kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania Viwanja vimebaki vichache sana Mabwepande. Mnaowahi fanyeni haraka

    Picha zinaongea yote, wahusika wameshachezesha kuwahi viwanja. Walisema walipoulizwa kwa contacts zao, kwamba kuanzia tarehe 17, sasa itakuwa tarehe 25 Februari. Mnao wahi mkawahi. Labda vitapungua tena na tena kabla. Halmashauri inatakiwa kujieleza kwanini wanadanganya wananchi.
  2. JamiiForums Tanzania Jioni ya leo Namungo dhidi ya Simba ni mechi safi isiyo na makando makando huwezi tabiri mshindi kabla ya mechi

    Tukashuhudie mechi ya ligi kuu NBC kweli isiyo na mipango twendeni tukaone mechi kikosi vikipangwa bila maelekezo toka kwa wamiliki wa timu ....Hata simba akishinda huwa anapata point halali za jasho na damu wachezaji wana henyeka hii inawasaidia sana simba kwenye mashindano ya caf ,kufanya...
  3. JamiiForums Tanzania Jihadhari sana kabla hujamkopesha mtu, Kuna wengine kila anayemkopesha anakufa au anapata ugonjwa mbaya sana

    Shika neno hili. Kuna mtu ukimkopesha Hela, kila mara unakuwa mtu wa kupoteza simu na mtu msahaulifu. Mtu mwingine ukimkopesha Hela Yako, anakupeperusha, unajikuta bila sababu yoyote umehamia mbali na eneo la mdaiwa wako. Mtu mwingine ukimkopesha Hela, unajikuta unaanza kuandamwa na makesi ya...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Jamaa anaosha maziwa kabla ya kupeleka sokoni

  5. JamiiForums Tanzania Uhalisia wa mambo, Kabla na Baada ya Uchaguzi

    Kabla ya uchaguzi mambo huwa hivi 👇🏽 Baada ya Uchaguzi mambo huwa hivi 👇🏽 AKILI KUMKICHWA 😀
  6. JamiiForums Tanzania Maoni ya mahakama kabla ya hukumu

    Naomba kuuliza wataalamu wa Sheria,maoni yanayo tolewa mahakamani kuelekea kutolewa hukumu yenyewe ndio yanatoa hukumu itakavyo kuwa?Asante
  7. JamiiForums Tanzania Tukumbushane maisha yalivyokuwa kabla ARV hazijaanza kutolewa

    - Hizi ARV zimeanza kutolewa kwenye mwaka 2003 au 2004 hapa wenye kumbukumbu sahihi mtanirekebisha. kabla ya hapo hapakuwa na dawa za kufubaza. - Ugonjwa huu uliogopesha sana kiasi ambacho jamii haikuwa tayari kuuzungumzia. kimya kikuu kilitanda bila shaka kila mmoja akiomba kwa mola wake...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanaume kuzama chumvini kumridhisha mwanamke ni dalili za ukichaa

    Tupu ya mwanamke inatabia ya kujisafisha yenyewe napia ina bakteria walinzi wa kuilinda hata kama utaingiza ulimi hao bakteria walinzi watajua ni adui kaingia hivyo watakushambulia, Japo kuna wanawake wengine wanaiosha kwa kulazimisha ili kutoa mauchafu waliyomwagiwa na kila mwanaume au...
  9. JamiiForums Tanzania Kitakachotokea Dakika za Mwisho Kabla ya Vita vya Nyuklia (Nuclear War): Marekani Chini ya Shambulizi Kuu kutoka Urusi

    Katika enzi ya kisasa ambapo uhasama wa mataifa makubwa unazidi kushamiri, hatari ya vita vya nyuklia haijawahi kuwa kubwa zaidi. Marekani na Urusi, mataifa mawili yenye silaha za nyuklia zenye uwezo wa kuangamiza ustaarabu wa binadamu mara kadhaa, hujikuta katika mgogoro mkubwa wa kijeshi...
  10. JamiiForums Tanzania Athari za Mfumo wa Kichama kwa Idara za Usalama na Ulinzi Kabla na Baada ya Uhuru

    Kutoana na kutoka ukoloni mpaka kuwa watawala kuna utofauti kati ya idara za usalama na ulinzi kabla na baada ya uhuru, hasa katika muktadha wa Afrika na mataifa mengine yaliyojitawala kutoka kwa wakoloni. Kabla ya uhuru, idara za usalama na ulinzi mara nyingi zilikuwa zikitumika kama vyombo...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Ewe mzazi, kabla ya kumpa mtoto jina, fikiria kitaa, ujana wake na shuleni ataishije nalo. Mtoto wa kiume anaitwa "Cesi"....

    Ewe mzazi ukiwa unatafuta jina la kumpa mtoto wako punde baada ya kujifungua, kifiria kwanza hilo jina akifika muda wa balehe (ujana) ataweza kuishi nalo mbele ya vijana wenzake?? Watoto wengi sana wanafanyiwa bullying kupitia majina yao na wanaishia kuyakataa au kutenda uhalifu. Juzi hapa...
  12. JamiiForums Tanzania Dhana ya kuchunguzana kabla ya kuona ina tumiwa na wanaume kuchezea na kupotezea muda mabinti za watu

    Kama kichwa cha mada husika kinavyo sema hapo juu, siku hizi kuna dhana inayo sema eti kabla ya kuoana ni lazima kuchunguzana ili mjuane ndo muoane eti ndo ndoa yenu itakuwa imara,kwa jina lingine tuite uchumba sugu. Lakini cha kushangaza kwenye huu ulimwengu wa kisasa ambao watu...
  13. JamiiForums Tanzania Unatumia kwa muda gani gari unayomiliki kabla hujaiuza au kumwachia mtu mwingine?

    Wakuu unatumia kwa muda gari unayomiliki kabla hujaiuza au kumpa mtu mwingine? Je ni mwaka 1 au miaka 2, 3, 7, 10?
  14. T

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufunga ndoa ukae siku ngapi ili ufanye tendo la ndoa?

    Habari, nimekuja kuwauliza kwa niaba ya rafiki yangu ambae kesho anafungana ndoa ila kichwani anawaza sana akae siku ngapi baada ya kufunga ndoa ndipo afanye tendo na mke wake? Nimemwambia afanye tendo usiku wa ndoa yeye akasema anaogopa mke wake akamuwazia vibaya kwamba alimuoa kwa tamaa za...
  15. JamiiForums Tanzania Kabla ya Good luck Gozbert kuchoma gari angeanza na kujiuliza maswali yafuatayo

    Good luck Gozbert ni kijana aliyekosa maono katika maisha yake binafsi. Huyu jamaa anapewa Gari , anapewa Nyumba n.k ni baada ya yeye kuachana na Management yake ya mwanzo. Kafanya Kazi nyingi sana kubwa Ila akashindwa kujijunulia Gari , akashindwa kuoa, akashindwa kujenga. Baada ya...
  16. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Free Dr Slaa, tunamuhitaji kudai Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya kabla ya Oct 2025

    Hellow Tanganyika! Mzee Slaa ameshiriki kiasi kikubwa kuleta mabadiliko ya Fikra Nchi hii, mchango wake ni wa kupigiwa mfano. KAZI iliyo mbele yetu ni kulazimisha mfumo huu kandamizi kusikiliza, kutii na kutekeleza matakwa ya umma wa wananchi Watanzania tutakao mabadiliko ya Kweli kimfumo Ili...
  17. JamiiForums Tanzania Tetesi: Wenje kujitoa Chadema kabla ya kufukuzwa

    "....kachanganyikiwa!" "...hivi anapigia simu watu wake kule CCM mfululizo. Mkubwa mmoja kamshauli aondoke kabla ya kushughulikiwa ili eti kulinda heshima yake. Kaahidiwa mapokezi makubwa siku ya Ziara ya Rais Samia hivi karibuni atakapo kwenda kuzindua ile Meli mpya." Duru.
  18. JamiiForums Tanzania Usiende ughaibuni kutafuta maisha

    Katika mapambano ya maisha muda mwingine watu tunakata tamaa, kukata tamaa huanzia ngazi ya mtu binafsi hapo utasikia nafsi inakwambia jiue😭😭😭, mtu huyo huyo anaweza kuikatia tamaa familia yake kwasababu haimsaidii wengi wao hujitenga na familia zao, Kisha anaikatia tamaa nchi yake kua...
  19. R

    JamiiForums Tanzania CCM wamepiga marufuku wanachama wao kuanza kampeni kabla ya muda, lakini wao kuchaguana kabla ya muda sawa......AUTHORITARIAN OF HIGHEST DEGREE

    Ukisikia hekaya za aAbunuwasi ndiyo hizi. Jana Samia amekataza watu kuanza kampeni kabla ya muda. Strange enough wao wamechaguana tayari kabla ya Jogoo kuwika. Ukisikia chama cha kishenzi ndiyo hiki! Total dictatorship/authoritarian = favouring or enforcing strict obedience to authority at...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Wafahamu kwa Majina Makamu Wenyeviti Tangia Kuasisiwa Kwa CCM 1977. Ujue Kwanini Ameteuliwa Mzee Stephen Wasira na wote wamezaliwa kabla ya Uhuru

    Ndugu zangu Watanzania, Hawa ndio Makamu Wenyeviti wa CCM tangia Kuasisiwa kwake Mwaka 1977 Februari 5. Ukiwatazama tu na kufuatilia tu historia zao na heshima zao katika Taifa letu .utagundua kuwa nafasi hiyo haijawahi kushikwa na mtu mwepesi mwepesi na asiyefahamu historia Ya Taifa letu. Ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…