john

  1. Wananchi wa Chato wajiandaa kumuenzi Rais mpendwa, Hayat Rais John Pombe Magufuli 17/3/2024

    Tizama Video hapa chini👇 https://m.youtube.com/watch?v=qubJ4--yeg0&pp=ygVGdmlkZTogVGF6YW1hIG10b3RvIHdhIGhheWF0aSBtYWd1ZnVsaSBhZnVuZ3VrYSBoYXlhLCBhbXRhamEgcmFpcyBzYW1pYQ%3D%3D
  2. Hayati Rais John Magufuli anaishi katika mawazo na fikra za Watanzania

    Miaka mitatu sasa tangu Hayati Rais John Pombe Magufuli afariki akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tuliosoma falsafa na historia tumekutana na hoja kwamba mtu hafariki mpaka siku mtu wa mwisho anapoacha kumuwaza,yani ukimfikiria,ukimkumbuka,ukimtaja,anaendelea kuishi katika mioyo ya...
  3. John Heche: Magufuli aliniahidi kunipa nafasi ya Uwaziri kama ningekubali kuhamia CCM

    Leo kwenye Clouds 360° akihojiwa na Masoud Kipanya amesema kuwa kabla ya Mbunge Mtulia wa CUF Kinondoni yeye Heche alikuwa approached na Magufuli mwenyewe. Magufuli alimuambia kuwa kama atahamia CCM basi atampa Uwaziri. Heche alimkatalia katakata. Baada ya hapo Magufuli alimuambia kuwa basi...
  4. JOHN CENA: Chose Money Over Morality

    John Cena went live on stage at the Oscars naked. This is symbolism at it's peak, the emasculation of men. They take masculine figures in society and humiliate them, from wearing dress to walking nude Imagine all the little children who look up to him, particularly little boys, watching him...
  5. S

    Afisa Mfawidhi LATRA mkoa wa Arusha Michael John wananchi wa King'ori na Kikatiti wanateseka mabasi yanaishia Maji ya Chai

    Tumesema mara nyingi kuwa kuna haya mabasi yanaitwa Covid-19 yamesajiliwa na serikali kupitia LATRA kufanya safari zake kutokea maeneo ya Oldonyosambu, Ngaramtoni, Monduli, Kisongo, Morombo, Intel, Mapambazuko kupitia Stand ndogo Arusha mjini kwenda Kikatiti na King'ori. Ukweli ni kwamba hakuna...
  6. Rick Ross Featuring Jay-Z & John Legend-FREEMASON

    This is for the soldiers that see the sun at midnight, ya dig Let me slow down (it's so incredible) Rick Ross verse I go to the grave before i be a bitch nigga. Better behave, you dealin' with some rich niggas. We done lost symbols speakin' cryptic codes. Ancient wisdom, valuable like gifts of...
  7. Rafiki mjane Bibi John aliyekosa msaada, nasikitika sikumzika

    Salam ziwafikie JF members. Ni mwanamke aliyebarikiwa kupata watoto 5, wakike 2 na wakiume 3. Tuliishi katika Kijiji kimoja huko katika ardhi ya Mtemi Milambo mkoa unaosifika kwa zao la tumbaku. Rafiki yangu alikua ni mtu wa karibu sana na mama yangu mzazi. Aliachwa na mumewe Toka miaka ya 90...
  8. Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dkt. John Pima na wenzake wameshinda rufaa ya kupinga kifungo cha miaka 20 jela

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dk John Pima na wenzake wawili wameshinda rufaa waliyokata kupinga hukumu ya kifungo cha miaka 20 jela iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha. Hukumu hiyo imesomwa leo Ijumaa, Februari 16, 2024 na Naibu Msajili wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha...
  9. John Mnyika: Sikuunga mkono Lowassa kuwa Mgombea wa Urais 2015 kupitia CHADEMA

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amesema hakuunga mkono Hayati Edward Lowassa kuwa mgombea wa urais kwenye chama hicho, bali alitaka akijiunga CHADEMA awe mwanachama wa kawaida.
  10. Mwasisi wa unafiki na uchawa nchi hii ni mchonga meno( baba john,baba maria na baba rosemary)

    Yule jamaa mwandishi wa habari wa kwanza wa BBC swahili na hakika ndiyo alistahili kuwa rais wa nchi hii sio huyu mnaomsema ninyi kwanza mnaomsema ninyi ni mwasisi wa haya yote kwanza waTanzania kuanzia udini,uoga, unafiki na uongo uongo wa ninyi wajinga wajinga Kitendo cha yeye kumsema Amini...
  11. Uchaguzi wa CHADEMA Mbeya Mjini ni moto, John Mwambigija Maji ya Shingo, akabiliwa na Ushindani mkali

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , leo 09/02/2024 kuna Uchaguzi wa Viongozi wa Chadema Mbeya Mjini . Habari zinadokeza kwamba Ni kama vile Mbeya Mjini leo ni siku ya Mapumziko , huku wafanyakazi wa Serikali na makampuni wakitoroka makazini mapema , kwa kisingizio cha ibada ya Ijumaa ...
  12. Nahitajika Mshirika tuchange naye BTTS mbili kianzio 10000 kila siku formula hii hapa

    Sina mambo Mengi sana ipo hivi nataka mshirika aliye serious tufanye ushirikiano wa kula hela japo ndogondogo kila siku formula hii hapa yeye Atachagua team moja ya GG Na Mimi nitachagua yangu moja kisha tutazicombine na angalau zikitoa maximum odds ya 3 basi tunaweka mzigo wa 20000 yeye 10000...
  13. PreGE2025 John Heche: Makonda anawahoji Polisi kwenye mkutano wa hadhara wa CCM kwasababu anawaona kama green guard

    Polisi walianza kujiingiza ccm, baadae wakajigeuza kuwa wanachama wa ccm. IGP kadhaa wameruhusu hilo litokee. Leo Makonda anamuita mtu mwenye level ya RPC anamuhoji kwenye mkutano wa hadhara. Hii inatokea kwasababu Makonda anajua hawa ni wanachama wao. Polisi wetu wanapaswa kufanya kazi kwa...
  14. TANZIA Mungu ailaze roho ya Janken John Njunde mahali pema peponi

    Ni siku yako ya kwanza leo umelala katika udongo wa ardhi toka jana zoezi la kukuhifadhi katika makaburi ya Ununio likamilike. Janken umekwenda kaka tuna imani Mungu amekupokea kwa furaha baada ya kutimiza malengo aliyokupa hapa duniani. Tunaamini umefika salama kwa mungu baba hakika kama...
  15. John Rambo: First Blood 1982

    ...
  16. Leaving on a Jet Plane by John Denver: Hakika Hustle Life is a lonely life!

    So kiss me and smile for me Tell me that you'll wait for me Hold me like you'll never let me go 'Cause I'm leavin' on a jet plane Don't know when I'll be back again Oh babe, I hate to go Nimeusikia wimbo huu wa John Denver uliotoka miaka ya 1960/70—sikua nimezaliwa— maneno yake yakanigusa na...
  17. D

    PreGE2025 John Shibuda: Niko njiani kuja kuunga mkono maandamano ya Chadema 24/1/2024

    Mwanasiasa mkongwe nchini na M/kiti mstaafu wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini John Magale Shibuda amesema yuko njiani kutosha Shinyanga kwenda Dar es salaam kuyaunga mkono maandamano ya Chadema ya 24/1/2024 na kutoa sababu za kufanya hivyo. Shibuda ambaye amewahi kuwa kada wa Chadema na...
  18. PreGE2025 CHADEMA yatangaza Maandamano Kupinga Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa Bungeni

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza maandamano ya amani Januari 24 mwaka huu mkoani Dar es Salaam kuishinikiza Serikali kuzingatia maoni ya wadau kuhusu masuala ya uchaguzi. Maandamano hayo kabambe ya kupigania haki yataanzia Jijini Dar es Salaam na Yatafanyika 24/1/2024...
  19. Kama CCM wanapata presha Mbowe kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, siku John Heche akiwa mwenyekiti watakufa kabisa!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Kumekuwa na lialia kadhaa kutoka chama cha mapinduzi (ccm) wakimkosoa Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kukaa madarakani muda mrefu wakimtaka ang'atuke awaachie wengine waongoze! Huwa najiuliza Maswali kadhaa ambayo yanakosa majibu! 1.Huwa wanadai...
  20. Serikali ya Zanzibar haioni kwamba inawajibika kuwafanyia kitu watu wa Field Marshall John Okello?

    Mapinduzi ya Zanzibar yaliendeshwa na bwana John Okello. Hili halina ubishi. Mapinduzi yalianza saa tisa za usiku yakiongozwa na Okello na watu mia kadhaa wakiwa na silaha za jadi. Walivamia vituo vya polisi na huko ndiko walikopata bunduki. Kufika saa moja asubuhi Okello akatangaza redioni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…