Habari ndugu zangu kwa mtu mwenye sehemu nzuri yenye mzunguko wa watu dar es salaam aniunganishe nataka nifungue juice point. Mjasiliamali mwenzenu nimejipigapiga nimekusanya ka'mtaji sasa najaribu kupangilia niweze kifanikiwa kuanza kwa hiki kidogo nilicho nacho kwa sasa.
NINA SHIDA NA;
1...
kuna tangazo langu humu la mashine ya juice (juice dispenser ) mitungi mitatu...sasa bei nimepunguza kutoka 850k hadi 750k ila pia nitakupatia na blender heavy duty free..ukaanze kazi moja kwa moja
kumbuka hii mashine ya juice ikiwa mpya inauzwa 1.3 hadi 1.5M kwenye maduka tofautitofauti..
kwa...
Hii mashine ni nzuri saana ni mitungi mitatu ima nguvu saana yaan ndani ya dakika moja ishaweka mabarafu kama ukiwa hujawwka juice bado kila mtungi unabeba lita 18...kwa hiyo jumla inabeba lita 54
INAFAA KWA
biashara,, unaiweka sehemu tu unakuweka kijana anakuwa anakuuzia juice..maeneo ya...
Kunywa juice ya mkaa (hasa mkaa wa miti au activated charcoal) ni jambo ambalo limekuwa likifanywa na watu kwa sababu za kiafya, lakini linaweza kuwa na faida na madhara, kulingana na namna inavyotumiwa. Hapa chini ni muhtasari:
---
✅ Faida za Kunywa Juice ya Mkaa (Activated Charcoal):
1...
Kwa yoyote anayehitaji mashine ya juice ya miwa ipo sokon inauzwa mashine inatumia umeme na mafuta mashine pia ina kibanda cha kujikinga na jua
Bei yake ni 950000
WhatsApp 0686298896
Location .dodoma
Specification zake
1.size 48*38*78
2 voltage 220/50hz
3. Three crushing rollers
4.material
(Stainless)
4. Ipo na 3HP electric motors.
5. Uwezo 300kg kwa saa.bei 1,400,00
Ipo mtoni kijichi, mashine ni mpya kabisa
Hello
Leo bhna nimeamua tujifunze kutengeneza juice ya tende
Mahitaji
Maziwa
Tende
Hatua ya kwanza chukua tende zaka kama hivi
Kisha anza kutoa mbegu za tende zile zilizopo katikati kama hivi
Baada ya hapo nikachukua maziwa mimi nilichemsha kwanza
Nikachukua tende na maziwa...
Watu wangi hatutambui kwamba tatizo kubwa la kunywa soda kama Pepsi, Coca Cola nk, ni kwamba zina sukari nyingi sana ambayo si jambo zuri kwa afya yako.
Sasa utakuta watu wengi sana wamekuwa na mawazo kwamba ni vema kunywa juice za dukani (processed juice) kuliko kunywa soda, na hata wengine...
Leo tujifunze hii kitu sambusa za nyama
MAHITAJI
Unga wa ngano
Nyama
Hoho
Karoti
Chumvi
Mafuta
Kwanza chemsha nyama yako kisha isage vizuri
Then chukua ngano weka mafuta na chumvi anza kukanda mimi natengeneza za kula mwenyewe so nilitumia unga nusu
Baada ya hapo ngano yako ulio...
Leo niliji mwaga mapema sana saa nne nipo home
Njaa ikawa inauma dah kuagiza chakula naona uvivu hapa nikaamua kwenda kwenye friji kutafuta chochote kitu
Nikanywa mtindi nikaona mayai ndio nikapata wazo la catress
Nikaanza kuandaa viazi mbatata nikachemsha baada ya kuiva nikaanza kusaga...
Wasanii wa Tz ukiachana na showoff zao, Ila kiufupi wana maisha magumu Sana .
Mama wa Rayvanny yupo mbeya sokoni anauza Mboga za majani za reja reja.
Na mama yake Martha anaokota machupa na kuuza juice.
This industry is all about shit.
Natumaini mkopoa na mna afya njema na wagonjwa Mungu awape shufaa
Leo nashare na nyinyi jinsi ya kutengeneza juis tamu ya tikiti maji nzuri na yenye faida nyingi kiafya
Mahitaji
Tikitimaji kias inategemea na kias unachotaka
Vipande vya barafu(ice cubes)
Hatua
Kata tikiti maji vipande...
Wanaume wa Dar mmiminike kujibu hoja zetu za wanaume wa mkoani.
Wadau mambo mengi yanasemwa sana kuhusu wanaume wa dar mengi yakiwasilishwa kwa njia ya utani.
Leo asubuhi nimekutana na jamaa yangu tunafanya nae kazi pamoja katika story ikabidi twende nae shamba
kwenye lile shamba huwa kuna...
Nina kiasi cha shilingi milioni 3. Nataka nifungue sehem ya chips , kuku, mishkaki samaki juice na vinywaji sio vilevi.
Naombeni ushauri kuhusu mtaji huo unatosha? Na vipi Faida na changamoto zake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.