juma nature

  1. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Juma Nature: Nina miaka 37 sijafika hata 40

    Mkongwe wa muziki wa bongofleva, Juma Kassim Kiroboto maarufu kama Juma Nature anasema watu waache kumzushia kama amezeeka wakati ndio kwanza ana miaka 37 hajafika hata miaka 40. Yeye bado kijana mdogo wasimuite mzee. My take: Nature ameingia kwenye mkumbo wa dada yetu Wema Sepetu, ambae...
  2. Khadija Mtalame

    JamiiForums Tanzania Leo nakutana na mtu ananiuliza eti kati ya Juma Nature na Diamond nani zaidi?

    wakuu kwema? Leo nakutana na mtu ananiuliza eti kati ya Juma nature na Diamond nani zaidi? nikamuangalia nikamuuliza una umri gani kaniambia kazaliwa 2002, nikacheka sana halafu ni mbishi mpaka nikataka kumzaba makofi. ebu tumsaidieni nani mkali kati ya hio miamba miwili hapo juu,then nitampa...
  3. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amkumbuka Juma Nature, hii ni heshima kubwa kwa mkongwe huyu wa Bongo Fleva

    Nukuu ya Rais Samia Suluhu Hassan alipokuwa akizungumza wakati wa uzinduzi wa jingo la benki, Machi 5, 2022 amemtaja staa mkongwe wa Bongo Fleva kwa kunukuu moja ya mstari wake aliowahi kuuimba kwenye kazi zake za muziki. Hii hapa nukuu ya mama Samia: "Mwanangu Juma Nature alisema, kwani wao...
  4. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Juma Nature ndio best storyteller wa muda wote Bongo. Wasanii wachanga mnao-rap jifunzeni kwa Juma Nature

    Kwenye muziki wa hiphop bongo hakujawahi kutokea msanii mwenye nguvu kama Juma Nature. Juma Nature aliingia kwenye muziki akaukuta umejaa umarekani mwingi na akaubadilisha mchezo kabisa. Silaha yake kubwa ilikuwa ni storytelling. Ipo wazi Juma Nature ndio bingwa wa storytelling kibongobongo...
  5. mgt software

    JamiiForums Tanzania Kupotea kwa TMK ya Juma Nature na Chege ni Pigo kwa Muziki Industry, walinogesha sana matamasha, waliopo wanajichetua sana

    Wana JF, Kama ulikuwa hujui, kundi pekee la kibongo lilioanzoshwa chini ya Juma Nature na Chege Chigunda ndilo kundi pekee lililokuwa linashambulia jukwaa, kiasi kwamba kwenye kiti linahakikisha Hawaii mtu. Hata hivyo nashindwa kuelewa walifeli wapi? Mfano tuliambiwa Juma Nature alipata pesa...
  6. Kanungila Karim

    JamiiForums Tanzania Ngwair ft Juma Nature - Mtoto wa Jakaya(lyrics)

    Hahahaha ah vijana sasa hivi naona wanajitahidi Ari Mpya Kasi Mpya Nguvu Mpya Ehee hata mimi nimeliona hilo toka longi taim Au siyo Babu Ayubu Hilo liko wazi Jamani vijana wapewe nafasi Si ndio sisi-M Si ndio sisi-M Si ndio sisi-M Ah pisha njia Tunaingia Wote pisha njia Nasema tena kwamba si...
  7. HISTAMINE

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata mawasiliano ya msanii Juma Kassim 'Nature'

    Kama kichwa kinavyojieleza, naomba mni-pm mawasiliano ya J. Nature kwaajili ya shida binafsi. Zaidi ya yote ni moja ya wasanii wakongwe ninao wakubali sana.
  8. safaris56

    JamiiForums Tanzania 3 Days Mt. Hanang Hiking from Dar es Salaam

    Twende Mlima Hanang Siku 3. Tarehe : 25th-27th,June,2021 Garama: 250,000Tsh Mwisho wa Kulipia: 20th Inajumlisha: Chakula Malazi Viingilio Usafiri kwenda na kurudi Muongoza Njia Kufanya Booking: WhatsApp: +255683833513 www.safari56.co.tz tours@safari56.co.tz Instagram: www.instagram.com/safaris56
  9. directortmk

    JamiiForums Tanzania Juma Nature X Chegge

    Hii imekaa vyema!
  10. mike2k

    JamiiForums Tanzania Nani mfalme wa muda wote wa chorus/collabo bongo fleva kati ya Juma Nature na Gnako Warawara

    Habari za wakati huu wakuu. Naomba kufahamu ni nani mkali wa machorus na colabo bongo kati ya hawa wasani wawili juma nature raia wa temeke na gnako chali ya chuga. juma Nature Juma Kassim Kiroboto 'Nature'. Tukumbuke chorus hizi Ugali Sonia Msela Ugali Radhia Sitaki Demu Kisa Demu Hatuna kitu...
  11. britanicca

    JamiiForums Tanzania Juma Nature : Club wisk maji na Bia Ukizubaa wanakuchanganyia, ilikuwa Track moja kali sana

    Hapo sasa
  12. britanicca

    JamiiForums Tanzania Makala: Juma Nature, Sinta walivyozua balaa kwenye uzinduzi wa ‘Ugali’ (TBT)

    Miaka 15 iliyopita, Juma Kassim Nature kutoka Temeke alikuwa moja kati ya wasanii watatu wenye majina makubwa zaidi kwenye mkondo mkuu wa Bongo Fleva. Albam yake ya kwanza, ‘Nini Chanzo’ pamoja na vibwagizo vikali kwenye nyimbo za wasanii wengine wakubwa zilikuwa chanzo. Nature, ambaye...
  13. britanicca

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Niliumia sana kundi la TMK kuvunjika, nilimuita Juma Nature Ikulu akakataa kusuluhishwa

    Katika mazungumzo ya Kikwete na Mwanahabari maarufu alieleza jinsi alivyopata ushindi mwaka 2005, akaeleza mchango wa wasanii katika siasa za Tanzania. Anaeleza kwamba kwa kiasi kikubwa alisaidiwa na kundi la Wanaume TMK kuteka hisia za vijana kwa kipindi hicho. Nililipenda kundi lile...
Back
Top Bottom