jwtz

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ni jeshi la ulinzi wa wananchi nchini Tanzania linalolinda na kutetea maslahi ya Taifa la Tanzania.
  1. JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa JWTZ wapewe kazi za kufanya usafi wa mitaa

    Waokote takataka zote na kupeleka dampo, wasafishe mitaro yote kando ya barabara, wasafishe vyoo vya stendi, sokoni na kwenye maeneo yote ya umma. Mshahara ni huo huo wanaolipwa unatosha, kwakuwa, nchi inalindwa na jeshi la polisi, wao watusaidie kwenye usafi na yeyote atakaye kaidi akabidhiwe...
  2. JamiiForums Tanzania Wanaharakati wameelewa nini maana ya kiapo cha utii kwa AMIRI JESHI mkuu kinachofanywa na JWTZ

    Wanaukumbi. Nadhani sasa wanaharakati wameelewa nini maana ya kiapo cha utii kwa AMIRI JESHI mkuu kinachofanywa na JWTZ.. Hawa ndiyo wanajeshi mlikuwa mnajazwa ujinga eti wanawatumia wanaharakati wenu meseji DM 😁😁😁 Wanaharakati wenu hawanaga akili kabisa !.. Ila leo wameelewa nini maana ya...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini wananchi waTanganyika hasa mitandaoni wanawaona JWTZ kama WASALITI?

    Utaona hilo kwenye comments walizotoa kwenye picha zilizopostiwa jana wakati rais Samia anazungumza na wakuu wa Kamandi na viongozi wengine wa jeshi. Why? Je, wananchi wamepoteza imani na jeshi lao lililokuwa tegemeo kwenye maandamano ya Mo29 au D9?
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: JWTZ ijiepushe na mashinikizo ya kisiasa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuepuka mashikizo ya kisisa akieleza kuwa kuwa mshikamano kati ya uongozi wa kisiasa na uongozi wa kijeshi ni nguzo muhimu ya usalama wa Taifa, hata hivyo...
  5. JamiiForums Tanzania M23 ni mzoefu wa vita na JWTZ ni mzoefu wa kulinda amani.Je watawezana kama M23 anazidi kuvuka umbali

    M23 ilishatumiwa sana kuhusu inashirikiana na nchi fulani na nchi hiyo ilikana. Sawa hata kukana nayo RSF kule sudani walisema hivyo hivyo. Ila leo RSF imekuwa tishio mpaka nje ya mipaka yake ya sudani. Kwa majigambo yetu ambayo tunajivunia tokea kumshinda Uganda utawala wa amini ni sawa na...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuzungumza na wakuu wa JWTZ huko Tanga

    Ni ajabu kuwa HabariLeo wameiweka hii taarifa Instagram wakaifuta haraka baada ya kupata comments nyingi toka kwa wananchi. Mbona sio kitu cha siri? Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan, leo anakutana na viongozi wakuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)...
  7. JamiiForums Tanzania Polisi, TISS na JWTZ vipi kwenye nyumba zenu na za ndugu zenu hapa Dar kuna Maji?

    Katika ulimwengu huu kosa vyote ila kamwe usikose akili. Katika ulimwengu huu kubali kukosa vyote ila sio kukosa utashi wa kukataa udhalimu na kusimamia kutetea haki na ukweli. Wakati Wananchi wanapambana kutaka mfumo bora wa uchaguzi ili wapatikane Viongozi sahihi, wenye akili wanaowajibika...
  8. JamiiForums Tanzania JWTZ na kiapo cha kuilinda katiba wanatumika kutetea maslahi ya CCM lakini vipengele hivi wao hawavioni

    1. Haki ya Uhai – Ibara ya 14 Ikiwa kuna mauaji, matumizi kupita kiasi ya nguvu, au vifo visivyoeleweka vinavyotokana na vyombo vya dola—hili linagusa moja kwa moja Ibara hii. 2. Haki ya Usalama wa Binafsi – Ibara ya 15 Inakataza: Kutesa Kuteka Kufungwa kiholela Utekaji au kushikiliwa bila...
  9. JamiiForums Tanzania JWTZ wamekuwa walinzi wa ofisi na biashara

    Nimepita sehemu fulani ofisi za serikali nikajua labda muda wao walimaliza tarehe 9. Nikiangalia naona kinyume chake yaani polisi ndio wamekuwa wanavyeo kuwazidi wao. Ilitakiwa polisi ndio walinde hizo ofisi.
  10. JamiiForums Tanzania Kikosi cha tano cha walinzi wa amani kutoka Tanzania kuendeleza operesheni DRC

    Kikosi cha Walinda Amani cha Tanzania kinachohudumu chini ya mwamvuli wa FIB-MONUSCO kimehitimisha rasmi jukumu lake la ulinzi wa amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kupitia gwaride maalumu la makabidhiano kati ya TanzQRF ya 4 na TanzQRF ya 5. Hafla hiyo imefanyika katika makao...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hongera kwa JWTZ kwa kutuliza nchi. Lakini Nina ushauri huu

    Moja kwa moja kwenye mada. Najua viongozi wa jwtz wako humu. Jwtz wenyewe (askari wenyewe) wako humu. Nawapongeza sana kwa kutuliza hali ya nchi. Ni wazi, bila jwtz kuwa deployed mitaani kwa wingi, polisi peke yao wasingeweza kutuliza hali ikawa vile ilivyokuwa jana D9. Pamoja na hayo...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Gen Z Mwanza waandamana, wafikisha mabango yenye ujumbe kwa JWTZ

    Hii ndio hali huko Mwanza vijana wakiandamana kwa amani barabarani, wengine wakitoa dukuduku zao mbele ya Jeshi la Wananchi (JWTz)
  13. JamiiForums Tanzania Habari za JWTZ Kuna muda zinachekesha

    Yaani Kila kukicha Hawa ndugu zetu wanazidi kunifanya nishangae ya Dunia..Kuna mwanaharakati mmoja huko Twitter ameachia meseji za askari wa JWTZ akiomba wananchi waandamane ili walau na wao mishahara Yao iongezeke wajione watu katika watu..Eti soldier mzima analia wananchi wawatetee Hali mbaya...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Hadhi na heshima ya JWTZ imeshushwa mara 10 na wanasiasa

    JWTZ ilikuwa ikiheshimiwa sana kabla ya 2018 kurudi nyuma. 2018 JWTZ wakaambiwa wakabebe korosho Mtwara. Watanzania tukashangaa na kujiuliza kwanini wanaancha kazi ya msingi na kufanywa kuwa makuli? 2019 tulitangaziwa JWTZ watafanya usafi wa mazingira nchi nzima, watanzania tukapigwa butwaa...
  15. JamiiForums Tanzania JWTZ liache siasa na lithibiti utekaji na mauwaji kuepuka kugawanyika na wananchi

    JWTZ liache siasa na lidhibiti utekaji na mauwaji kuepuka kugawanyika na wananchi. Wauwaji wote lazima wakamatwe na kama jeshi litafanya siasa na kuwalinda wahalifu litagawanyika na wananchi ndipo litavunjika
  16. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Homa ya D9: Vyombo vya ulinzi (JWTZ, polisi, jeshi la magereza n.k.) kufanya usafi nchi nzima kuanzia Disemba 7

    Haya sasa kumekucha tena,naona D9 ni zamu ya vyombo vya ulinzi kuandamana. Habari toka upanga ofisi za wavaa magwanda ya mabakabaka zinasema vyombo vya ulinzi nchini Tanzania vitafanya usafi nchi nzima kwa ushirikiano kuanzia Disemba 7 hadi pale watakapoona nchi imekuwa safi. Mikoa ambayo...
  17. JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa Majukumu ya Msingi ya JWTZ: Tathmini za Shughuli Wanazozifanya Sasa Mitaani

    Majukumu haya ya msingi ya JWTZ (Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania) ni muhimu sana kwa ustawi wa taifa letu na usalama wa raia. Lakini, ni vyema tujitahidi kutafakari kwa undani kuhusu utekelezaji wake katika mazingira ya sasa. Hebu tuangalie kila kipengele kimoja kimoja: 1. Kulinda...
  18. JamiiForums Tanzania Ukimsikiliza Kagame vizuri kuhusu Mapinduzi Afrika, ni kama alikuwa anaongea na JWTZ

    Kila mtu anashangaaa. Wachambuzi wa Afrika wanashangaa. Wachambuzi wa Dunia wanashangaa. Inakuwaje Jeshi linakuwa kimya wakati mtu mmoja anaua maelfu ya Wananchi? Anafanya hayo huku akijilimbikizia mali yeye na familia yake. Mbaya zaidi anateka, kuwapoteza na kuwafungulia mashtaka ya uongo...
  19. JamiiForums Tanzania KUNA UMUHIMU WOWOTE KWA RAIA KUWAPENDA AU KUWA HESHIMU JWTZ?

    Jambo baya linalo endelea mtaani ni kwamba wananchi wana lidharau sana Jeshi lao kwa sasa Jeshi linaonekana kamq wasaliti wasio na msimamo kama walivyo paswa kuwa .. Raia kwa miaka mingi wana chukulia jeshi ni mkombozi wa wanachi hasa kukiwa na udharimu unafanywa na serikali pamoja na polisi...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Polisi, JWTZ mnakubali tanganyika iuliwe na Zanzibar?

    Jitafakari tena. Yangu ni hayo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…