jogoo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ukweli ni upi? Wanasema; eti, jogoo akikomaa anataga kayai kamoja😂

    Kuna hili swala la yai na jogoo. Anyway ni swala la kijinga sana kujadili kitu kama hiki humu. Ila naamini kuna watu hata humu wanasema JOGOO AKIKUA NA KUKOMAA ANATAGA KAYAI ' KADOGO'. Nilikuwa mahali nikasikia jamaa akaleta mada hii mezani. Kwa ufupi huyu jamaa nimeamua tu kumpa ushindi maana...
  2. Mwanafunzi wa Chuo Kikuu afariki baada ya ‘jogoo’ kuwika siku tatu mfululizo

    Mwanafunzi mmoja wa Chuo Kikuu cha Maasai Mara ameaga dunia baada ya ‘jogoo’ wake kuwika kwa siku tatu mfululizo katika Kaunti ya Narok nchini Kenya. Ripoti ya Polisi imeeleza kuwa mwanafunzi huyo aliyekuwa na umri wa miaka 22 alifariki akiwa katika Hospitali ya Shepherd alikokuwa amelazwa...
  3. Covid 19 (Wabunge Kharamu) ni wakati sasa wa Kumkana Ndugai mara 3. Kabla Jogoo hajawika. Achaneni naye kwa sasa siyo Deal tena

    Ili kupata ithibaki inabidi sasa muhamie upande wa kumtetea Rais. Mkibaki kushangaa shangaa mtakuja kupigwa chini Ndugai akiondolewa. Hili nawashauri. Anzeni nanyi kumrushia mawe na madongo akifa huku hamjarusha hata jiwe moja mtaonekana mlikuwa nyuma yake. Lazima muwe wajanja kama nyoka. Kwa...
  4. Yupi ni mbaya zaidi kati ya anayekuroga usipate pesa na anayekuroga jogoo asisimame?

    Hello guys, good morning! Ukosefu wa nguvu za kiume na ukosefu wa fedha vyote ni tatizo. Je, yupi ni mchawi mbaya zaidi kati ya anayekuroga usipate pesa na anayekuroga jogoo asisimame?
  5. Wanaotafuta Utajiri wa Punje za Mahindi na Jogoo, Imekaaje Hii?

    Nikiwa kwenye basi katika harakati za kuitafuta shs, tumesimama kuchimba dawa eneo linaonekana kama kijiji baada ya makambako kuelekea mafinga, ni eneo flani inaonekana kuna vyoo vya mtu binafsi ila abilia hatulipi na sijui nani anayehudumia hivyo vyoo!. Nikiwa ndani ya chumba natoa oil chafu...
  6. Unajua kama Jogoo ni zaidi ya kitoweo. Kamata mambo 10 kuhusu jogoo

    Unaju kama Jogoo ni zaidi ya kitoweo. Kamata mambo 10 kuhusu jogoo Dunia ina mambo mengi sana, zembea kuyajua maisha yakumudu uamuzi ni wako. Hata Mungu alivyotupa akili alituachia uamuzi wa kuzitumia. Ukiamua kuzitumia akili zako kulala sawa. Yeye atakulinda usingizi ili uvune umasikini wa...
  7. Hustler nation under Jogoo Bill Arap Ruto

    Naileta kama nilivyoichota sehemu kuhusiana na mchezo mchafu wa siasa za Kenya uliojaa unafiki na urongo. Truly, Ruto's goose is cooked and surely, he won't bake his cake and eat it. It came to light that Kenyan vee pee, Bill arap Ruto and his empire is guarded by 257 as per the minister for...
  8. S

    Mmiliki wa jogoo aliyewika mara 3 wakati Petro anamkana Yesu ni nani?

    Naomba kujua. Nani alikuwa mmiliki wa jogoo aliyewika mara tatu siku Petro anamkana Yesu?
  9. Jogoo kaniaibisha mbele ya mchepuko

    Wakuu mpaka nacheka yaani, nilipata ka mchepuko siku sio nyingi sasa katika harakati za kunipa tunda tukakubaliana leo. Sasa bwana tukaenda zetu lodge maajabu mashine imegoma kabisa kusimama [emoji3][emoji3] daah hata sielewi mpaka najicheka yani najiuliza naumwa au maombi ya wife maana wife...
  10. Hivi jogoo wangu akimpanda tetea wa jirani, nakuwa na haki kwenye mayai?

    Eti wakuu. Maana naona ng'ombe wanapandishia hela. Walau hawa wanalipwa. Sasa hiki la jogoo likoje?
  11. Q

    Vijogoo wa nyama vinauzwa

    Kuku "vijogoo wa nyama" wanauzwa kwa ajili ya kufugwa. Wana wiki 6. Wanapatikana Kibamba, Dar es Salaam. Wapo 300. Bei ni 6000 kwa kila mmoja. Piga 0715066185 au 0753066185 kwa maelezo na maelekezo.
  12. Jogoo anawika kwa kasi zote nje ya uwanja

    Nikiwa nje ya kitanda huwa akili na hisia zangu zipo katika kula mzigo. Kiasi ambacho nikiongea na demu kwenye simu tu jogoo anawika. Nikikaa na demu karibu, mnara unasimama nganganga. Sasa tatizo ni pale demu huyo huyo akishavua nguo chumbani, sasa hapo naona ni kitu cha ajabu tena. Jogoo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…