kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Maswali muhimu ya kujiuliza kabla ya kuwekeza kwenye masoko ya fedha na mtaji

    MASWALI MUHIMU YA KUJIULIZA KABLA YA KUWEKEZA. 🔁 Kumbuka: Katika somo lililopita tuliongelea tarehe muhimu za kuzingatia wakati wa gawio. Siku ya leo tutaangazia maswali muhimu ambayo inabidi ujiulize kabla ya kuwekeza. Unajiuliza lini uanze kuwekeza? Kabla hujachukua hatua ya kuwekeza, kuna...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Kabla ya Septemba 7 Serikali itakuwa imemuachia Tundu Lissu. Kete hiyo itabadili uelekeo wa siasa za Tanzania. Je, Chadema kushiriki?

    Hamjambo! Kete pekee ambayo imebaki kubadili upepo wa kile kinachoendelea ndani ya taifa hili ni kumtoa Tundu Lissu hasa nyakati hizi ambapo Kampeni za uchaguzi zitakuwa zimepamba moto.. Kumtoa Tundu Lisu Mahabusu kutaipa nguvu Serikali na kuondoa kelele zinazoendelea na matukio mapya...
  3. JamiiForums Tanzania Kabla huruma zetu hazijavuka mipaka hadi Gaza, basi tuanze kuwaonea huruma wa Sudan na maeneo mengine ndani ya Afrika

    Tusiwe wanafiki.. au kwa vile palestina ipo live aljazeerq basi ndio sisi akina baba+mama huruma tunajikuta tunawasikitikia wa Gaza ila wa hapa kwetu ndani ya bara la Afrika hatuwaoni sio? Tuacheni unafiki.. hata hapo Sudan kuna wa Afrika wenzetu wanakufa na njaa... yeah CHARITY BEGIN AT...
  4. JamiiForums Tanzania Watanzania mnaoishi ughaibuni msitukane mamba kabla hamjavuka mto, Kuna siku mtatimuliwa huko ughaibuni

    Nyie Watanzania wenzangu mnaopotosha umma mkiwa ughaibuni jueni kuwa sera za kimataifa kila siku huwa zinabadilika ipo siku mtarudishwa nchini kwa lazima, Amani yetu ni mhimu sana, tumeikuta amani tumezaliwa kwenye amani ndo maana tupo hai mpaka Leo, wewe kwenda kanada au Marekan usiwe ndo...
  5. JamiiForums Tanzania Hakikisha mkeo hapungukiwi na mambo haya 3 ya lazima kibiblia

    1: Mavazi. Hakikisha haliilii kuhusu kuvaa. Awe na mavazi ya kumtosha. 2: Chakula. Kuna uhusiano mkubwa kati ya uzuri wa mwanamke na chakula. Hakikisha Kila anachokitaka ili ale kinapatikana KWA kuzidi. 3: Ngono au Tendo la ndoa. Huyo sio dada yako, hakikisha anapata ngono ya kumtosha...
  6. JamiiForums Tanzania Kabla ya kudharau wabunge wa darasa la saba ebu tuangalie mchango wa wabunge wasomi wa Tanzania tangu nchi ijipatie uhuru wake .

    Watanzania Wengi Ambao wanadharau wabunge , naomba watupe mchango wa wabunge ambao wamesoma wamelifanyia nini Taifa la Tanganyika.
  7. JamiiForums Tanzania Yajue haya kuhusu watanzania kabla hujawatetea na kuwapigania

    Sabato Njema! Najua Watanzania wengi hawapendi ukweli na hili likiwa mojawapo. Kabla hujawatetea Watanzania ni vizuri kuwajua vizuri kuwa ni watu wa aina gani. Kisaikolojia, kitamaduni, na kisosholojia; 1. Watanzania wengi ni wanafiki. Sio wakweli. Waongo waongo. Rahisi kukugeuka na...
  8. JamiiForums Tanzania Dkt Magembe awataka Waganga Wafawidhi kufanya Mawasiliano ya Mapema kabla ya Rufaa

    Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe ametoa wito kwa Waganga Wafawidhi wa hospitali za Rufaa kuzingatia mawasiliano ya awali kabla ya kumpa mgonjwa rufaa kwenda hospitali ya Kanda kwa lengo kutoa msaada wa haraka kwa mgonjwa. Ameyasema hayo Agosti 21, 2025 wakati akifungua Kikao Kazi cha...
  9. JamiiForums Tanzania CHADEMA tieni chumvi kwenye mchuzi wa Kiroboto kabla haujapoa

    Ni hayo tu, ndugu Kiloboto kashaweka ngozi Kwenye box, lishambulieni kwa nguvu zote.
  10. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Comment ya Kitila Mkumbo JF Kuhusu Chanel ten 2009 kabla hajalamba Asali

    GT Watu wanasema hata shetani zamani alikuwa malaika aha 😆 🤣 😄 😂 kwa kweli wansiaisa wetu wa mchongo wanalithibitisha hilo..
  11. JamiiForums Tanzania Yesu Hadi ana sulubiwa msalabani hakuwahi kujenga. Je Ina maana alikuwa anaishi wapi kabla hajaanza kazi ya ukombozi?

    Agano Jipya lote. Hakuna mahali yesu imemuandika alikuwa alikuwa na nyumba au ploti tu. Yeye mwenyewe alisema ndege wa angani Wana viota na wanyama wa mwituni Wana mapango lakini mwana wa Adamu Hana pahali pa kulaza hata kichwa chake Luka 9:58 “Ndege wa angani wana viota, na mbweha wana...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kabla ya 2012 shule nyingi zilikuwa zinatoa division one hadi three za kuhesabika. four na zero zaidi ya 90%

  13. JamiiForums Tanzania Rostam Aziz ni mwanahisa mkubwa katika Kampuni iliyotajwa na Tundu Lissu kabla hajakamatwa!

    The Ngaka Coal Mine /Tundu Lissu's Arrest The Ngaka Coal Mine, located in Mbinga District, Ruvuma Region, is the same mine that opposition leader Tundu Lissu was speaking about shortly before his arrest. In 2011, the Government of Tanzania entered into a Public–Private Partnership (PPP) with...
  14. JamiiForums Tanzania Tafadhali usile chakula kabla ya kumshukuru Mungu na kukiombea

    Kama ulikuwa hujui, kila kipande cha chakula tunachoweka mdomoni ni zawadi kutoka kwa Mungu. Maandiko yanatufundisha kwamba kila kitu kizuri hutoka kwa Baba wa nuru (Yakobo 1:17). Hizi hapa faida za kushukuru na kuombea chakula: 1. Ni njia ya kumheshimu Mungu Mtoaji – Unaposhukuru, unatambua...
  15. JamiiForums Tanzania Kesi uhaini wa Tundu Lissu: Mashahidi wa siri/kificho waanza kujishitukia wenyewe na kujitetea hata kabla. Mmoja ni huyu hapa👇🏻

    "......Huyu mzee Evarist Chahali ni sehemu ya wazushi nchini anayetegemewa na wanaharakati uchwara, Amezusha hili jambo kwamba mimi ni sehemu ya mashahidi wa siri. Ni muongo na anajua wazi ni uongo….ana agenda yake aliyoitafuta kwa muda mrefu. Amekuwa akinishambulia tangu 2015 lakini nimekuwa...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Watibeli tunaiomba Serikali kumuachia Tundu Lissu Septemba kabla ya Septemba 7

    Hamjambo wote! Tayari misukosuko imemtosha, tunaita ndio mambo ya siasa hayo. Tunaiomba serikali kabla ya septemba 7 iweze kumuachia Tundu Lisu. Hatusemi baada ya hapo ile Muku na yule aliyemuokoa na na lile shambulizi lilimnusuru roho yake ataingilia kati. Na haimaanishi kuwa hatujasema...
  17. JamiiForums Tanzania Kutoka Maktaba: Tulia kabla hajawa Spika

    Kwenye pita pita nikakutana na pisi kali moja nikajiuliza huyu ni nani? Kumbe ni Dr. Tulia. Kipindi hicho bado hajapata wadhifa mkubwa na pesa hazijaanza kuingia, alikuwa ni manzi mkali aisee.
  18. JamiiForums Tanzania Wazo la Kijana: Jinsi ya Kutajirika Kabla ya Miaka 40, Usikubali Kuitwa "Masikini"

    HAKUNA KIJANA WA MIAKA 20+ ANAYEITWA "MASIKINI"... LAKINI UKIFIKISHA MIAKA 40 BILA PESA, UTAITWA "MTU HUYU NI MASIKINI KWELI KWELI!" Hili linaweza kusikika kama kauli nzito, lakini ni ukweli. Kama kijana, fursa ya kujenga maisha yako ya kifedha ipo mikononi mwako. Ukikua huna pesa wala...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kumsikiliza na kumwelewa Polepole wa Sasa tuwarejee Mapolepole wa awamu mbili zilizopita

    Kwa siye waislamu neno "Alhamdulillah ni muhimu sana pale unapotaka kuwa ni mwenye kushukuru Nami niseme Alhamdulillah kwa Mungu wetu kutupatia Polepole huyu wa Sasa anayepigana barabara kwa jasho jingi na haonekani kutetea mkate wake Bali taifa lake na sote tunaona kwa macho ya kawaida...
  20. JamiiForums Tanzania CCM kutoa form ya Urais kabla ya kumpumzisha Ndugai ni kutoka na utu na aibu

    Spika wa bunge, mbunge na mwanachama wa CCM Bado hajazikwa, CCM mshatangaza kukabidhi fomu ya mgombea wenu pekee na asiyepingwa hiyo kesho Job Ndugai na bunge lake ndo alitoa budget ya kujenga bwawa la mwalimu Nyerere, SGR na kivuko cha Busisi Bila shaka inasemekana uchukuaji fomu utaambatana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…