juma nature

  1. JF story time: Huu ndio wimbo uliomkutanisha Juma Nature na Majani and the rest was history

    The legend mwenyewe Bony love alikuwa anafahamiana na Mabaga fresh, kundi la hip hop lilioshirikisha vijana wawili walemavu waliokuwa wanachana sana. Plan ilikuwa bony love ndio awe muuandaji wa wimbo wa mabaga fresh lakini kwa bahati mbaya bony love akaibiwa vyombo ya utayarishaji wa muziki...
  2. Uchaguzi wa mwaka huu umeheshimu madhehebu ya kikristu umefanyika katikati ya wiki

    Mojawapo ya manunguniko ya muda mrefu ni madhehebu ya dini ya kikristu kukosa fursa pale ambapo uchaguzi ulikuwa ukifanyika siku za Ibada hususani jumapili. Niwapongeze INEC kuchukua maoni ya viongozi wa dini na madhehebu mbalimbali na kutenga siku ya katikati ya wiki.
  3. MwanaFA aposti wimbo wa Juma Nature unaozungumzia muungano wa CCM na CUF

    Nadhani hali ni tete, leo MwanaFA amepost wimbo wa Juma Nature ft Prof Jay. Huu wimbo ni wa zamani lakini wameuboresha kidogo ili kwenda sawa na siasa za sasa. Ikumbukwe wimbo huu ulikuja baada ya fujo na sio kabla. Kumuona FA amepost nimestuka maana unazungumzia masuala ya maandamano. Kwa...
  4. W

    GE2025 Juma Nature: Wananchi wenzangu tukapige kura, tusirubunike kuandamana

    Huyu nae washampa laki moja na sado ya dagaa, miaka yote kapotea kwenye game sasa hivi anatupigia kelele za kupiga kura.
  5. Umoja wa Watanzania -Sir Juma Nature

    Msikie Juma Nature hapa
  6. Nilimheshimu sana Juma Nature ila kwa kitendo hiki nimemtoa thamani

    Nilimheshimu sana Juma Nature ila kwa Kumdharau Mtu aliyemtoa Producer Master Jay kuanzia leo nimemtoa Thamani kwani Kakosea mno
  7. Ubunge kwa sasa ni kama Bongo Star Search tu; Juma Nature na wewe chukua hapo TMK

    Kama una kadi ya CCM usijiulize mara mbili mbili kachukue ugombee ubunge. Usiseme oooh mimi sina skills au exposure, bunge lililopita na lijalo halihitaji hayo mambo. Bunge litahitaji zaidi kupitisha mambo ya serikali na kumsifu mkuu. Baaasi Kwa hiyo hata wewe Sir Nature Kiroboto kachukue fomu...
  8. Lyrics: Inaniuma sana by Juma Nature Kiroboto

    Lyrics Siku ya kwanza kukutana naye alikuja kwetu usiku, alikuta nimechoka nimetoka ku record usiku, walikua kama wanne hivi ndani ya gari aina ya chaser, wamejaa hangover utazani jana yake walikesha, akaja mshikaji wangu mmoja, kutoka kwenye lilelile gari akaja moja kwa moja, mpaka kwenye...
  9. TBT: Kuna nyimbo kwa Makundi 3 (Prof. Jay, Afande Sele & Juma Nature), (Alikiba, Matonya & MB Dog) na (Joslin, Noorah & Mr. Blue) utasikiliza zipi?

    Ikiwa ungetakiwa kuchagua ngoma za kundi moja la kusikiliza nyimbo zao kati ya haya matatu: Prof. Jay, Afande Sele & Juma Nature Alikiba, Matonya & MB Dog Joslin, Noorah & Mr. Blue Ungechagua kundi lipi na kwa nini? Je, muziki wao umeacha alama gani kwako au kwenye tasnia ya muziki wa Bongo...
  10. Mike Tee ft. Juma Nature - Nampenda Nani

  11. "Siku ya kwanza kukutana nae walikuja kwangu usiku", Sinta akipelekwa na Dida kwa Juma Nature

    Mega hitsong ya Juma Nature ni inaniuma sana. Kwenye ule wimbo nature ameelezea mapenzi yake na mwanamama Sinta. Kuna mstari anasema alikuja kwangu usiku. Usiku huo anaozungumzia Nature ni Sinta akipelekwa kwa Juma Nature na mwanadada nguli wa utangazaji Dida shaibu. Dida na Sinta walikuwa...
  12. Kumbukizi ya Juma Kassim Kiroboto "Nature" na ngoma ya umoja wa Tanzania

    Juma Kassim Kiroboto, maarufu kama "Nature", "Kibla", "Sir Nature", "Msitu wa Vina", na "Jitu Mwitu", ni jina linalobaki mioyoni mwa wengi kama alama ya sanaa yenye ladha ya uswahili halisi. Kipaji chake kilichotiririka kwa ustadi na ubunifu wa kipekee kiliakisi maisha ya mitaani, yakiambatana...
  13. G

    SoC04 Mafunzo ya udereva kwa elimu ya sekondari

    Mi na ishauri serikal hasa kwenye sekta ya elimu maana ndio chimbuko la kila wadhifa elimu ya sekondari iwekwe mafunzo ya udereva ili pindi mtu anapo maliza kidato cha nne anakuwa tayari anayo leseni hii itasaidia swala la ukosefu wa ajira mitaani maana mtu anaweza akakosa cheti cha kidato cha...
  14. Juma Nature: Tunalipa michango ya Ulinzi Shirikishi, kwa nini bado tunaibiwa Mitaani

    Kupitia akaunti yake katika Mtandao wa Instagram, Mwanamuziki Juma Nature amepost Video akizungumzia suala la Ulinzi Shirikishi maarufu kama Sungusungu au Makamanda na Usalama wa Mitaani Nature amehoji kuwa kwanini licha ya Wananchi kuchangishwa fedha za Ulinzi, bado vitendo vya Wizi wa Mitaani...
  15. Vijana wa 2,000 mnaoanza kutest ganja kirahisi rahisi, sisi Juma Nature alitushauri hivi kwa phrase fupi sana ila yenye maana kubwa sana

    Sir nature alikuwa mfalme wa "the art of street story telling" Katika wimbo wa Jinsi Kijana aliyasema maneno haya na kwa kweli alikuwa sahihi sana kuhusu bangi kutegemeana na asili ya mtu. "Hiyo mibangi tunayovuta ni stimu za kulanduka, kama sio fani yako kwa kweli utaambuka, kijasho...
  16. Juma Nature ni Genius: Fahamu kwanini Juma Nature hujibu maswali tofauti na alivyoulizwa na Sababu za kiroho kwanini Juma Nature alianzisha TMK

    Part one: Kwanini Juma Nature hujibu baadhi ya maswali tofauti na anavyo ulizwa? Juma Nature ni akili ya kesho. Unahitaji kutumia akili nyingi sana kumuelewa Juma Nature. Ukijaribu kumuelewa Juma Nature kwa kutumia akili ndogo basi hutomuelewa maisha yako yote. This is because, Juma Nature...
  17. Juma Nature andaa Shoo yako kuonesha wewe ni mkubwa

    Kiroboto sihitaji andika sana, hebu kaa na wadau mjini usisubirie upepo wa sugu na lile tamasha lake kaa na wadau itisha tamasha HESHIMA YA JUMA NATURE siku moja tu usiku mmoja tu. Hiyo siku tuje turuke goma zako Tupakue ugali Tumuimbie radhia Tulianzishe kigheto gheto Tumtulize mtoto iddy...
  18. Juma Nature kama muziki umekushinda tafuta kazi nyingine, usichafue watu

    Kazi ya sanaa kama ilivyo taaluma nyingine inahitaji sana discipline. Na nidhamu ya kazi ni tatizo kubwa sana kwa kaka yetu Juma Nature. Hatukatai Juma ni legend anaepaswa kupewa heshima, ila amekuwa anazingua sana kwa kutokubali kukua. Usela wa uswahilini unamharibia sana. Nature bado...
  19. Juma Nature akataa kushiriki Wasafi Festival kisa malipo kidogo ya laki tano

    Awali iltangazwa kuwa Juma Nature Kiroboto a.k.a Kibra atakuwepo pale Nangwanda Sijaona kwa ajili ya show ya Wasafi Festival iliyofanyika tarehe 2 mwezi huu. Sasa show ikafanyika Nature hajaonekana. Shabiki mmoja huko Insta akaona amuulize swali Nature mbina ulitangazwa utakuwepo Nangwanda...
  20. Juma Nature: Nina miaka 37 sijafika hata 40

    Mkongwe wa muziki wa bongofleva, Juma Kassim Kiroboto maarufu kama Juma Nature anasema watu waache kumzushia kama amezeeka wakati ndio kwanza ana miaka 37 hajafika hata miaka 40. Yeye bado kijana mdogo wasimuite mzee. My take: Nature ameingia kwenye mkumbo wa dada yetu Wema Sepetu, ambae...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…