Nauliza tu…
Mara nyingi sasa tumeziona mbwembwe za makomandoo wa JWTZ.
Tumeona jinsi wanavyovunja matofali kwa mikono.
Tumeona jinsi wanavyovunja vibao kwa mateke.
Tumeona jinsi wanavyobeba mabegi ya mgongoni makubwa na mazito.
Pia, tumeona na kumsikia msemaji wa jeshi letu akisema kuwa...