Mr. Job Yustino Ndugai (born 21 January 1960) is a Tanzanian politician who has been Speaker of the National Assembly of Tanzania since November 2015. Previously he was Deputy Speaker from 2010 to 2015.
Barabara zimeanda kufanyiwa marekebisho nyumbani kwa marehemu Job Ndugai, Njedengwa jijini Dodoma ili kurahisisha upitaji wa magari.
Soma pia: Mbunge Boniphace Getere: Tunachotaka ni kuona PM Majaliwa anarudi bungeni kuhusu vyeo anajua Mungu
Watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa Chama Cha...
Neno la Mungu linasema.. Maisha ya mwanadamu ni miaka 70 na akiwa na nguvu ni miaka 80....! Baada ya hapo utaishi miaka ya bonus au ya ubatili!
Job Ndugai katwaliwa kutoka maisha haya! Bila kuteseka sana na bila maumivu.. Kufumba na kufumbua mtu kanyamaza
Ni mojawapo ya vifo bora kabisa! Ambavyo...
Aliyewahi kuwa Spika na aliyekuwa Mbunge wa Kongwa, Job Yustino Ndugai amefariki Dunia, leo Agosti 6, 2025, taarifa ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani, Dkt. Tulia Ackson imeeleza kuwa msiba umetokea Dodoma
Dkt. Tulia amesema Ofisi ya Bunge...
Ulikuwa spika,umeshaandaliwa mafao yako ya mstaafu.
Pumzika kwa heshima hutaki bado unataka kurudi mjengoni
Umesahau nini huko
Mtu mwenyewe mgonjwa na mfumo haukutaki tena
Shame on you
Wananchi wa jimbo la Kongwa mkoani dodoma wameendelea kumbada kwa maswali mazito, Aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai, ambaye ni Mtia Nia wa Ubunge jimbo la Kongwa mkoani Dodoma akijinadi mbele ya Wajumbe kuomba kura.
Chanzo: Jambo Tv
Salaam!
Kuna Nafasi ipi ya juu bungeni ambayo hukuifikia ambayo inakupa ujasiri wa kugombea Tena ubunge?
Kwanini usitafute changamoto nyingine?
Tafadhali sana nakusihi , achana na harakati hizo kuepuka hizi aibu ndogo ndogo.
Swali: Unagombea ubunge Ili iweje?
Nawasilisha 🙏
Jobu NDUGAI ameonja joto ya jiwe kutoka jimboni mwake huko kwao.
Naamini huu itakuwa ni mfano mzuri sana kuigwa na wapiga kura na wajumbe hapa nchini.
Sikikizeni hali ilivyokuwa mbele ya NDUGAI.
My Take
Chadema mpo? Kuna ujumbe wenu Kwa Ndugai.
===
Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai amesema Jimbo hilo kupata ushindi wa 'Cleen Sheet' kila chaguzi zinazofanyika ikiwemo 2020 ni sababu ya eneo hilo kuwa kitovu na ngome ya demokrasia kwa CCM katika mkoa huo.
Ndugai ambaye ni Spika Mstaafu wa...
Aliyekuwa Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa kwa zaidi ya miongo miwili, Job Ndugai, ameibua mjadala mpya katika siasa za jimbo hilo baada ya kutamka kuwa atagombea tena ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025—miezi kadhaa baada ya kutangaza kuwa hatagombei tena.
Mei 2022, Ndugai alisema...
Tundu Lissu ndiye mbunge wa kwanza duniani kuingia bungeni na vitabu vingi na kuvitumia vyote kujenga hoja zake. Kumshinda lissu kwa hoja, ni lazima uwe umesoma sana
TLS tuliitisha Mdahalo wa Kitaifa kuzungumzia Utekaji Baadhi ya sababu kuu zinazochangia utekaji kulingana na mjadala ule ni pamoja na
Udhaifu wa mifumo ya utendaji wa Jeshi la Polisi ( Colonial Mentality ) na kutotenganishwa kwa shughuli za Upelelezi na Uchunguzi kutoka Jeshi la Polisi na...
Muhtasari
Mheshimiwa Job Yustino Ndugai ni mwanasiasa wa Tanzania na aliwahi kuwa Spika wa Bunge la Tanzania tangu Novemba 2015 hadi alipojiuzulu Januari 6. Hapo awali alikuwa Naibu Spika kuanzia 2010 hadi 2015 kabla ya kuwa Spika chini ya serikali ya Magufuli.
SPIKA Mstaafu na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai ameishauri serikali kuangalia upya utaratibu uliopo sasa, katika hospitali nyingi za umma kuwa ni lazima mgonjwa kutoa Sh. 10,000 kwa ajili ya kumuona daktari.
Ndugai, alisema hayo juzi jijini hapa, wakati akichangia hoja kwenye kikao cha Kamati ya...
Hakika kama Spika ulipokuwa ofisini kwako ulikuwa na nafasi ya kuelewa mengi na kwa undani zaidi.
Hivyo kama ilivyo, Msema kweli ni mpenzi wa Mungu na dhahiri anakuwa adui wa shetani. Tumeelewa.
Sasa kwa kuenzi huo ukweli aupendao mwenyezi Mungu tumekuelewa na tutausambaza kila kona ya nchi na...
Hellow Tanganyika!!
Nimekaa Mahali USINGIZI umekata, wazo likanijia kumhusu Mh Ndugai pale alipoitisha press kuishauri Serikali kuhusu kujitegemea kuachana na mikopo kiduchu.
Na kilichonivutia zaidi, ni pale ulipomalizia Kwa kauli kuwa "Watanzania wataamua, ikiwa watachagua viongozi Hawa...
Bunge la Job Ndugai
Bunge la Anne Makinda
Bunge la Samweli Sitta
Bunge la Pius Msekwa.
Bunge la Tulia Akson
Lipi lilikidhi Kiu yako na uliona kama faida kwa nchi na lipi halijawahi kukata kiu yako na unaliona kama hasara kwa nchi?
Ndugu zangu Watanzania,
Speaker Wa Bunge Mstaafu Mheshimiwa Job Ndugai Ameibukia Jiji La Tanga akiwa Ameongozana na Madiwani Mbalimbali kutoka halmashauri ya Wilaya ya Kongwa .
Ambapo yeye pamoja na Waheshimiwa Madiwani ,mkuu wa wilaya na mstahiki meya wa halmashauri ya Kongwa wamefika jijini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.