jnhpp

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya umeme nchini ilianza na Awamu ya Tatu, sasa ni mbaya zaidi. Kwanini maji ya Ziwa Victoria yasipelekwe hadi Mtera na JNHPP kupata suluhu?

    Awamu ya baba wa taifa na ile ya mzee ruhusa hakukuwa na changamoto la katika katika kwa umeme maeneo ambayo huduma hii ilikuwa imeyafikia. Ni kweli kwamba maeneo hayo yalikuwa hasa kwenye miji mikubwa ya nchi. Shughuli za kiuchumi wa viwanda hazikuwa nyingi kama ilivyo sasa ambapo tumesambaza...
  2. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Januari aitupia zigo Menejimenti ya zamani ya TANESCO kuchelewa mradi wa JNHPP

    Waziri wa Nishati, Januari Makamba amenukuliwa akiitupia lawama bodi ya wakurugenzi na menejimenti ya TANESCO iliyopita kwamba ndio imehusika kuhujumu mradi wa Bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere na kushindwa kukamilika kwa wakati kwa mujibu wa mkataba. Kama itawapendeza wajumbe naomba...
  3. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Januari ataja sababu za kusuasua kwa Mradi wa JNHPP

    Waziri wa Nishati, Januari Makamba ametaja sababu za kuchelewa kwa mradi wa Bwawa la Nyerere kuwa ni utendaji mbovu wa Menejimenti ya Tanesco kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita. "Tuliamua kubadilisha menejimenti ya Shirika pamoja na Bodi na kuweka menejimenti mpya na bodi ambayo tunaamini...
  4. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania 4 Land Surveyor Jobs at JVACEE, Julius Nyerere Hydro Power Project (JNHPP)

    4 Land Surveyors Morogoro, Dar es Salaam JVACEE, Julius Nyerere Hydro Power Project (JNHPP) In joint venture with The Arab Contractors of Egypt (Osman A. Osman & Co.), ELSEWEDY ELECTRIC is entrusted by the people and government of Tanzania to execute, The Julius Nyerere Hydropower Project. JOB...
  5. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Januari Makamba: Wanaohoji kuchelewa Mradi wa JNHPP ni upuuzi tu

    Leo Waziri wa Nishati, Januari Makamba amewajibu wanaohoji kuchelewa kwa Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere JNHPP ni upuuzi tu na kama hawaamini majibu yake basi wamuue. "Ukisema Bwawa litachelewa kwa sababu hii na hii wanasema muongo huyo, mshenzi huyo basi njooni mniue basi kama hamuamini, wote...
  6. Patra31

    JamiiForums Tanzania Nafasi 43 za kazi kwenye mradi Wa Julius Nyerere Hydropower Project (JNHPP)

    1) Motor Grader Operators —- 10 positions 2) Excavator Operators ——– 20 Positions 3) Bull Dozer Operators ——– 03 Positions 4) Pipe Fitters ——————- 04 Positions 5) Supervisor Piping ———– 01 Positions 6) Supervisor HVAC ———— 01 Positions 7) Wheel Loaders ————— 04 Positions Interested candidates...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Felchesmi Mramba: Bwawa la JNHPP ni mara 10 ya bwawa la Kidatu lililojengwa kwa miaka 5

    Katibu mkuu wizara ya Nishati ndg. Felchesmi Mramba amesema bwawa la Julius Nyerere halitakamilika hivi karibuni kama ilivyoaminishwa na baadhi ya wanasiasa. Amesema bwawa hilo ni kubwa sana hivyo usalama wake unapaswa kuzingatiwa ktk hatua zote za ujenzi wake. Ametolea mfano kuwa mabwawa ya...
  8. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania 64 Various Jobs at JVACEE, Julius Nyerere Hydro Power Project (JNHPP)

    J-V-A-C-E-E, Julius Nyerere Hydro Power Project (JNHPP) is Urgently Looking for the Following Candidates to fill the available below Positions :- Motor Grader Operator — 22 positions Excavator Operator — 26 Positions Soil Compactor Operator — 10 Positions Soil Reclaimer Operator — 06...
  9. Stroke

    JamiiForums Tanzania Deni la mabilioni linalotokana na kukosekana kwa umeme kwa mkandarasi JNHPP ni Batili

    Ripoti ya CAG inasema kwamba mkandarasi wa Mradi wa umeme wa Nyerere anaidai Serikali mabilioni kama fidia ikiwa ni kutokana na kukosekana kwa umeme wa uhakika kumwezesha kutekeleza majukumu yake kimkataba. Binafsi naona deni hilo ni batili kwani kimantiki. (Logically) hatupaswi kumlipa fidia...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Samia kwa miezi 9 tangu aingie Madarakani

    MAFANIKIO YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN TOKA AINGIE NADARAKANI Mh.Rais Samia Suluhu Hassan: Ameendelea kujenga Nchi kwa kuendeleza Miradi mikubwa ya Taifa kama ilivyoainishwa kwenye ILani ya CCM ya Mwaka 2020-2025, Mradi wa Julius Nyerere Hydropoer Poject-JNHPP wa Megawatt 2115 umeendelea...
  11. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Makamba usikubali kuchezewa wala kudanganywa na hao wahandisi wa JNHPP. Tani 26 si nzito kama wanavyokudanganya

    Hawa wahandisi wa mradi wa JNHPP wanamdanganya sana huyu waziri January Makamba kwa sababu yeye mambo ya sayansi ni mashikolo mageni. Eti tani 26 ni uzito mkubwa sana unaohitaji a special immobile crane kuunyanyua! Mhuuuuu! Kweli? Kwa nini hawa wahandisi wanamfanyia hivyo Makamba? Mbona tani 26...
Back
Top Bottom