ila mitazamo yao juu yao sio sahihi, wapo wameingia kwenye ndoa sio sahihi kwa sababu ya mitazamo yao isiyo sahihi, na wapo hawataki kuingia kwenye ndoa wamebaki kutangatanga na kila...
  18. JamiiForums Tanzania Ni suala la muda tu kabla CCM hawajatuletea 'Magufuli' mwingine

    CCM walilazimika kumpa madaraka Magufuli kutokana na mazingira ya wakati ule ila walidhani wangeweza kumdhibiti. Magufuli akawashangaza na kuwafumba midomo hata wale ambao walidhani wangekuwa na sauti juu yake. Mmoja wa watu pekee ambaye NADHANI bado alibaki na kauwezo fulani ka kumkemea alikuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa maswali haya sensa imefeli kabla haijafanyika!

    Kwanza maswali ni mengi bila sababu ya msingi halafu mengi ni ya kijinga na kipuuzi. Ingewezekana kabisa kuwa na dodoso lenye maswali machache na ya msingi. Baadhi ya maswali wangeachiwa watendaji wa mitaa/vijiji wakisaidiwa na wenyeviti wao kwani ni ya kifamilia zaidi na yanahitaji utulivu...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali ipambane na suala la afya ya akili kwa Watanzania kabla ya kufanya mambo mengine makubwa.

    Hamjambo humu ndani? Tatizo la upungufu wa akili miongoni mwa wanajamii ya Kitanzania limekuwa kubwa sana. Vijana kwa wazee. Serikali iboreshe lishe kwa jamii hali ngumu. Nguvu kazi hasa vijana wana ukosefu wa akili na wengine wana upungufu wa akili kichwani. Vijana wa nchi hii wasomi kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…