jumla

  1. JamiiForums Tanzania Nauza mayai ya boiler kwa bei ya jumla 9500 trei moja, dar es salaam, makabe

    .
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rekodi 3 zilzovunjika jumla TZ.

    1. Mtoto wa Raisi Kuna tofauti kubwa sana ya kuoa mtoto wa Rais na mtoto ambaye mzazi wake amekuja kuwa Rais mbeleni (ni watu 2 tofauti) 2. Nchi tofauti. Tofauti za kitamaduni,kimazingira na kimalezi. Ni ngumu sana "Wazee wa kimila" kukupitisha kwenye "chujio la jadi" lakini jamaa amepenya...
  3. JamiiForums Tanzania Maelezo ya jumla kuhushu miwasho na tiba yake

    Kuwashwa (Itching) ni hali ya kuhisi mchonyoto unaokera kwenye ngozi unaokufanya utamani kukuna sehemu iliyoathirika unaweza Kuwashwa sehemu fulani ya mwili pekee au mwili mzima KUWASHWA HUSABABISHWA NA NINI? Kuna sababu nyingi za Kuwashwa, ni pamoja na Kuzeeka kwa ngozi Kuvimba kwa ngozi...
  4. JamiiForums Tanzania Jumla ya watu wenye elimu ya shahada ni wangapi Tanzania kwa sasa?

    Ina maana tunakuwa na wasomi wenye shahada 3,200,000 Basi tufanye na diploma 3,200,000 6.4M Idadi ya watu ni milion 70 Au basi takwimu zinaonesha mambo mengii
  5. JamiiForums Tanzania Uzi wa TV bei za jumla kariakoo

    Huu uzi nitapost bei za jumla za tv brand zote . Ni kwaajili ya wafanyabiashara wa tv mikoani na wateja wanahitaji pieces nyingi pekee. Tupo kariakoo mtaa wa magila 📍 Whatsapp 0745588735
  6. C

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa tumekulana wakati sikuwahi kufikiria jumla!

    NI jirani yangu, tumeheshimiana tangu kujuana, huu ni mwaka WA 3 tunaishi vema kabisa! Kama tar.20 May, aliazima kiasi kidogo cha pesa, kama 150k kwa ahadi kwamba angerudisha tar.30/05/2026. Nikampa. Ulifika tar. 30 hakunipa, na Mimi sikumuuliza, mara tumeanza mwezi June, mtu kimya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania TUNASAMBAZA MBAO KAVU KWA BEI YA JUMLA KILA WIKI KUTOKA NJOMBE KUJA DAR ES SALAAM & PWANI.

    •Unahitaji mbao kwa bei ya jumla na upo Dar ea salaam au pwani? •L & J TIMBER SUPPLIERS tunakuletea mbao kwa bei ya jumla hadi mahali ulipo ndani ya Dar es salaam na Pwani moja kwa moja kutoka Njombe. •Mbao zetu zimekidhi ubora & bei zetu ni nafuu sana. •Kubwa zaidi ni kwamba malipo...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Natarajia kuuza viatu kwa jumla naombeni maoni yenu

    Natarajia kuuza viatu kwa jumla naombeni maoni yenu.
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ukijumulisha Jumla ya Vifo kwa mikoa ilochunguzwa ni 182+90+80+53=405 Vifo..... Tume inatuambia Jumla Vifo ni 518, mara 818

    Wajinga wakitamalaki ,Dunia inakua sehemu ya kichekesho. Hata hivo, HATUWEZI KAMWE KUSAMEHEE MAUAJI HAYA. Yeye amuombe Mungu msamaha, sisi hatusamehe, NA HILI LITAKUA JUU YAO NA VIZAZI VYAO HATA MILELE.
  10. JamiiForums Tanzania Media, Tukiendelea Kunyamazia Unyanyasaji wa Uhuru wa Habari Unaofanywa na JAB na TCRA, Mwisho wa Siku, Ama Tutanyamazishwa Jumla Ama Tuwe Machawa?.

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu gazeti la mwananchi la leo https://www.mwananchi.co.tz/mw/kolamu/kwa-nini-tunahitaji-kuulinda-uhuru-wa-vyombo-vya-habari-5417540 Hili ni Swali: Media tukiendelea kuunyamazia unyanyasaji huu wa uhuru wa habari na uhuru wa maoni kwa mujibu wa Ibara ya 18 ya Katiba...
  11. JamiiForums Tanzania Unatafuta Vifaa vya Ujenzi? Karibu VN Warehouse Limited – Tunauza Jumla na Rejareja

    Unatafuta vifaa bora vya ujenzi kwa bei nzuri? Karibu VN Warehouse Limited, kampuni iliyosajiliwa kisheria inayojihusisha na uuzaji wa vifaa mbalimbali vya ujenzi kwa jumla na rejareja. Tunatoa bidhaa zenye ubora wa uhakika kwa mafundi, wakandarasi, na wateja wa kawaida wanaojenga au kufanya...
  12. JamiiForums Tanzania Mafuta safi ya alizeti jumla jumla

    Habari wadau, ninauza mafuta ya alizeti kutoka Singida. Kiasi Kilichopo: 5,000LTRS Package: 20Ltrs & 5Ltrs Bei: Tsh 6,000 per Ltr Napatikana: Dar Es Salaam MOQ: DUMU 50 (20LTRS) Mawasiliano: 0652070444 Karibu Sana
  13. JamiiForums Tanzania Msaada wapi naweza kupata mikeka ya jumla?

    Salaam wakuu. Katika harakati za kujikwamua kimaisha na eneo nililopo naona hii biashara itanilipa. Sasa nilikuwa nahitaji inakopatikana ile mikeka iliyoandikwa ZARI au ile ya milia. Ikiwa ni kiwandani au kwa Mchina itakuwa zaidi mana nahitaji kuuza jumla nipo Mtwara. Natanguliza shukran.
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri kuanzisha biashara ya gum boots (rain boots) jumla na reja reja

    Eneo ni mkoani, mara Changamoto, wosia, ushauri, mazuri, mabaya, maeneo ya kuchukulia jumla dar n. K Karibuni ndugu zangu
  15. K

    JamiiForums Tanzania Nataka kufungua biashara ya khanga na vitenge naweza wapi kupata kwa Bei ya jumla?

    Habari zenu wadau wa jukwa la biashara. Nakua hapa sintakosasaada wa ombi langu. Ombi langu kwenu ni kutaka kufahamishwa ni sehemu Gani kwa Dar es salaam ambapo naweza kupata khanga na vitenge kwa Bei ya jumla,NAMI kwenda kuuza kwa Bei ya lejaleja. Naomba msaada wenu tafadhari Natanguliza...
  16. JamiiForums Tanzania Nauza Spare za Bajaji na Pikipiki Jumla kwa bei ya Jumla, natoa ushauri pia

    Hello Jf Spare zote za Bajaji na pikipiki kama ↔️ tyre Rim Bush Bearings Plugs Engine mount Block Piston and Rings Valve Cylinder head Brake shoe Master brake Rubber Brake Shock ups cable gear clutch plates na center yake Maker etc Pia tunauza lubricants na oil za jumla.
  17. JamiiForums Tanzania Zamani bongo ukinunua vyakula kwa jumla watu wanakushangaa

    Zamani bongo ukinunua vyakula kwa jumla kwa nia ya kubana matumizi watu wanashangaa na kukuuliza unanunua vyote hivyo kwani Tanzania kuna vita? Baada ya tarehe 29October mambo yamebadilika sana na hasa sasa hivi tunapoelekea 9D watu watanunua na kuhifadhi vyakula kwa wingi na jumla hasa Unga...
  18. JamiiForums Tanzania Nguo za Mtumba kwa jumla na Rejareja

    Jina la biashara ni thriftwaika au kwa namna rahisi Waika Mitumba Ni wauzaji wa nguo za mtumba za kike na watoto kwa bei ya jumla na Rejareja Tunaouzoefu wa miaka zaidi ya minne (4) kwenye biashara hii..Na kwa uzoefu wetu tunatambua kuwa hitaji kubwa zaidi kutoka kwa watu kwenye bidhaa hizi za...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Wakili Katuga tangu alivyodanganya mahakama eti video ilichezwa Kisutu akapotea jumla

    Tusiwe wepesi wa kusahau, maana yale yalikuwa ni mauaji makubwa
  20. JamiiForums Tanzania Pata mayai jumla - Arusha

    Nauza mayai organic Arusha. Bei jumla 8,500-11,000/= kwa tray. Ukihitaji piga simu 0763784190
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…