kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tetesi: Barcelona wamepanga kuweka dau kubwa la kutaka kumnunua tena Messi

    Barcelona wamepanga kuweka dau kubwa la kutaka kumnunua tena Lionel Messi kabla ya msimu wa 2026/27, kwa mujibu wa ripoti kutoka nchini Argentina. Messi alihudumu Barcelona kwa zaidi ya miongo miwili huko Catalonia kuanzia mwaka 2000 mpaka msimu wa joto wa 2021, akijiunga na Paris Saint-Germain...
  2. JamiiForums Tanzania Kabla ya kuingia itikadi ya msimamo mkali Mashariki ya Kati ilikuwa huba ya kisomo, uvumbuzi na utulivu

    Kabla ya wengi wa vijana wa kiarabu na kiajemi kurubuniwa ufahamu wao na mindset zao kuwa engineered katika fujo, force na chaos while kutupilia mbali utu na teknolojia, mahala pale palikuwa penye utulivu na intelect ya kutosha. Pafyumu Kinu cha kusindika miwa Incense Burners Vifaa na elimu ya...
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri: Mchumba wangu anataka kunipeleka kwa Mchungaji wake kabla

    Mwaka huu tuna mpango wa kufungw ndoa na huyu mpenzi wangu na tulikubaliana nitume mshenga apeleke posa kwao, Sasa naona amekuja na hoja kwamba kabla ya yote anipeleke kwa Mchugaji wake wa miaka mingi na ana muhamini sana huyu mchugaji wake kwa maono ya mambo ya Nyuma ya pazia, je ni sahii...
  4. JamiiForums Tanzania Matukio ya Wiki kabla ya msiba (10-16 Machi 2021) wa Magufuli yanafikirisha

    1. Ziara ya PM Njombe kukatishwa na Kauli Tata kumhusu JPM iliyotolewa Masjid (kuwa Mpendwa wetu yupo kazini anachapa kazi). 2. Ndege kadhaa za kijeshi kuonekana sana angani uelekeo Nairobi, 3. Kauli za kutisha wananchi wanaotaka kujua Hali ya mpendwa wao (Kauli ya Bashungwa), **Kila nikikumbuka...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kundi kubwa liloshindwa kabla ya ushindani limeteleza kwenye Upotoshaji wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa ndani ya Jimbo Moshi mjini....

    Kundi kubwa liloshindwa kabla ya ushindani limeteleza kwenye Upotoshaji wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa ndani ya Jimbo Moshi mjini.... Kundi Hilo limeathirika kwa kushindwa kujinadi nini watafanya na kwanini aliyekupo hajamaliza mnampiga vita na kutusi na kukejeli KAZI za kutekelezwa...
  6. D

    JamiiForums Tanzania WATANZANIA ELITES: Kabla ya kuja kwa internet, mgogoro wa Middle East mlipataje habari zake??

    Watanzania wenzangu elites wa Masaki na Oyster Bay, mlikuwa mnapata wapi habari za mzozo wa Middle East wa Israel na Palestine kabla ya Internet kuingia Tanzania?? Nimeuliza hivyo kwa maana Masaki na Oyster Bay ndio wanapokaa Think Tanks za nchi na sijasema kwa lengo la kuwakejeli au kutengezea...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri wa Nishati Toa kibanzi kabla ya kuona Boriti

    Mr. Naibu waziri mkuu na Waziri wa nishati, safisha shirika lako la tanesco. Hamna mtaalamu wa IT? Ebu tafuta deni la kodi ya Jengo uone majibu yake kwenye website ya shirika: https://www.tanesco.co.tz/customer-services/property-tax
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kwa nini viongozi wa Africa hawafanyi rehearsal ya speech zao kabla ya kwenda public?

    Hivi sisi waafrica nani aliyeturoga kiasi ambacho hata viongozi hawajui ofisini wanafanya nini ilimradi tu siku ziende. Hebu angalia kauki ya juzi ya pm eti wenye digrii waende VETA. Kwa nchi ambaso ziko serious angefurushwa uwaziri mkuu palepale au kujiudhuru mwnyewe. Waziri mkuu...
  9. JamiiForums Tanzania Angalia kazi yangu kabla na baada, ikikupendeza nicheki.

    Hii ni kazi niliyofanya, picha ni kabla ya na baada ya kufanya kazi. Nilianza kwa kupiga ukuta plasta, nikamalizia kwa kuweka vipande vya tailiz chini. Ukihitaji nipigie 0624254690
  10. JamiiForums Tanzania Hoja fikirishi: Nini kilitokea kabla ya Mwanzo 1:2

    Biblia katika kitabu cha Mwanzo 1:2 inaeleza Mwanzo 1 2 Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji. Katika mstari huu kuna vitu vya kujiuliza ambavyo Natumai wajuzi wa haya mambo mtanisaidia? 1. Kwanini nchi...
  11. JamiiForums Tanzania Ni sawa kuwasiliana ukweni kabla ya kuoa?

    Wakuu hivi kama umepeleka barua kwa mwanamke umejibiwa mahari ni kiasi Fulani Je ni sawa kuwasiliana nao labda mama mkwe kumjulia Hali au baba mkwe kumsalimu ni sawa au miyeyusho??
  12. JamiiForums Tanzania Newton aligundua laws nyingi za physics kabla hajatimiza miaka 26, Wewe hapo upo katika 30s ila bado unavuta mlango ulioandikwa "PUSH". 😂

    🎓Kitu ulichogundua kikubwa ni namna ya kumbalance mtoto mzuri pale ukiwa unampiga doggy ya kulala dushelele yako isichomoke and you are very proud of it kwa maana hadi leo haijachomoka.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Akipata Chai Ya Motomoto Na Vitumbua Kabla ya kuendelea Na Majukumu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo Mkoani Tanga

    Ndugu zangu Watanzania, Kama Mnavyojua Rais wetu ni mtu wa kazi,ni mtu wa kupambana kutwa nzima .akiingia kazini anakuwa ameingia na inakuwa ni kazi juu ya kazi kwa siku nzima bila kupumzika. Kwa hiyo mapema kabisa Leo kabla ya kuendelea na ziara yake ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya...
  14. JamiiForums Tanzania Ukifiwa na mkeo unatakiwa ukae muda gani kabla ya kuoa tena?

    Kuna mzee wa kanisa mmoja alifiwa na mke hakymaliza miezi miwili akatangaza ndoa mpya kanisani na kuoa fasta. Kuna mwamba mmoja hata mwezi haukukatika akavuta kitu,ila watoto wa marehemu walimtimua kwenye ile nyumba ya familia,walimpa sharti baba yao kuwaamjengee au anpangishie nyumba ,asimlete...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanamke ni kama bidhaa, mkague mwili wake kabla ya kumuoa

    Binti ni kama bidhaa sokoni inatakiwa umkague mwili wake wote kabla hujamuoa, Kuna mtu humu jamii forums alikuja kulalamika , kuwa amemuoa mwanamke afu ndani anakutana na tattoo kubwa isiyofutuka mwilini mwake imeandikwa I 💕 love you John, afu ww ni James, je utaendelea na huyo mwanamke...
  16. JamiiForums Tanzania Je, ni taratibu gani zinatakiwa kufatwa kabla ya DAWASA kumkatia maji mteja?

    Kumekuwa na utaratibu wa Dawasa kufika eneo la nyumba na kukata maji bila hata kutoa taarifa kama wanakata maji ilhali wenye nyumba wapo na namba za simu wanazo kwenye karatasi zao. Je, hii ni sawa?
  17. JamiiForums Tanzania Jeshi la Police kamateni viongozi wa LBL ofisi zote nchi nzima mikoa yote kabla pesa hazijatoroshwa nchini

    Hawa watu ni wahuni wameshawapiga watz wanataka kusepa na pesa sasa. Meneja wao huo hapa anaitwa Emily yupo Uingereza +44 7429 429168. Ukiangalia list ya makampuni ya Uingereza hii kampuni haipo. Ukiingia google ukasearch scarm company imo so iliwezekanaje hawa wahuni kupewa vibali vya kufanya...
  18. JamiiForums Tanzania Kabla Simba hajapigwa Zile 5 Kulikua na Trend ya Yanga Kufunga goli 5 kwenye Michezo ya Nyuma yake Msimu huo ni kama Msimu huu tu.

    Mashabiki wa Simba Mashabiki Simba nawaita Tena Simba jiandaen kalieni kusema Yanga ananunua match ila mnajisahau kwenye hili. Muulizeni Mganga wenu hili kama analifanyia kazi? Nenden mkajikumbushe games 5 za nyuma za Yanga kabla hajaja kuwapiga Zile 5 alikua anashinda Kwa goli ngapi ngapi...
  19. JamiiForums Tanzania Wapi nitapata fuvu/mabaki ya binadamu mzungu aliyekuwa nyani kabla ya kuwa modern man?

    Wakuu ntangulize shukrani kwa wajuvi wa mambo,nikili tu kwamba mimi somo la history nilikuwa mweupe. Ila nakumbuka kama vile fuvu la binadam-nyani wa kale linapatikana Afrika mashariki. Olduvai George (mtanikosoa) Sasa fuvu hili ni wazi ni la mwafrika au mtu mweusi,sasa swali langu ni je fuvu...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari wengi walishindwa kujaza 21% ya ajira kwasababu ya Necta, vyuma vimelainishwa tutegemee kuona wazanzibari wengi zaidi maofisini

    Hapo kabla ufaulu wa mitihani ya form 4 na form 6 ulikuwa mbaya sana Zanzibar, mbaya sana, Kuanzia miaka ya 2020s ufaulu umekuwa mkubwa sana sio tu Zanzibar ila hata mikoa iliyokuwa ikifanya vibaya bara. Wazanzibari wengi walishindwa kufika vyuoni kwasababu ya kufeli Necta lakini muda huu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…