kabendera

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pascal Mayalla

    Ushauri Kuhusu Karma: Kilio cha Huyu Mama Niffer Kimenitoa Machozi!, Ni Kama cha Mama Kabendera, Kisikilizwe!, Mama Wasamehe Tuu, ni Wanao Kama Dully!

    Wanabodi https://youtu.be/WHZeDbvn4jw?si=-yv4XzIrf54tMBsU Hii video ya Mama Niffer akimuombea msamaha mwanae Niffer, kama una machozi ya karibu, lazima itakutoa machozi!. Kwa jinsi anavyomzungumzia mwanae Niffer jinsi alivyo ni nguzo na tegemeo la familia yao, yeye ni mgonjwa, tegemeo lake ni...
  2. ELI COHEN

    Napomuona mtu na haka kabendera🇵🇸 kwenye bio yake kitu cha kwanza nachokiona kwake ni ulimbukeni

    Akili zenu zimepikwa kuchukia na kupenda kwa maagizo ila sio kwa utashi wenu Chuki yenu inakataa hata historia ya kweli kuwa ardhi ile ni asili ya wayahudi na ni haki yao. Nafsi zenu zimetapelika hata kuona unyama wa hamas ni wa kawaida kwa maana tu mna share nao itikadi.
  3. W

    PreGE2025 Mwasisi CHAUMMA, Eugene Kabendera ajiunga CHADEMA

    Wakuu naona usajili ni kama unaendelea kila sehemu, hatimaye Eugine Kabendera ambaye pia ni miongoni mwa waanzilishi na msemaje wa CHAUMMA ameamua kwenda CHADEMA na kupokelewa na Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche
  4. technically

    Ni wakati wa Kabendera kuandika in the name of president part 2

    Unafiki wa waandishi wa Tanzania vibaraka wa wazungu ndio utauona hapa Sasa. Watu Kama kabendera sasahivi yupo kimya kwa sababu maslahi yake hayajaguswa!! Kabendera yanayotokea hayaoni hata kuandika Habari za uchunguzi juu ya utekaji kimya Yule jamaa aliyetekwa buza Yuko wapi mpaka leo? Ila...
  5. Fbn

    JamiiForum pitieni kitabu cha Erick kabendera mje na majibu kuhusu ID ya ben saanane

    Hakuna binadamu anaye chukua masaa,siku,mwezi na miaka bado tukaweza kusema majibu rahisi. Na hii imeshakuwa desturi ambayo majibu mepesi utolewa wakati wapendwa wao mpaka leo wajawahi kupata hatma yao. Kuna kawaida hapa JF ikitokea mtu kafariki au kupandisha hadhi inajulika. Swali la kwanza...
  6. Kipenzi Changu

    Kama Jamii ni hatua gani tunachukua kuhusu uozo ulioandikwa na Eric Kabendera

    Kwa wiki sasa nimekuwa ninasikiliza historia za viongozi madikteta Afrika. Nimesikiliza jinsi walivyoua na kunyanganya uhuru wa watu. Nimesikiliza kuhusu Samuel Doe, Iddi Amin Dada, Mobutu na madikteta wengi sana. Kwa kweli roho imeniuma sana viongozi wanaoaminika na kupewa madaraka na badala...
  7. Nyani Ngabu

    Legacy Media ya Tanzania imekipuuza kitabu cha Kabendera?

    Wiki jana kitabu cha mwandishi Erick Kabendera kinachomhusu Rais Magufuli ndo kilikuwa habari ya mujini, at least humu kwenye viuchochoro vya kwenye mtandao. Kitabu chake hicho kina madai makubwa sana ambayo hayakuambatana na ushahidi/ ithibati madhubuti. Ni madai ambayo mtu unategemea...
  8. Megalodon

    Kitabu cha kabendera ni hadithi za kufikirika na sio Facts, Serikali ipeleke Shitaka Mahakamani

    Hatimaye nimemaliza kusoma kitabu cha Erick! As a scientist, kuna CLAIM na TRUTH. Ili claim iwe truth, ni lazima iwe evidence based, that can be checked and verified by anyone beyond the resoanable doubt. KITABU cha Erick kimeainisha CLAIMS ambazo hazina data and no one can verify zaidi ya...
  9. Anonymous

    Hivi mamlaka husika zilikuwa wapi mpaka kipande cha "unyanyasaji wa kingono" kinaandikwa kwenye kitabu cha Kabendera?

    Mimi bwana kitabu cha Kabendera sijakisoma kabisa ila nimeona mitandaoni kuna kipande kwenye kitabu hicho kinaelezea kwamba mwendazake alivalia pajama kama maandalizi ya ubakaji kwa msaidizi wake ambaye kwa sasa ni Rais wetu. Naomba isiwe kweli kabisa. Yaani mwendazake alivaa pajama ili...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    Kabendera, Kitabu pekee hakina nguvu ya kumfanyia Mtu Character Assassination kwenye nchi Maskini hasa za Afrika

    Habari Wakuu! January hii imeanza na mambo mengi lakini Mpaka sasa kwa humu JF kuna mambo Makuu mawili yaliyovuta usikivu wa wengi, Jambo la Kwanza ni Uchaguzi wa CHADEMA, na lile la Pili, ni Kitabu cha Kabendera. Kwanza nikiri, Sina hicho kitabu, hivyo sijakisoma. Lakini kupitia utangulizi...
  11. A

    Tetesi: BBC wapo njiani kuja na mazito kuhusu kitabu cha Kabendera na kifo cha Ben Saanane

    Habari wakuu!? Kwa wale wanaowafahamu wazungu hasa shirika la BBC, hawa jamaa huwa wakipata taarifa ndogo huwa wanakaaa ofisini kwa wiki kadhaa au hata mwezi ama miezi kufanya uchunguzi kisha baada ya hapo wanaanza kufumua mengi zaidi ambayo yamejificha. Kule Kenya wao ndio walichimba zaidi...
  12. LIKUD

    Ya Erick Kabendera, kifo cha Ben Saanane na kisa cha mfalme mwenye masikio marefu kama ya punda

    Palikuwa na mfalme mwenye masikio marefu kama ya punda. Siku moja mfalme alimuita kinyozi amnyoe nywele zake lakini asitoe siri kwa atakacho kiona. Kinyozi alipo mnyoa mfalme akaona mfalme ana masikio marefu kama ya punda. Kinyozi alijizuia sana asicheke wakati anamnyoa mfalme. Na alipo fika...
  13. Kipenzi Changu

    Eric Kabendera: Magufuli alifariki kwa COVID-19 mwaka 2021

    Katika kitabu chake cha In the Name of the President, Ndugu Eric Kabendera ameonyesha kuwa Hayati Magufuli alifariki kwa COVID-19. Ikumbukwe kuwa katika utawala wa Magufuli masharti ya watalaam wa afya kutaka watu kujikinga na maambukizi kama kuvaa barakoa yalikuwa hayazingatiwi hasa katika...
  14. Poppy Hatonn

    Kitabu cha Kabendera kinajadiliwa kabla hakijasomwa

    Watu wamesikia tu Kabendera kaandika kitabu wanaanza kukijadili. Nadhani ingekuwa bora kusubiri wakisome kwanza hicho kitabu. Sasa hivi Serikali itakuwa inafikiria ichukue hatua gani kuhusu hicho kitabu. Mpaka hapo,watu wawe na subira. Vinginevyo katika kuzungumza maneno mengi bila kuwa na...
  15. Tajiri wa kinyankole

    Kabendera anawezaje kusema Hayati Magufuli alienda na pajama kwa Makamu wake je walinzi wake na Walinzi wa Makamu walikuwa wapi?

    Kabendera sisi tunauelewa wa kutosha ni kweli unachuki na jpm lakini uongo huu uliouandika hauna tofauti na vitabu vya yericko nyerere mwenye elimu ya hapa na pale. Wote tunafahamu raisi ni kiongozi wa umma na makamu wake hao wote safari yoyote hutoka na walinzi. Pili wabapoishi huishi na...
  16. J

    Nakuomba Rais Samia kama unamjali Magufuli utoke hadharani na kukemea hiki kitabu cha Kabendera

    Erick Kabemdera anaandika kuwa Rais Magufuli alienda sehemu anayolala Rais Samia akiwa na nguo za kulalia akiwa na lengo la kumbaka, hizi ni shutma nzito sana na zinamchafua sana Magufuli Binafsi mimi siziamini ila wapo wanaoziamini, kwa kuwa hiki kitabu kimesomwa na watu wengi na tuhuma hizi...
  17. Tajiri wa kinyankole

    Kitabu cha Kabendera kina mkono wa viongozi ndani ya mfumo! Maiti inapigwa mateke bila kutetewa na waliopo hai

    Wapo viongozi ndani ya ccm wanaoamini kuwa kuchafua image ya jpm kupitia kitabu cha kabendera inaweza kuwapa sifa nzuri katika uongozi wao! Hadi sasa hakuna tamko lolote juu ya kitabu hicho kinachosambaa kwa kasi chenye maneno ya kuudhi ya kuchafua viongozi. Nachojiuliza utekaji katika serikali...
  18. Izy_Name

    Katika suala hili la kitabu cha Kabendera, naona kuna mfululizo mkubwa wa matukio nyuma yake

    Kwanza, nataka kukiri kwamba sijakisoma kitabu hicho, lakini kupitia nukuu mbalimbali za mitandaoni, kidogo nimeweza kupata muhtasari wa kilichomo ndani yake. Katika suala hili la kitabu cha Kabendera, naona kuna mfululizo mkubwa wa matukio nyuma yake. Kuna nguvu kubwa inayotoka kwa viongozi wa...
  19. Mashamba Makubwa Nalima

    Dili la kumtetea limekata, wameshauriana wanamkataa sasa hivi wakiamini watamsafisha aliyepo sasa

    Uzi tayari?!? Yeah uzi tayari
  20. R

    Kasri la Kikeke: mahojiano na mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, mwelekeo wa vyama vya siasa 2025

    Sikiliza https://youtu.be/PjKQHmASvCM
Back
Top Bottom