john heche

John Heche is a Tanzanian politician. He serves as a member of the Parliament of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni ngumu sana Sugu, Wenje, Mbowe kubakia CHADEMA hii yenye msimamo mkali ya Lissu na Heche

    Hawa makada wa CHADEMA niliowataja ni vigumu mnoo kuendelea kuwa wanachama wapigania mabadiliko ndani ya CHADEMA hii ya msimamo mkali wa kisiasa. Ni suala la muda tu. Kuna ambao wangetaka kuondoka wakati huu pia, ila mfumo unawabakiza hili kujua mipango na mikakati ya CHADEMA hasa wakati huu...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche aendesha Tone Tone nje ya Mahakama akiagana na Mamia ya Wanchadema waliojitokeza kwenye kesi ya Lissu

    John Heche aendesha Tone Tone nje ya Mahakama akiagana na Mamia ya Wanchadema waliojitokeza kwenye kesi ya Tundu Lissu adai "Tunaendelea na ziara yetu ya No Reforms NoElection"
  3. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: CHADEMA ikiingia mamlakani baada ya reforms kufanyika, kila Mtanzania mwenye miaka 60 atalipwa pensheni ya uzeeni

    Salaam! Hayo yamesemwa Leo na kamanda John Heche makamo mkt wa CHADEMA taifa akiwa kahama. Yaani ikiwa hujaelewa ni hivi, mtanzania yeyote awe boda boda, machinga, muuza mchicha, mkulima ,mfanyabiasha ,mlemavu nk nk, ukifikisha miaka 60,utalipwa pensheni ya uzeeni sababu ulishiriki kuijenga...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Serikali ya Rais Samia imetumia TSh. Bil 571 kwenye matumizi yasiyo na tija

    Akirejea kwenye ripoti ya CAG Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche asikitishwa na matumizi ya bilioni 571 kwenye mambo yasiyokuwa na tija. Uwasilishaji wa ripoti ya CAG > Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025
  5. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maelfu ya Wananchi waliohudhuria mkutano wa CHADEMA waridhia Uchaguzi usogezwe mbele ili Marekebisho muhimu yafanyike

    Katika Bandika bandua inayoendelea chini ya Kiongozi Mahiei Mh John Heche ambaye ni Makamu mwenyekiti wa Chadema Taifa huko Kahama. Zaidi ya Wananchi 5000 ktk mkutano mmoja wamekubali kwa kauli moja na kuitaka serikali ijali maoni na matakwa yao. Wamesema wanaiomba mamlaka kusikiliza...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: OCD mimi sio Mke wako, nasema huna chakunifanya hii nchi sio ya Mama zenu

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche akaanga vibaya OCD mbele ya umati wa wafuasi wa Chama hicho. "Natamani ningekuwa na muda na hayo maelekezo unayopokea kwa Kihongosi, ningekuwa na muda ningepambana na wewe tuone ungenifanya nini mimi sio mke wako, huna...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: John Mrema amekimbia na Akaunti za YouTube na X za Chama, tuligundua kila wiki analipwa Tsh. Milioni 3

    Tuna watu ambao wamenufaika na chama hiki wakakifanya kama mali binafsi. John Mrema alikuwa mkurugenzi wetu wa Habari na Uenezi na namtaja. YouTube channel ya chama inaitwa CHADEMA Digital inamilikiwa na nani? Kwenye YouTube Channel, kila unapopata hits YouTube inakulipa pesa. Wakafungua...
  8. JamiiForums Tanzania Anayeweza Kutengeneza 'kipeperushi' cha JOHN HECHE... Kuwe na maneno "ONE MAN ARMY"

    Request posted.. Karibuni . Nataka niiweke hapa sebuleni kwangu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii kwa nini Heche usitete na Mbowe kuna ubaya gani ukachota busara

    Mambo mengi yanaendelea kwenye chama chenu kama vile kuhama viongozi na wanachama, kukamatwa Tundu Lisu, kutekwa Mdude, kutenguliwa kamati nk je kuna ubaya gani ukienda kuonana na Mwenyekiti Mstaafu Mbowe ukiwa na baadhi ya wazee maarufu kuchota busara yake. Haitakupunguzia kitu chochote.
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche anaeleweka: Refa asiwe na jezi ya timu moja kwenye uchaguzi

    Wakuu, Uchaguzi mkuu utagharimu mabilioni ya walipa kodi katika nyakati ambazo wananchi wanakosa dawa hospitalini na watoto kukalia dawati shuleni ni utajiri. Kwahiyo maigizo ya 4R (cosmetics reforms) yanayotangazwa huko CCM hayafai na wa Tanzania wote wapaze sauti kuyakataa.. Hoja ya uchaguzi...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Devotha Minja: John Heche ameshindwa kuitisha kamati kuu kujadili kesi ya Tundu Lissu

    Akiongea na wanahabari mkoani Morogoro ambapo yeye na wanachama wengine wamejivua uanachama wa CHADEMA, Devotha Minja amesema kuwa Makamu Mwenyekiti ameshindwa kuitisha kikao cha kamati kuu ili kwa pamoja wakae na kujadili madhila ambayo chama kinapitia kwa sasa ikiwa ni pamoja na kesi...
  12. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Kuna mkakati wa kutumia msajili wa vyama vya siasa na polisi kuteka ofisi za CHADEMA

    Serikali ya CCM, Rais Samia kama kuna watu wanakushauri haya basi wanakupotosha sana. Nafikiri hamjui kiu ya Watanzania kutaka mabadiliko. Kila hila mnazopanga na kufanya dhidi ya chama chetu mnakiimalisha zaidi.Sisi hatutawapigia magoti.
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: Kuna mgogoro mkubwa ndani ya CHADEMA, inaenda kufa, Heche msitafute mchawi

  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Mmemkamata Lissu chama kipo mikononi mwangu, haki ya Mungu tutawashughulikia

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche atangaza misimamo mikali ya chama hicho baada ya kukamatwa kwa Mwenyekiti wao ndugu Tundu Lissu. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanachama wa CCM ahamia CHADEMA, atema cheche balaa mbele ya John Heche

    Grace Rwemamu ambaye aliwahi kugombea Ubunge wa Jumuiya ya Afrika mashariki mwaka 2017 leo ametangaza kukihama chama cha Mapinduzi CCM chama ambacho amekitumikia kwa miaka 15. Grace amepokelewa mbele ya Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa John Heche katika mkutano wa hadhara huko Nyamagana...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Unaogopa mabadiliko wakati hauna hata chakula cha kula mchana, unaogopa mabadiliko kwa sababu gani?

    "wewe mtu wa Sengerema unaogopa mabadiliko wakati hauna hata chakula cha kula mchana, unaogopa mabadiliko kwa sababu gani?, ili uende mbinguni kiingiio elfu kumi wemgi mtaenda motoni halafu unaogopa mabadiliko kwasababu gani? mabadiliko ni kwa ajili ya vijana na watu maskini kutoka kwenye hali...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Wasiwatishe, CHADEMA haikuanzishwa kutimiza ndoto za Ubunge

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amewataka Wanachama wa Chama hicho kutotishwa wala kubabaishwa na walioshindwa mapambano na kuondoka kisa CHADEMA haishiriki uchaguzi bila mabadiliko kufanyika ambapo amesema Chama hicho kilianzishwa ili kuwaletea Watanzania mabadiliko na sio...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askari waliofunika sura zao wanadaiwa kumfuatilia John Heche huko Mwanza, yadaiwa wanataka kumkamata

    Askari walioficha sura zao inadaiwa wanamfuatilia John Heche mchana huu huko MWANZA. Askari hawa wanatumia gari lenye USAJILI PT 4833. Kwanini wavae hivi wakiwa kwenye gari za POLISI? wanajificha nini?
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa maoni yako, nani anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025?

    Habari za leo, Kwa maoni yako nani anaweza kulisaidia hili Taifa ili lisonge mbele kimaendeleo kwa kasi. Binafsi huwa namkubali sana Majaliwa K. Majaliwa. Namuona kama mtu ambaye anaweza kutufikisha sehemu nzuri. Je, wewe unaona nani anafaa kuwa Rais wa hii Nchi 2025.
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla: Heche usirushe mawe ukiwa nyumba ya vioo

    HECHE USIRUSHE MAWE UKIWA NYUMBA YA VIOO - AMOS MAKALLA Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Amos Makalla amemtaka Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche kuacha kusambaza propaganda za kusalitiwa bali aseme ukweli yakuwa kuna mgogoro mkubwa ndani ya Chama chao. Makalla amesema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…