juni

"Juni, juli, augusti" is a single by Swedish pop group Gyllene Tider, released on September 16, 1996. The single peaked at number 37 on the Swedish Singles Chart. On November 9, 1996, an attempt was made to take the song to the Svensktoppen chart, but failed. However, the song did reach the Swedish Tracks list.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) wapo LIVE Jijini Mwanza muda huu Juni 3, 2025

    https://www.youtube.com/live/e-gAjW47RNY
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 38, Juni 03, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=Dhe1bpdrnXE Wabunge wamepitisha makadirio ya Mapato na matumizi ya Wizara ya Afya kwa mwaka wa fedha 2025/2026, jijini Dodoma leo Juni 3, 2025. Katika mjadala wa kupitisha bajeti hiyo wajumbe wametoa ushauri mbalimbali ikiwemo Serikali kuangalia namna ya...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Juni 3: Siku ya Baiskeli Duniani 2025

    Siku ya Baiskeli Duniani huadhimishwa kila mwaka tarehe 3 Juni. Siku hii ilianzishwa rasmi na Umoja wa Mataifa mwaka 2018, kwa kutambua umuhimu wa baiskeli kama chombo cha usafiri, burudani, na afya. Maana na Umuhimu wa Siku ya Baiskeli Duniani: Inaenzi baiskeli kama njia rafiki kwa mazingira –...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kukaa Kikao cha dharura cha Kamati Kuu Juni 3 kujadili Taarifa ya Msajili wa Vyama

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuwataarifu viongozi wake, wanachama, na umma kwa ujumla kuwa tarehe 3 Juni 2025, Chama kitafanya kikao cha dharura cha Kamati Kuu. Pia, Soma: CHADEMA kuijadili barua ya Msajili Juni 3.2025 Kikao hicho kitaanza saa 3:00 asubuhi na...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waliofaulu usaili Jeshi la Polisi kuripoti Moshi Juni 12–14 kwa Mafunzo

    Jeshi la Polisi Tanzania limewataka vijana waliochaguliwa kujiunga nalo kuripoti katika Shule ya Polisi Moshi kuanzia Juni 12 hadi 14, 2025 kwa ajili ya kuhudhuria mafunzo. Vijana hao, ni wale waliofanya maombi na kufaulu katika usaili uliofanyika katika maeneo mbalimbali nchini. Taarifa ya...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 37, Juni 02, 2025

    Waziri wa Afya, Jenista Mhagama anatarajiwa kuwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2025/26, jijini Dodoma leo Juni 2, 2025. https://www.youtube.com/watch?v=PDXVMgTMq5M Wizara ya Afya imeliomba Bunge kuidhinishia TSh trilioni 1.6 kwa ajili ya...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mwalimu wa Shule ya Msingi anayedaiwa kumlawiti Mwanafunzi (Dar) yaahirishwa mpaka Juni 19, 2025

    Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39), Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi Africana, mkazi wa Dar es salaam, anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi mwenye umri wa Miaka 11 imetajwa Mei 27, 2025 na kuahirishwa mpaka Juni 19, 2025. Kesi hiyo ambayo iliendelea siku hiyo...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Yanga SC kucheza mechi ya kirafiki na Rayon Sports Juni 15 Kigali, yakataa mechi ya Dabi dhidi ya Simba

    Klabu ya Yanga SC ya Tanzania inatarajia kucheza mechi ya Kimataifa ya kirafiki dhidi ya Rayon Sports Juni 15, 2025 mchezo huo ukiwa unalenga kujenga uhusiano mzuri na klabu hiyo. Mchezo huo utachezwa Mjini Kigali, Rwanda. Kukubali mwaliko huo kwa Yanga kunathibitisha dhamira yao ya kukataa...
  9. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Leo ni Juni Mosi 2025 – Je, Malengo yako yanatimia?

    Wanabodi leo ni Juni 1, 2025. Nusu ya mwaka imekatika. 🎯 Malengo Yako Mwaka 2025 – Je, Upo Njia Sahihi? Tukumbushane wanabodi. Muda hausubiri mtu; na uzee ndiyo unasogea. Ni wakati mzuri wa kujipima, kujikagua na kujisukuma zaidi. ✅ Jiulize Maswali Haya: - Niliweka malengo gani mwezi...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nawaonya Simba SC yangu kwa mara nyingine tena kuwa 'Bwetekeni' Yanga SC HACHEZI nasi, kisha akileta Timu tarehe 15 Juni, 2025 tufungwe 12-0 sawa?

    Nina taarifa za uhakika kabisa kuwa Yanga SC ATACHEZA hiyo Mechi ila wanatumia Mbinu Kuu mbili za SAIKOLOJIA na PROPAGANDA ili tu KUIDHOOFISHA Simba SC hivyo NAWAONYA kwa mara nyingine Simba SC kuwa kamwe TUSIBWETEKE na WASITUDANGANYE bali ukweli ni kwamba Mechi ipo na hiyo tarehe 15 mwezi Juni...
  11. funaku

    JamiiForums Tanzania Tarehe 2 juni wafuasi wa CCM,CHAUMMA,ACT,CUF N.K Waruhusiwe kwenda kwenye kesi ya uhaini

    Kama hii kesi ni ya public interest nategemea makundi mbalimbali ya kijamii kufika mahakamani kwenda kusikiliza kesi hii.
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kufungua Daraja la JP Magufuli (Kigongo - Busisi), Juni 19, 2025

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya ufunguzi wa Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi) lenye urefu wa kilometa 3 na barabara zake unganishi zenye urefu wa kilometa 1.66 utakaofanyika tarehe 19 Juni, mwaka huu. Hayo...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche aitaka nyomi iliyojitokeza mahakamani leo, kurudi tena Juni 02, 2025, asema mikutano ya 'No reforms No election' inaendelea kama kawa

    Akisisitiza kuwa hakuna kutetereka wala kuogopa, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Heche akiambatana na Katibu Mkuu wa Chama hicho John Mnyika, ameeleza kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Mhe. Tundu Lissu, amefurahia sana wingi wa wananchi waliojitokeza leo Mei 19...
  14. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Kuna mkakati wa kutumia msajili wa vyama vya siasa na polisi kuteka ofisi za CHADEMA

    Serikali ya CCM, Rais Samia kama kuna watu wanakushauri haya basi wanakupotosha sana. Nafikiri hamjui kiu ya Watanzania kutaka mabadiliko. Kila hila mnazopanga na kufanya dhidi ya chama chetu mnakiimalisha zaidi.Sisi hatutawapigia magoti.
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Onyo na angalizo kwa Simba SC dhidi ya propaganda ya kiufundi inayofanywa na Yanga SC kuelekea mechi ya tarehe 15 juni, 2025

    Simba SC tafadhali sana nawaomba chonde chonde msiingie katika huu Mtego wa Kiufundi na Kabamba ambao Yanga SC waliuanza na bado wanaendelea nao mpaka leo kuwa HAWATOCHEZA MECHI YA MARUDIANO na Simba SC baada ile ya tarehe 8 Machi, 2025 Kuahirishwa. Taarifa za uhakika ambazo leo hii GENTAMYCINE...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya shauri la Liston Katabazi dhidi ya TFF, kuamuliwa Juni 16, 2025

    Hukumu ya shauri la Liston Katabazi dhidi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) iliyokuwa itolewe tarehe ya hukumu ya shauri hilo Aprili 23, 2025 katika Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam imeahirishwa Juni 16, 2025. Rufaa hiyo ilikuwa isikilizwe na Jaji Butamo Philip, imeahirishwa kwa...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Shinyanga Wafikia Asilimia 75, Kukamilika Juni 2025

    UJENZI WA KIWANJA CHA NDEGE CHA SHINYANGA WAFIKIA ASILIMIA 75, KUKAMILIKA JUNI 2025 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Dkt. Charles Msonde ameieleza Kamati ya Kudumu ya Bunge Uwekezaji Mitaji ya Umma (PIC), kuwa kiwanja cha ndege cha Shinyanga kitakamilika mwezi juni mwaka huu. Amesema hadi...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Shinyanga wafikia Asilimia 75, kukamilika Juni 2025

    Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Dkt. Charles Msonde ameieleza Kamati ya Kudumu ya Bunge Uwekezaji Mitaji ya Umma (PIC), kuwa kiwanja cha ndege cha Shinyanga kitakamilika mwezi juni mwaka huu. Amesema hadi sasa ujenzi wa kiwanja hicho umefikia asilimia 75 ambapo njia za kuruka na kutua ndege...
  19. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa e-Ardhi kukamilika ifikapo Juni 2026

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii Mhe. Timotheo Mzava ameipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kukamilisha Mfumo wa e-Ardhi na kuanza kutumika katika halmashauri 20 nchini. Mhe. Timotheo Mzava ametoa pongezi hizo Januari 21, 2025 jijini...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania EWURA yatatua migogoro 258 kati ya Julai 2023 hadi Juni 2024

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imesema kati ya Julai 2023 hadi Juni 2024 imefanikiwa kutatua migogoro 258 ya malalamiko kuhusiana na sekta inazozisimamia. Hayo yameelezwa na Meneja Uhusiano na Mahusiano wa EWURA, Titus Kaguo wakati wa mafunzo ya udhibiti wa huduma za...
Back
Top Bottom