Wanetu mnasemaje? Kaomba radhi kweli au kachamba umbea? JUMA, sisi na wewe tumepita wapi? Sisi na wewe hatujapitia chochote. Kwanza hiyo AFRIMA ni kitu gani ili tuanze kusaga kunguni mapema
Staa wa muziki wa Bongo Fleva Juma Jux amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu kauli iliyosambaa mwaka jana...
Juma Jux kupitia ukurasa wake wa Instagram ametoa pole kwa famili zilizopoteza watu katika maandamano.
"Mungu ibariki 🇹🇿 tanzania, praying for peace and healing. Mungu awatie nguvu na faraja waathirika wote. 💔🙏🏽
Hii imenipa maswali sana kwahy jux hawezi kabisa kubebesha mwanamke mimba kwa picha nilio iona ni kwamba mwanamke kavaa zile mimba bandia inaonyesha kabisa na huyo aliyetuma picha hizo kwa group alisema wanafanya adoption na sio kwamba mkewe ni mjamzito
Kwahiyo mwamba katuangusha sana kwenye...
Nadhani ni muda sahihi kwa vyombo vya dola kuanza kuogelea kina kirefu kuyachimba maisha ya Juma Jux, msanii ambaye siku za hivi karibuni maisha yake yanaonyesha anasa kuu kuliko hata za mabilionea wengi Afrika.
Inawezekana kuna biashara chafu iko nyuma ya pazia kama ya yule mbaijeria...
Jitahidi uoe mwanamke uliyemzidi kuanzia miaka kumi kama alivyofanya Juma JUX kwa mke wake Prisca.
Faida ni kuwa utakuwa Comfortable Sana .
Na pia utakuwa unawaza kitofauti Sana .
Na itakuongezea heshima
35 Yrs Jux
23 Yrs Prisca.
Msanii wa R&B Juma Jux hatimaye amepata nafasi ya kumtambulisha rasmi mke wake, Prisca ama priscy, kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, pamoja na mke wake Mama Salma Kikwete.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Jux ameweka video hii na kuandika;
"Hatimaye...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa rekodi nyingine imeandikwa.
Sasa Jux anaingia kwenda orodha ya wasanii waliofikisha views million 100.
Hongera sana brotherman Juma Mkambala kwa hakika enjoy ndio wimbo bora wa mwaka 2023.
Huu wimbo umetumika kuburudisha watu wengi kwenye mwaka 2023.
Staa wa muziki, Jux, amerudi bongo usiku wa kuamkia leo, Septemba 5, akitua kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere akiwa na mpenzi wake Priscilla Ajoke, mtoto wa mwigizaji mkongwe Iyabo Ojo kutoka Nigeria.
Hivi karibuni, wawili hao walikuwa Nigeria wakijirusha kwenye party ya...
Tumalize huu ubishi ulioenea mtandaoni. Je, kati ya malkia wa bongo fleva Shilole a.k.a Shishi baby na msanii chipukizi (underground) anayeheshimika Juma Jux nani mkali zaidi?
Kwa wale wasiofahamu nyimbo zao nimewaandikia ili mkazisikilize huko YouTube.
SHILOLE
1. Lawama
2. Nakomaa na jiji
3...
Niko na ujuzi wa kutengeneza sabuni Aina tatu nazo ni sabuni za miche, sabuni za maji, sabuni za unga, pamoja na mufata ya mgando na lotion tofauti tofauti. Ila mpaka sasa nimebaki na ujuzi mtaji sina hivyo naomba kwa mwenye kuvutiwa na hili njoo tufanye biashara
Exclusive kabisa Vanessa Mdee na Rotimi wapata mtoto wa kiume baada ya kuficha kwa miezi mingi.
===
Staa Vanessa Mdee na mchumba wake, Rotimi kupitia mitandao ya kijamii wa Instagram wameposti ujumbe unaoshiria kuwa wanatarajia kupata kupata mtoto wa kiume hivi karibuni.
Hayo yamebainika...
Baada ya Rotimi kuchafua hali ya hewa huko Insta hatimaye dua za Jux zimekua dua za Kuku, kiukweli wengi hawakutaraji na hata Jux mwenyewe alijua dada yetu anafanyiwa window shopping tu nakuachwa kimasihara ... hatimae limepumzishwa jiwe la magram yakutosha kwenye kidole cha dada yetu , na hii...
Vanessa aweka wazi na sio Siri tena kuhusu uhusiano wake mpya na jaji mwenzake Rotimi aliyekuwa nae kwenye mashindano ya East Africa got talent kwa kusema
Ameamua kuweka wazi japo Ni Siri lakini Juma Jux hakushitushwa kwani anasema walibreak up tangu Disemba 2018 na wala hakushangazwa bali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.