kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Fikiria mara mbili kabla ya kuweka picha ya mtoto wako mtandaoni

    Wazazi au walezi wanapenda sana kuweka taarifa au picha na video nyingi sana kuhusu watoto wao mtandaoni. Wengine huko Instagram, wanachapisha video na picha za watoto wao wakiwa nusu uchi wakipigania chakula, midoli au kucheza mziki. Huko Twitter, wanashare picha za watoto wao wakiogelea...
  2. JamiiForums Tanzania Maandalizi muhimu kwa mjamzito kabla ya siku ya kujifungua

    Ujauzito wa mwanamke hudumu kwa walau siku 280 tangu utungwe hadi siku ya kujifungua. Ni muda mzuri unaopaswa kuchukuliwa kama sehemu ya maandalizi muhimu kwa mwanamke kabla ya kuuleta uhai mpya duniani. Kuna mambo mengi yanayoweza kufanyika, baadhi yake ni haya- Hudhuria kliniki za uzazi...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Hivi na umri ulionao bado unaendeshwa na mapenzi?

    Tunajua mapenzi yanaendesha Dunia. Tumesikia na kujionea mapenzi yalivyo na nguvu, lakini sina uhakika kama yanaweza kuhamisha milima kama wasemavyo. Umri uliyonao na mambo uliyokwisha pitia, hivi bado wewe ni wakuendeshwa na mapenzi kweli au umerogwa? Ndugu yangu kubali kukua na ujifunze...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Tahadhari ya mwisho kwa Yanga kabla ya mechi yao na Al Hilal hapo kesho

    Yamebakia kama masaa 24 kabla ya mtanange muhimu kwa Yanga na Al Hilal hapo kesho. Niwatahadharishe kitu kuwa, kesho inaweza ikatokea bahati mbaya Yanga wakafungwa goli la mapema sana. Sasa niwaambie ndugu zangu hawa kuwa, hawatakiwi kukata tamaa mpira ni dakika 90. Goli la mapema linaweza...
  5. JamiiForums Tanzania Mtu yoyote akikuomba Umsaidie Tsh 100/= tu kabla hujamjibu 'mlambe' Kwanza Bonge la 'Kelebu' akome

    Hii ni Mbinu mpya ya Wachawi (hasa wale Chuma Ulete) ambayo huitumia kwa Kukuomba Shilingi Mia Moja (Tsh 100/=) na ukijifanya Mwema, Mtoaji na mwenye Huruma jua imekula Kwako kwani Pesa zako zote zitaishia Kwake / Kwao. Na mara nyingi hawakuombi kuanzia Mchana bali huhakikisha wanakuomba...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya wapewa saa 24 kukamilisha usajili wa line kabla ya kuzimiwa mawasiliano

    Watumiaji wa Simu nchini humo wamebakiwa na chini ya saa 24 kukamilisha usajili wa laini zao za simu kabla Mamlaka ya Mawasiliano (CAK) haijazima huduma za mawasiliano yao. Kwa mujibu wa CAK watumiaji simu na kampuni za mawasiliano waliongezewa muda wa miezi 6 kuanzia April 15, 2022 ambao...
  7. JamiiForums Tanzania LIVE-IN RELATIONSHIPS: Wakristo wanaongoza kwa mahusano ya kuishi pamoja kwa muda mrefu kabla ya kuoana au kuishi bila ndoa rasmi, nini chanzo?

    Live-in relation ship ni mahusiano ya uchumba wa muda mrefu sana bila ndoa rasmi, na ni zaidi ya uchumba, maana watu huishi maisha utadhani ya mume na mke. Mfano nina rafiki yangu, huyu ni rafiki yangu hataki kuoa na huu ni mwaka wa 10 yupo anaishi na bibie ndani ya nyumba yake na wana watoto...
  8. JamiiForums Tanzania Usiende Kwenye Usaili (Job Interview) Kabla ya Kusoma Kitabu Hiki (na Vinginevyo)

    Kitabu hiki ni kizuri. Mimi binafsi kilinisaidia katika interview yangu ya tatu baada ya kuwa nimeboronga katika interview zangu mbili za kwanza. Ndiyo nilikuwa nimemaliza chuo na kazi ya kwanza ndiyo hasa niliitaka lakini nilikutana na vijana wenzangu kutoka Kenya na Nigeria nikajua tu waziwazi...
  9. JamiiForums Tanzania Kabla ya kupeleka gesi yetu Kenya tutafakari kwanza kuhusu haya yafuatayo

    Watanzania tuna ugoigoi katika kutekeleza na kufanikisha yale tunayoyafikiria, tunayoyapanga na hata yale tuliyoamua kuyatekeleza. Mfano, hata wimbo wa kuhamia dodoma uliimbwa kwa miaka mingi sana kabla ya kutekelezwa' Siku ambayo gesi yetu itafika Kenya, kesho yake tu asubuhi nishati ya gesi...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Beijing: Maonesho ya mafanikio ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) yafanyika siku chache kabla ya mkutano mkuu

    Zikiwa zimebakia siku chache kabla ya kuanza kwa mkutano mkuu wa Chama cha Kikomnisti cha China (CPC) maonyesho mbalimbali yameandaliwa jiji Beijing ambayo kwa sehemu kubwa yanaonyesha mafanikio ya utawala wa chama hicho ndani ya muongo mmoja uliopita. Maonyesho hayo yenye kauli mbiu isemayo...
  11. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP), apiga marufuku watuhumiwa kushikiliwa kabla upelelezi haujakamilika

    Agizo hilo limetolewa kupitia Muongozo wa Mashitaka Namba 1 wa mwaka 2022 ambao pia unaagiza upelelezi wa mashitaka kukamilika ndani ya siku 90 na zikizidi iwe kwa kibali maalumu cha DPP. Aidha muongozo huo umeongeza kifungu cha 131A kinachoweka ulazima wa kukamilisha upelelezi kabla ya...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Jicho la tabu: Marekani wakijiridhisha Putin anapanga kutumia nyuklia, watamuwahi kabla hajafanya hivyo na watamgeuzia kibao katumia

    Ushindi katika vita ya nyuklia hautamuliwa na ubora wa Jeshi wala silaha nchi husika ilizonazo, bali ni nani atamuwahi mwenzake katika kutumia nyuklia kushinda/ kumaliza vita. Kwa msingi huo, msitegemee Marekani asuburi Russia atumie nyuklia ndio nae ajibu mapigo, bali atamuwahi...
  13. JamiiForums Tanzania Simba S.C. kwenda Angola siku moja kabla ya mechi ni takwa la kiufundi au bajeti imekata?

    Na kama ni takwa la kiufundi mwambieni huyo aliyeamua hivi kuwa hii ni hatari na itatugharimu kimatokeo. Ningewaelewa Simba S.C. (hasa kiufundi) kama wangeenda Angola siku tatu kabla ila hii ya kwenda siku moja kabla ya mechi (yaani Jumamosi na kucheza Jumapili) ni hatari kimchezo...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali ijiridhishe kwanza kabla ya kusukuma jambo kwa wananchi

    Serikali sio kitu cha mchezomchezo kinachopaswa kutiliwa mashaka na wananchi. Watu wote wanaojiita "sisi Serikali" lazima mfanye utafiti wa kina kabla ya kutamka, kuagiza na kuutekeleza jambo kwa wananchi ili kuepuka wananchi kuitilia mashaka Serikali Yao. Sio jambo Jena kwa Serikali kuomba...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Angalia Rushwa (rushwatozo) ya trafiki toka Tanga mpaka Lushoto kabla ya Kinana kuingilia kati

    Nimehojiana na dereva alivyokuwa anatoa rushwa kwa trafiki na kumshukuru Kinana kupunguza trafiki barabarani. Unatoka Tanga kwenda Lushoto. Unatoa rushwa as follows 1. Ukitoka Tanga stend ya zamani kabla ya kufika Kange stend unatoa 2,000 2. Kange stend kabla ya kuanza safari ya L:ushotondoka...
  16. JamiiForums Tanzania Putin alimheshimu sana Trump, ubabe wake aliufanya kabla Trump hajaingia madarakani na baada ya Trump kutoka madarakani

    Siwezi kusema Putin alimuogopa Trump lakini ni wazi alimpa heshima yake kwa kutojaribu kufurukuta kama alivyozoea. Putin aliitwanga Georgia kipindi cha Bush, aliichukua Crimea kipindi cha Obama, Ahakufanya vurugu kwa Trump, kaivamia Ukraine kipindi cha Biden. katika historia nzima ya marekani...
  17. JamiiForums Tanzania Saba wauawa katika shambulizi la Ukraine, Urusi yaondoa nyambizi zake

    Kwa ambavyo Ukraine wanatembeza kichapo, sasa hivi chochote cha Mrusi inabidi kufichwa mbali, wametorosha nyambizi zilizokua black sea. ============= A Ukrainian strike on a village in the Luhansk region of eastern Ukraine killed seven people on Tuesday, the TASS news agency reported, citing...
  18. JamiiForums Tanzania Wewe mwanamke mwenzangu achaga hizi mambo utazaa kabla ya muda wako

    Wana wa mama tozo hopeful mnapambana ipasavyo... Basi bwana mwezi uliopita nikiwa benk flan ya kikulima kikulima nikakutana na ndugu yangu kwenye ukoo tulipotezana mda sana. Huyu ndugu alikuwa na mkewe pamoja na rafiki wa mkewe. Hawa wanawake wote walikuwa na vibendi vikubwa tu vya kujifungua...
  19. JamiiForums Tanzania Yanga fuatilia mechi za El hilal au St george kabla ya Oct 7

    Yanga itapambana na mmoja kati ya timu hizo ili mshindi aingie mechi za makundi. Tatizo lipo kwetu yanga tunaanzia nyumbani na kumalizia ugenini kutokana na ratiba ya mechi . Ili kuzifunga mabao mengi nyumbani El Hilal au St George ni lazima kujua aina ya uchezaji wao ili mbinu zetu...
  20. JamiiForums Tanzania Putin alikua amekoswa koswa kuuawa mara sita, ndani ya nchi yake

    Jamaa anaishi maisha magumu sana kama kibaka, anaogopa hadi kivuli chake ndani ya nchi yake pamoja na utajiri wote ule. Anawindwa kuuawa kila siku tena ndani ya nchi yake supapawa ambapo ndiye rais. Najaribu kuwaza maisha wanayoishi wahudumu wake wakiwemo wapishi, lazima wananyimwa amani sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…