kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kumbukizi: Kabla ya Kwenda Kupiga Kura, Msikilize Nape Nnauye anavyoelezea Hatima ya Matokeo ya Kura yako,..Tafakari, Chukua Hatua!

    Msikilize Nape Nnauye anavyoelezea jinsi wanavyoweza kubadili matoke ya Kura yako uliyopiga bila kujali matokeo halisi ya kura. Nape Nnaye amewahi kuwa Katibu Mwenezi wa CCM. Wakati akitoa kauli hii alikuwa Waziri wa Mawasiliano.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli muislam akitangulia kunyanyua kichwa kabla ya Imam wakati wa swala anageuka punda kama Sahih Bukhari inavyosema? Nani amewahi geuka punda?

    Sahihi bukhari 691 inasema wakati wa kuswali ikitokea mtu yeyote ataanza kunyanyua kichwa chake kabla ya imam wake msikitini Allah atamgeuza huyo mtu kuwa Punda. Je ni kweli watu huwa wanageuka Punda msikitini ? Imesimuliwa na Abu Huraira: Mtume (ﷺ) alisema, "Je, huyo anayeinua kichwa...
  3. JamiiForums Tanzania Niko na 510K Natafuta Simu Nzuri, Nisaidieni Kabla Sijaingizwa Mjini DSM Na Wingbacks.

    Watalamu wa tech nipeni suggestions. BRands kama Samsung na Xiaomi. Chief-Mkwawa ,
  4. A

    JamiiForums Tanzania Epuka faini ya TZS 300,000 kila mwezi toka TRA kwa kutuma taarifa ya mapato ya biashara yako kabla ya tarehe 30/6/2025.

    Kampuni nyingi zimekuwa zikitaabika sababu ya malimbikizo ya kodi toka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), malimbikizo ya madeni hayo yanatokana na faini zitokanazo na kushindwa kuwasilisha taarifa ya mapato ya biashara zao kwa wakati. Ili kufahamu nini unatakiwa kufanya …Basi soma mpaka mwisho…...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Epuka faini ya TZS 300,000 kila mwezi toka TRA kwa kutuma taarifa ya mapato ya biashara yako kabla ya tarehe 30/6/2025.

    Kampuni nyingi zimekuwa zikitaabika sababu ya malimbikizo ya kodi toka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), malimbikizo ya madeni hayo yanatokana na faini zitokanazo na kushindwa kuwasilisha taarifa ya mapato ya biashara zao kwa wakati. Ili kufahamu nini unatakiwa kufanya …Basi soma mpaka mwisho…...
  6. JamiiForums Tanzania Kabla hamjayafungia hayo makanisa tayari Mungu atakuwa amemalizana na nyie

    Bashungwa Bashungwa Bashungwa Nimekuita kwa herufi ndogo ili nikupe onyo. Most of unregistered churches ni pentecostal churches. Wapentekoste ni watu wanaodharaulika sana katika jamii nyingi duniani lakini nikuambie kitu. Usicheze na walokole. Mungu wa Walokole yuko active mno zaidi ya miungu...
  7. JamiiForums Tanzania Somo la 2: Mambo muhimu ya kuzingatia kabla hujawekeza

    🌀 Kumbuka: Katika somo letu la kwanza, tulijifunza kwa ujumla nini maana ya uwekezaji na kwa nini ni muhimu kwa kila mmoja wetu kuanza safari hiyo mapema iwezekanavyo. 📍 Leo, tunazama ndani zaidi kwa kuangalia mambo ya msingi unayopaswa kuyazingatia kabla hujawekeza hata shilingi moja. Hii...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nimekua babu kabla ya kuwa baba

    Kuna lishangazi huwa najipigia,sasa leo mwanae wa kwanza kajifungua mtoto wa kike. So nimeanza kuitwa babu kabla ya kuitwa baba as sina mtoto mpaka sasa.
  9. I

    JamiiForums Tanzania Operation DUSTCOVER: Mawimbi Yame-Intercept Kabla ya Code Kuingizwa kwenye Server

    Katika majira haya yenye kelele zisizo na ala, tunalazimika kunyoosha antenna zetu kupokea kile ambacho hakijasemwa wazi. Japo mitetemo ya chini ya ardhi haionekani kwa macho ya kawaida, waliofunzwa kusoma hewa tayari wameshaweka dots kwenye ramani ya mwelekeo. Kwa muda mrefu, baadhi ya...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna watu kabla hawaja Log in JF huwa wanafanya hili jambo. Utakuja kuwasoma unashangaa

    Akiona ana data anawasha. Kisha anaenda kwenye address au kwenye app ya explore au chrome. Kabla haja sign in anatoa ubongo anaweka pembeni kwenye kibakuli kichafu au kopo la chooni. Ndo anakuja kuanzisha thread au kuchangia. Kuna mtu anaweza andika jambo ukasema huyu inawezekana kichwani...
  11. JamiiForums Tanzania Mambo 7 ya Kuzingatia Kabla ya Kununua Laptop 🧠💻

    Unataka kununua laptop mpya? Usikurupuke! Haya ndiyo mambo muhimu ya kuzingatia: 1. Matumizi Yako Ni Yapi? Kwa kazi za kawaida – laptop ya bei nafuu inatosha. Kwa gaming, design au programming – chagua yenye nguvu zaidi. 2. Processor (CPU) Core i5/Ryzen 5 au zaidi ni bora kwa kazi nzito...
  12. JamiiForums Tanzania Mbunge apendekeza Wanaume wanaolawiti na Kubaka Wahasiwe kabla ya kufikishwa Mahakamani

    Mbunge Viti Maalum anayewakilisha Vyuo Vikuu, Dkt. Tea Ntala apendekeza Wanaume wanaolawiti na kubaka wahasiwe kabla ya kufikishwa Mahakamani
  13. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kimeumana: CAF kufanya uchunguzi dhidi ya Simba SC na baadhi ya viongozi wake

    CAF KUFANYA UCHUNGUZI DHIDI YA SIMBA SC NA BAADHI YA VIONGOZI WAKE [emoji2073][emoji3544] Kwa mujibu wa taarifa za awali, Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limeanza uchunguzi rasmi juu ya matukio yaliyotokea kabla ya fainali ya mkondo wa kwanza na baada ya fainali ya mkondo wa pili ya...
  14. JamiiForums Tanzania Faida ya Benki ya Biashara ya Tanzania (TCB) kabla ya kodi ilipanda kwa asilimia 201 hadi kufikia shilingi bilioni 44.81 mwaka 2024

    IMEELEZWA a kuwa Faida ya Benki ya Biashara ya Tanzania (TCB) kabla ya kodi ilipanda kwa asilimia 201 hadi kufikia shilingi bilioni 44.81 mwaka 2024, kutoka hasara ya shilingi bilioni 44.42 mwaka 2023, huku faida baada ya kodi ikiongezeka kwa asilimia 170 hadi shilingi bilioni 32.62 kutoka...
  15. JamiiForums Tanzania Usisome Master's kabla ya kupata experience ya kazi . Utakufa na msongo wa mawazo

    .
  16. JamiiForums Tanzania Je, Naweza kuchagua jinsia ya mtoto kabla sijamzaa.

    Hamjambo 👋🏽 👋🏽 Mimi ni mwanamume. Wajuzi wa jambo hili naomba mnipe mbinu ya namna ya kufanya. Maana nahitaji uzao wangu uwe Y, X, Y, X mpaka mwisho, ila mtoto wangu wa kwanza awe wa kiume.
  17. JamiiForums Tanzania “Mauaji ya Kikatili Kabla ya Kuanguka kwa Utawala wa Iddi Amin: Hofu, Mashaka na Utawala wa Mkono wa Chuma”

    Kabla ya kuanguka kwa utawala wa Iddi Amin Dada nchini Uganda (aliyetawala kutoka 1971 hadi 1979), kulikuwepo na kipindi cha mauaji ya kikatili yaliyofanywa dhidi ya watu aliowahisi au kuwashuku kuwa ni wapinzani wake. Iddi Amin alitawala kwa mkono wa chuma na alihofia sana mapinduzi dhidi...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia ataka Tanzania ianze kuzalisha umeme wa Uranium, asema rasilimali hiyo itumike kuinufaisha nchi kabla ya kuuzwa nje

    Rais Samia ametoa maagizo mazito kwa Lazaro Jacob Twange, Mkurugenzi Mtendaji mpya wa TANESCO, akimtaka kuiongoza taasisi hiyo nyeti kwa weledi, uzalendo, na ufanisi mkubwa. Akimwelekeza rasmi kuanza majukumu, Rais Samia amesema TANESCO ni taasisi ya kimkakati inayohusiana moja kwa moja na...
  19. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kuwa na ramani ya nyumba kabla haujaanza ujenzi

    Umuhimu wa kuwa na ramani ya nyumba ni mkubwa sana kabla ya kuanza ujenzi. Hapa ni sababu kuu: 1. Mwongozo wa Ujenzi: Ramani inaelekeza kila hatua ya ujenzi, kuanzia msingi hadi paa. 2. Kuzuia Makosa: Inasaidia kuepuka makosa ya kiufundi, kupunguza uharibifu wa vifaa na kazi ya kurudia. 3...
  20. JamiiForums Tanzania Polisi Kenya wakiwa na Silaha wazingira Ubalozi wa Tanzania Nairobi kuzima maandamano ya Wanaharakati kisa Boniface Mwangi kushikiliwa Tanzania

    Jeshi la Polisi nchini Kenya limepelekwa nje ya Ubalozi wa Tanzania jijini Nairobi leo Mei 22, ikiwa ni hatua ya tahadhari kufuatia taarifa za maandamano yaliyopangwa kufanywa na wanaharakati wanaoshinikiza kuachiwa huru kwa mwanaharakati maarufu Boniface Mwangi. Soma, Pia: Wakenya, akiwemo Mke...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…