john pombe magufuli

John Pombe Joseph Magufuli (29 October 1959 – 17 March 2021) was the fifth president of Tanzania, serving from 2015 until his death in 2021. He served as Minister of Works, Transport and Communications from 2000 to 2005 and 2010 to 2015 and was chairman of the Southern African Development Community from 2019 to 2020.First elected as a Member of Parliament in 1995, he served in the Cabinet of Tanzania as Deputy Minister of Works from 1995 to 2000, Minister of Works from 2000 to 2005, Minister of Lands and Human Settlement from 2006 to 2008, Minister of Livestock and Fisheries from 2008 to 2010, and as Minister of Works for a second time from 2010 to 2015.Running as the candidate of Chama Cha Mapinduzi (CCM), the country's dominant party, Magufuli won the October 2015 presidential election and was sworn in on 5 November 2015; he was re-elected in 2020. He ran on a platform of reducing government corruption and spending while also investing in Tanzania's industries, but his rule had autocratic tendencies, as seen in restrictions on freedom of speech, restrictions on LGBT rights, and a crackdown on members of the political opposition and civil society groups.Magufuli was known for promoting misinformation about COVID-19 during his leadership over the pandemic in Tanzania. After a lengthy absence from public appearances, unconfirmed rumours circulated that he, himself, had been hospitalized with the disease. His death on 17 March 2021 was attributed by the government to a long-standing heart issue. He was succeeded by his Vice-President, Samia Suluhu.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Lissu alimuita John Magufuli Rais wa ajabu, anaujua uajabu wake!

    Wakuu Mzee Stephen Masato Wasira, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Bara akiwa Clouds FM leo Februari 13, amesema; "Tume ya uchaguzi ya Mwaka 2015 iliyowapa wabunge wengi wapinzani ni tume hiyo hiyo ya Mwaka 2020 na wao wanasema mwaka 2020 uchaguzi ulikuwa mbaya na wao walikuwa...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia akiitumia Busara na Hekima ya Kimbingu akaachana na ubinadamu, atakubaliana na mimi kuwa "Umakamu/Urais wake ulichaguliwa kwa mpito tu!

    Ni Lini Rais Samia aliwahi hata kusema nitagombea Urais ?. Achilia mbali wanasiasa wote waliowah kua Marais, mwanzon kabisa walionyesha Nia zao, wakachukua Fomu n.k. Rais Samia, anachaguliwa kua Mgombea mwenza wa JPM si Kwa sababu hakukuapona MTU Bora zaidi la hasha, wapo wanaume na Wanawake...
  3. JamiiForums Tanzania Nani mwingine mwenye hoja zenye mashiko za kuwajali wanyonge Tanzania aje hapa???

    Kwa wenye umri kama wangu na kunizidini, kwa hoja hii Tanzania tukimuondoa kwanza Mwalimu Nyerere alafu tuwaangalie marais waliorithi kiti chake. Ni Rais yupi aliwapelekea watanzania kwa mamillion yao umeme wa bure vijijini ndani ndani na viunga vya miji katika kaya zilizosahaulika ambazo...
  4. JamiiForums Tanzania Hatujawahi kuwa na Rais mpenda mazingira na uhifadhi kama John Pombe Magufuli

    Rais Magufuli alikuwa ni Rais mpenda Mazingira na uhifadhi hasa. Wakati anaingia madarakani mwaka 2015 idadi ya Tembo Tz ilisadikika kuwa 43,000. Hadi anafariki mwaka 2021 inasemwa kuwa tembo walifika 60,000. Sababu alidhibiti ujangili. Magufuli alianzisha National Parks tatu. Mwalimu Nyerere...
  5. JamiiForums Tanzania Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

    Huyu mwandishi amezindua kitabu chake Leo na amechapisha Tuhuma nzito dhidi ya Marehemu Rais Magufuli kuwa yeye Binafsi alimuita Ben Saa nane ikulu na kumpiga Risasi ya kichwa Kisha mwili wake kutupwa katika mto rufiji. Hizi ni Tuhuma nzito sana ambazo hazina ushahidi wowote dhidi ya aliyekua...
  6. JamiiForums Tanzania Laana ya Hayati Rais John Pombe Magufuli yaitafuna Chadema.

    Sikumuogopa Rais John Magufuli aliyekuwa na majeshi leo hii nimuogope Tundu Lissu,ambaye ni kiongozi mwenzangu tulikuwa nae kwenye chama! kauli tata sana hii,kumekucha!!,Chadema kazi imeanza,Lissu anasema ataendelea kupigania anachokiamini,ataendelea kupiga kelele kama zile kelele za vishindo...
  7. JamiiForums Tanzania Wafadhili wa nini? - Hayati Rais John Pombe Magufuli

    Wafadhili wa nini wakati tuna kila kitu Almasi,Dhahabu,ardhi yenye rutuba,sisi ndio wafadhili,naomba niwaambie ukweli,tulikuwa na shida kwa viongozi wetu.
  8. JamiiForums Tanzania Mnaomponda Magufuli na kumsifia Rais Samia hamjielewi! Magufuli na Rais Samia ni Magufuli yuleyule?

    Aliyemuweka SSH madarakani nani kama sio Magufuli? Magu aliona mbali akamuweka mtu ambaye ataendeleza legacy yake. Ni mradi hupi aliouanzisha Magu umesimama? Miradi mingi imekamilishwa na mingine bado inaendelea kukamilishwa! Akili kubwa ya Magufuli itaendelea kuendeleza taifa hili vizazi...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alimtumbua January Makamba 21/07/2019, na Rais Samia amemtumbua 21/07/2024. Tumbuzi zote mbili ni Mwaka mmoja kabla ya Uchaguzi mkuu

    Haya mambo huendaga na Nyota kwahiyo mh January tarehe 21 July inakuwaga na jambo lake Ila natania tu 😃😃 Kwako Mshana Jr kilingeni Miono Pia soma Rais Magufuli atengua uteuzi wa January Makamba kuwa Waziri wa Mazingira; yeye asema ameyapokea mabadiliko kwa moyo mweupe Uteuzi na Utenguzi...
  10. JamiiForums Tanzania Dr John Pombe Magufuli: A Visionary Leader Who Changed Tanzania Once and for All

    Dr John Pombe Magufuli, the late President of Tanzania, is remembered as a transformative figure whose leadership left an indelible mark on the nation. Dubbed "The Bulldozer" for his uncompromising approach to development, Magufuli's presidency was characterized by bold initiatives aimed at...
  11. JamiiForums Tanzania Nimemmiss sana, Hayati John Pombe Magufuli

    Sio siri amna kipindi nilifurahia kuwa mtanzania kama kipindi raisi Magufuli akiwa Rais wetu. Kwa sasa sioni furaha kabisa na taifa langu. Sina Imani na viongozi wangu hata mmoja labda tu Makonda angalau ananionyesha anaujali sana utaifa wetu. Huu ni mda wakuwapa vijana fursa hawa wazee hawana...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania's former John Pombe Magufuli

    Rejected a $10 billion loan from China He didn't go on state trips outside Africa during his term as President of Tanzania He reduced the cabinet's size from 30 to 19, which worked more effective. He Introduced free Education from Primary to Secondary School He believed in the unity of...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kwa maelezo ya CDF mstaafu ni Kwamba Magufuli alipata Msamaha na Ondoleo la Dhambi zake zote mbele ya Kardinali Pengo!

    Mara nyingi ndugu wa mgonjwa ndio humfuata baba Paroko na kumuomba ampatie mgonjwa sakramenti ya Mafuta matakatifu Lakini Shujaa Magufuli yeye mwenyewe alimuagiza CDF awaite Baba Paroko na Kardinali Pengo kwa ajili ya Huduma Basi Yesu Kristo alisema " Dhambi zenu zijapokuwa Nyekundu zitafanywa...
  14. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Chato wajiandaa kumuenzi Rais mpendwa, Hayat Rais John Pombe Magufuli 17/3/2024

    Tizama Video hapa chini👇 https://m.youtube.com/watch?v=qubJ4--yeg0&pp=ygVGdmlkZTogVGF6YW1hIG10b3RvIHdhIGhheWF0aSBtYWd1ZnVsaSBhZnVuZ3VrYSBoYXlhLCBhbXRhamEgcmFpcyBzYW1pYQ%3D%3D
  15. JamiiForums Tanzania Je, Kanda ya Ziwa kutumika kama daraja la kuwavusha wanasiasa 2025 waliodiriki kumkejeli Hayati Magufuli?

    JE, KANDA YA ZIWA KUTUMIKA KAMA DARAJA LA KUWAVUSHA WANASIASA 2025 WALIODIRIKI KUMKEJELI DR JOHN POMBE MAGUFULI? Baada ya kifo cha marehemu Dr John Pombe Magufuli tuliona wanasiasa waliokuwa karibu yake na wengine ambao Leo hii wapo madarakani Kwa sababu yake walianza kumnanga na kumkejeli...
  16. JamiiForums Tanzania Happy heavenly birthday Hayati Rais John Pombe Magufuli

    Siku kama ya leo miaka 64 iliyopita alizaliwa mtoto aliyekuja kufufua matumaini ya Watanzania,shida za Watanzania zikapata ufumbuzi,matatizo ya Watanzania akayanunua na kuwa matatizo yake,ikawa kila mwenye tatizo alikwenda kwake na kutatuliwa tatizo lake,alikuwa mwenye kipaji cha Uongozi toka...
  17. JamiiForums Tanzania Sheria ya Umiliki wa Rasilimali na Maliasili iliyotungwa Awamu ya Tano, chini ya Hayati Magufuli

    Ikumbukwe wakati sheria ya kulinda rasilimali za taifa inatungwa mwaka 2017 Mh Waziri mkuu alikuwepo,Spika alikuwepo wakati huo alikuwa Naibu Spika,Rais alikuwepo wakati huo alikuwa Makamu wa Rais,Waziri wa fedha alikuwepo wakati huo alikuwa Waziri wa Sheria, na wabunge waliopitisha bungeni ni...
  18. JamiiForums Tanzania Papa Pius wa XI na Benito Mussolini kardinali Pengo na John Pombe Magufuli

    Mimi ni mkatoliki kindakindaki ila huu umoja wa kanisa na viongozi wa aina hii unalitesa sana kanisa takatifu la Yesu. Kuna ushahidi mkubwa wa papa Piusi wa XI kuwa na mahusiano ya karibu na Benito Mussolini fashisti wa italia mpaka Mussolini akampa papa eneo la Vatican city ilipo leo. Kupitia...
  19. JamiiForums Tanzania Hayati Rais John Pombe Magufuli akumbukwa kwenye uzinduzi wa Ikulu Mpya Dodoma.

    HAYATI RAIS JOHN POMBE MAGUFULI AKUMBUKWA KWENYE UZINDUZI WA IKULU MPYA DODOMA. Leo 10:15hrs 21/05/2023 Hayati Rais John Pombe Magufuli alituonyesha na kutufundisha ya kwamba,kuwa Rais na kufanya vizuri haihitaji uwepo madarakani miaka kumi! kazi uliyotumwa kuifanya kwa miaka 10...
  20. JamiiForums Tanzania Gazeti la Mwananchi acheni kupotosha umma. Chato bado ipo imara tokea Hayati Magufuli afariki dunia

    Maisha ya wananchi wa Chato yanaendelea kama kawaida. Hakuna tawi la CRDB Chato lililofungwa. Hakuna mahala kuwa stendi imekwa stendi ya mabasi inatumika na mabasi ya mikoani yanapita stendi na kuchukua abiria. Mmeandika habari kwa uongo na unafiki. Chato sio Gbolite. Mnatakiwa kufungiwa kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…