Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, ameiomba Mahakama iitishe na kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu ili kesi iishe na Lissu akafanyiwe matibabu ambapo amesema kama Lissu atapatwa na lolote akiwa gerezani kuna Watu watalazimika kujibu ni nini kimempata...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesisitiza kupitia mitandao ya kijamii kwamba maendeleo hayawezi kuwa kisingizio cha kutofuata sheria, kuharibu demokrasia au kuendeleza uchawa.
Kupitia chapisho la leo Machi 18, 2026, Heche amesema kuwa vitendo...
Nchi hii hakuna sheria wala utaratibu wa polisi kupangia mtu aende wapi, au asiende wapi..
Polisi Tanzania hawana mamlaka kisheria wala kikatiba kuingilia uhuru wa watu kwenda wanapotaka wao wenyewe..
Polisi Nchi nzima wameweka barriers wanakamata viongozi na wanachama wa Bawacha waliokua...
Kupitia ukurasa wa Instagram na (X) zamani Twitter anaandika John Heche ambaye ni makamu Mwenyekiti CHADEMA
"Nimetoka Gereza la Ukonga kumuona Mwenyekiti…
Nimefanya kila jitihada kuweza kumuona nimezuiliwa kinyume cha sheria na utaratibu uliopo.
Mfungwa au mahabusu anaweza kutembelewa na...
"Chadema na watanzania tunataka serikali ya mpito isiyoongozwa na Samia itakayowekwa chini ya uangalizi wa taasisi huru za kimataifa kwa kuwa serikali haina uhalali wowote CHADEMA inataka kuanzishwa kwa serikali ya mpito " Mh. John Heche akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 11,2025...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema watu wengi wanahoji kuhusu masuala ya maridhiano, akiuliza, “Unakaa na nani? Nakaa na mtu ambaye amemkamata mwenyekiti wako kwa kesi ya uongo.” Kauli hiyo ameitoa akielezea msimamo wa chama chake kuhusu wito wa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara, John Heche, ametoa wito wa kumuachia huru bila masharti Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Tundu Lissu, ambaye yupo mahabusu akikabiliwa na kesi ya uhaini.
John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama (Bara), ameshiriki mazishi ya Mama Robahi Samson yaliyofanyika leo tarehe 3 Februari 2026 katika Kata ya Sirari, Kijiji cha Buriba Sirari wilayani Tarime Mkoa wa Mara.
Marehemu ni mama mzazi wa kada wa CCM, Sinda Geteba, aliyetekwa.
Sindar Ghiteba, ambaye...
Makamu Mwenyekiti Bara CHADEMA, John Heche, amesema kuwa chama hicho ndicho cha siasa kikuu nchini Tanzania na hakipaswi kulinganishwa na CCM, kwa kuwa njia pekee zinazotumika kudhibiti chama hicho ni kupitia Jeshi na Polisi, badala ya hoja za kisiasa.
Ameyasema hayo leo, Januari 22, 2026...
"Chama chetu [CHADEMA] kitajenga Chuo cha Kumbukumbu ya Edwin Mtei pale kwenye viwanja vyetu Dar es Salaam, eneo la Soga ili kiwe kinafundisha vijana wetu uadilifu, uongozi, namna ya kupinga rushwa, uchumi, mambo yale [marehemu Edwin Mtei] aliyotaka kuyaona yanatokea." - John Heche, Makamu...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kupitia Makamu Mwenyekiti wake Taifa, Mheshimiwa John Heche, kimezungumza na waandishi wa habari pamoja na wanachama wa chama hicho, na kueleza masikitiko makubwa kufuatia kifo cha Hayati Edwin Mtei, Mwasisi wa CHADEMA.
Akizungumza katika mkutano...
Ni kwasababu ya jinsi anavyo onekana?
Ni kwasababau ya matamko nonsense na uropokaji useless?
Au ni kwasababu za hali yake ya kiuchumi?
Wafuasi wa Chadema masalia wanamchukuliaje huyu muungwana ambae ni adict wa kubeti?
Mungu Ibariki Tanzania
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, ametuhumiwa kutumia changamoto za kuwa mahabusu kwa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, kwa manufaa yake binafsi.
Tuhuma hizo zinaeleza kuwa Heche anadaiwa kuzuia kwa makusudi jitihada za kumaliza kesi inayomkabili Lissu ili aendelee kubaki na...
Hii ndio dawa yao kwa hawa machawa wa CCM lazima wanyooshwe na ujinga wao
=============
Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Tarime, Hamza Kyeibanja, amejikuta katika hali ya sintofahamu baada ya kuzomewa na wananchi ukumbini wakati akitoa tuhuma dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA...
Wakuu hii picha inasambazwa kwa kasi sana mtandaoni leo inasemekana kuwa Padre Kitima na John Heche walikutana na kufanya mazungumzo Januari 06, 2025. Je, ni kweli?
i
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakitakuwa tayari kwa maridhiano yenye kupumbaza, kuhadaa, yenye ulaghai na yenye kuliondoa Taifa kwenye ukweli, haki na kile ambacho Taifa inataka na kusisitiza kuwa kamwe CHADEMA haitowasiliti Watanzania.
Akiongea leo January 03,2026...
"Ni ubatili na dharau kubwa kwa Watanzania kuyaita maridhiano sasa katika mazingira ambapo serikali iliamua kwa makusudi kuwapuuza wananchi, vyama vya siasa na wadau wa demokrasia juu ya hitaji la nchi kuhusu mabadiliko (reforms) ya mifumo ya uchaguzi nchini."
"Hiki kinachoitwa maridhiano...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo @chadematzofficial Bara John Heche @hechejohn amesema Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu ni tunu ya taifa huku akishinikiza kuachiwa kwa kiongozi huyo bila masharti.
Heche ameyasema hayo leo Januari 3, 2026 katika hotuba yake kwa taifa...
Makamu mwenyekiti CHADEMA bara John Heche anandika kupitia ukurasa wake wa Instagram kuhusu TRC Kusimamisha safari za SGR kutoka Morogoro -Dodoma kutokana na athari za mvua.
"Mradi wa reli ya Tazara uliojengwa mwaka 1970 unapata shida kwasababu ya mvua..
Mradi wa SGR ambao umejengwa hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.