jua

Binti Jua (born March 17, 1988) is a female western lowland gorilla in the Brookfield Zoo, in Brookfield, Illinois, outside of Chicago, US. She was involved in an incident in 1996, in which she tended to a three-year-old boy who had fallen into her enclosure.
Binti Jua (whose name means "Daughter of Sunshine" in Swahili) is the niece of Koko, a gorilla whose linguistic accomplishments have been the subject of several scientific studies. Her mother, Lulu, was originally from the Bronx Zoo and died on January 24, 2011, after residing at the Columbus Zoo and Aquarium. Her father is Sunshine, from the San Francisco Zoo.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni kazi au mwenye connection yakazi anae jua mahali flani sikosi. Mimi ni dereva, popote nafanya kazi

    Mimi ni kijana umri miaka 26 elimu kidato cha sita 6 nimepita veta kupata basic driving, NIT kua VIP driver na ninauzoefu wakutosha kabla ya kwenda kuongeza ujuzi nabaada ya kwenda kuongeza ujuzi udereva nikazi ninayo ipenda nipo tayari kufanya kazi popote hata na mtu binafsi
  2. 4

    JamiiForums Tanzania Serikali ambao mmejiapisha jua wananchi hamjamalizana nao

    Hizi jitiahada zenu ,za kutaka kufanya biashara iwe ya kila siku kwamba maumivu ya tz yatakua ya siku zote ,this time haiwezekani wakuu, mwafaa alisema JPM . The only solution nikiwa na serikari ya mpito isiyo zidi mwaka mmoja na iwe chini ya aliekuwa waziri mkuu , Mzee Warioba ,nyie wana...
  3. JamiiForums Tanzania Gwajima usiingie mkenge jua target ni wewe

    Leo wazuri mkuu wa Mtandao Mwigulu Nchemba ametoa amri kwa waziri wa mambo ya ndani akayafungulie makanisa ya Ufufuo na uzima sambamba na kuziputia upya sheria za umiliki wa nyumba za ibada . Agizo hilo limetolewa kwa maelekezo kwamba kufunguliwa kwao siyo kunetokana na msamaha wa kudumu ,no...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanamke akichukuliwa au akitekwa jua ni Ishara ya Ukombozi

    Ikitokea mwanadada mrembo amechukuliwa na watu/aidha polisi au wasiojulikana na kupelekwa mahali ni Kama ndani ya fensi ya gereza au kambi flani hivi, Kuna wanaume uvumilivu utawashinda watajipeleka kwenye hilo gereza au kambi kwa lengo la kumsaidia huyo mrembo kupata haki, watakua...
  5. JamiiForums Tanzania Jua yachomoza mashariki—upendeleo kwa China duniani waendelea kuongezeka

    Maneno kama “Mshiriki mwenye ushawishi mkubwa zaidi katika masuala ya kimataifa”, “Mshirika wa kuaminika”, “China inazidi kuvutia”. Yanasikika zaidi katika zama hizi. Hivi karibuni, hojaji zilizofanywa na mashirika mbalimbali ya kimataifa ya uchunguzi wa maoni zimeonyesha kuwa taswira ya China...
  6. JamiiForums Tanzania Baada ya kupatwa kwa mwezi sasa kupatwa kwa jua kutatokea 21 Septemba 2025

    KUPATWA KWA JUA TAREHE 21 Katika siku za hivi karibuni turishudia tukio la blood moon, mwezi kuwa kama damu ambali kitaalam linaitwa kupatwa kwa mwezi. Sasa kuna tukio lengine la kupatwa kwa jua, hili tunaweza kuliita kama black star au jua kuwa jeusi kutokana na kuzibwa na mwezi...
  7. JamiiForums Tanzania Tujenge kabisa wanajf

    Mimi nitakuwa mama mchungaji,nipo serious na hili tafadhali.... Ili nisiwakere mtakuwa mnanipangia nini Cha kuhubiri sikuhiyo ...ilimradi nanyi msinikere,mkileta mambo meusi naharibu🤒 Kanisa liwe Dar es salaam maana nahamia huko soon.Tafadhali nipo seriously kabisa 🙏🙏🙏 Am in love with my...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa nchi zetu za afrika mashariki vitamin D inapatikana kwenye jua tu kukidhi mahitaji ya mwili (Punguza kutumia usafiri unaoziba jua)

    Ukiachana na JUA vitamin D inapatikana zaidi kwenye samaki ambao east afrika hawapo, kuna njia zingine kama mayai ama maini ya ngombe lakini hizi hutoa asilimia chache sana ya vitamin D zinazohitajika na mwili kwenye shuhuli zake za kukinga mwili hivo basi kwa wale mnaopenda sana kutumia usafiri...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa hili jua la Dar es Salaam ila watu wanajazana kwenda kukaangwa na sera za uongo za CCM

    Hivi kwa hili jua la Dar es Salaam ila watu wanajazana kwenda kukaangwa na sera za uongo Kweli Dar watu hawana kazi, haya nendeni sijui ndo mtapewa afu tatu ya maji 😂 hapa ni kama naskia ule wimbo wa kekundu wajinga ndiyo waliwao
  10. R

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa hili jua la Dar es Salaam ila watu wanajazana kwenda kukaangwa na sera za uongo za CCM

    Hivi kwa hili jua la Dar es Salaam ila watu wanajazana kwenda kukaangwa na sera za uongo Kweli Dar watu hawana kazi, haya nendeni hapa ni kama naskia ule wimbo wa kekundu wajinga ndiyo waliwao
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini misimu/vipindi vya jua huwa vinakuwa virefu kuliko vya mvua?

    Jua linawaka miezi mingi zaidi kuliko mvua, science inalielezaje hili?
  12. JamiiForums Tanzania Car4Sale Porte ya kujikinga na jua for sale

    Bei/Price TSH 8.5M Call +255 747 999 927 TOYOTA PORTE Year: 2005 Engine: 1290Cc Mileage: 70,000+ Transmission: AUTO Fog Lights Alloy Wheels 2-SRS Airbags Clean Interior In Good Condition Exchange Possible
  13. K

    JamiiForums Tanzania IWE MVUA IWE JUA, FOMU YA UBUNGE YACHUKULIWA JIMBO LA VUNJO.

    IWE MVUA IWE JUA, FOMU YA UBUNGE YACHUKULIWA JIMBO LA VUNJO. Maelfu ya wananchi wa Jimbo la Vunjo wamejitokeza kwa wingi kushuhudia tukio la kihistoria la Mgombea Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Enock Koola, akichukua fomu ya kugombea nafasi ya Ubunge. Shughuli hiyo iligeuka kuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Ukiona Jezi za Klabu yote ile Tanzania haijatengenezwa na hizi Kampuni Tano Kubwa za Kimataifa jua hiyo Jezi ni Takataka na Toilet Paper tu

    1. Adidas 2. Puma 3. Nike 4. Umbro 5. Diadora Imeisha hiyo.......!!!!!!!
  15. JamiiForums Tanzania Hakikisha mkeo hapungukiwi na mambo haya 3 ya lazima kibiblia

    1: Mavazi. Hakikisha haliilii kuhusu kuvaa. Awe na mavazi ya kumtosha. 2: Chakula. Kuna uhusiano mkubwa kati ya uzuri wa mwanamke na chakula. Hakikisha Kila anachokitaka ili ale kinapatikana KWA kuzidi. 3: Ngono au Tendo la ndoa. Huyo sio dada yako, hakikisha anapata ngono ya kumtosha...
  16. JamiiForums Tanzania Vijana wa buku 2000 hawawezi jua hizi mambo😂

    Nasikia bado zipo usukumani😂
  17. JamiiForums Tanzania Vitabu vya dini vinaeleza kuwa Mungu aliumba jua siku ya nne, ivi waliesabuje siku bila jua?? 🧠🔥

    Vitabu vya dini vinaeleza kuwa Mungu aliumba jua siku ya nne, ivi waliesabuje siku bila jua?? 🧠🔥
  18. M

    JamiiForums Tanzania Si kila mate ni udenda, jua aina nyingine za mate

    Udelele ni mate mazito yanayomtoka mtu labda kama ni punguani au ana matatizo Dovuo ni mate mazito yanayomtoka mtu akiwa usingizini, huwa yana harufu kali Udenda ni mate yanayomtoka mtu kutokana na kutamani kitu kama mapochopocho nk
  19. JamiiForums Tanzania Hali hii ikikutokea jua kwa Mungu hutakiwi na hata kwa Waganga wa Kienyeji pia hutakiwi kwani ni dalili kuwa wote mna Nuksi ya Karne ya Kifamilia

    TABORA: Aliyekuwa Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla ameshindwa katika mchakato wa ndani ya Chama Cha Mapinduzi...
  20. JamiiForums Tanzania Jua lina umri mkubwa kuliko dunia lakini maji ya duniani yana umri mkubwa kuliko umri wa jua

    Mjadala uko mezani Nawasilisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…