Mambo vipi wana jamvi?
Huu ni mtazamo binafsi tu juu na namna ambayo mimi mzalendo namba moja ingekuwa kama ningepata wasaa huo wa kuitengeneza na kuiongoza (serikali).Nitasema kwa kifupi sana na nitafafanua mawazo yangu kadri tunavyosonga mbele, ruksa kutoa mawazo kinzani, si kwa matusi bali...
Jee watazimia? Pressure zao zitapanda au zitashuka? Wataweza kuendelea na hiyo no reforms no election? Jee wataporomosha matusi hadi ya nguoni?
Mimi nafikiri tu kwa sauti? Jee wewe unafikiri kipi kitawapata hawa watu ikitokea hivyo?
Bila kujali kama waliingia kwa mlango wa mbele au waliingizwa kupitia mlango wa nyuma, bunge lina Wabunge alau hata 5?
Nimejaribu kuwahesabu bila mafanikio. Nimepata kama watatu tu:
1. Jumanne Kishimba!
2. Josephath Gwajima!
3. Luhaga Mpina!
Hao tu ndiyo Wabunge waliopo kwa sasa bungeni?
Wanabodi,
Hii ni makala yangu gezeti la Mwananchi.
Leo, naendelea na zile makala za Ijue Katiba ya JMT, leo nikijikita kwenye umuhimu wa mabadiliko madogo ya katiba, minimum reforms, kuna Watanzania wengi wamelisikia hili neno minimum reforms, baada ya Chadema kulivalia njuga na kutoa kauli...
Tanzania Visiwani au Zanzibar ina ukubwa wa 2,462 km za maraba ikilinganishwa na Bara yenye ukubwa wa kilometa za mraba 944,841 ni sawa na 1/383.
Je ni haki kwa sehemu hizi kuwa na haki sawa? Je nani anamnyonya au kumtumia nani? Je nini kifanyike kutenda haki kulingana na ukubwa na mchango wa...
Hamfai na hamna sifa ya kurudi. Hilo mnalithibitisha wenyewe ndani ya bunge.
Kila anayezungumza anasifia kila jambo kuwa Rais Samia kafanya yeye sasa nyie mmefanya nini kutumiza wajibu wenu? Msije mkasema wajibu wenu ni kupiga makofi kwa kila kiletwacho na serikali.
Yale ya wajibu wenu...
https://youtu.be/cfHzDQSD8vs?si=8UR5XPRjzS4yzanv
Mwanasheria msomi na Wakili wa LHRC amempinga Mkurugenzi wa Tume isio Huru ya Uchaguzi Tanzania Bwana Ramadhani Kailima kuwa ati CHADEMA wameondolewa kwene Uchaguzi wa 2025 kwa kukataa kusaini Kanuni za maadili ya Uchaguzi.
Wakili msomi Maduhu...
Kiongozi mkuu wa Serikali ya watu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayeiwakilisha serikali ya watu wa Tanzania akipokea tuzo ya Bingwa wa vichekesho (Champion of comedy).Hongera serikali, Hongera Mheshimiwa kuwa Bingwa wa vichekesho.Tuendelee kucheka kwa pamoja!
Modes naomba uzi huu...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.........KAZI IENDELEE 🇹🇿 🇹🇿
Naanza na kuishukuru serikali yetu ya Awamu ya 6 chini ya Dr Samia Suluhu Hassan kwa kutujari Watumishi wa umma, na si Watumishi tu, bali makundi yote yameguswa chanya na serikali yetu, utaona ruzuku zimejaa kila Kona ya nchi, na...
Nimeghabika kuuona mwendelezo wa kuimbwa kitofauti kwa huu wimbo mtukufu na TUNU ya JMT.
Wiki ya kampeni ya uzinduzi wa huduma wa msaada wa kisheria wa mama Samia hapa Mwanza....
Kinachonishangaza ni kuwa siku unapochezwa mbele ya mh.Rais ,Makamu wa Rais na Waziri Mkuu kamwe tabia hii MBAYA...
Katika hatua iliyoshangaza wengi, Rais wa Marekani, Donald Trump, ametoa agizo maalum la kuwekwa hadharani kwa taarifa za siri zilizofichwa kwa miongo kadhaa.
Kuhusu mauaji ya Rais John F. Kennedy (JFK), mdogo wake Robert F. Kennedy (RFK), na kiongozi mashuhuri wa haki za binadamu, Martin...
Ghafla nimetamani iwe hivi. Lissu aachane na huo uenyekiti ili hapo mbeleni agombee Urais wa JMT tena.
Sioni mwingine wa kupambana na Mama hapo mbeleni kwenye uchaguzi mkuu zaidi ya Lissu.
Matokeo ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa yamewatangaza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Pamoja Na Rais Dkt Hussein Ali Mwinyi Kuwa wagombea Urais 2025-2030.
Marais hawa watakuwa wanakamilisha Ngwe zao za Pili za Uongozi katika Ngazi ya Urais Katika Serikali za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Nina hoja
Tangu Tundu Antipas Lisu atangaze na kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti taifa wa CHADEMA. Watanzania karibia wote wamekuwa wanafuatilia na hususan kuonesha kumuunga mkono
CCM imeporomoka umaarufu kwa ghafla mno. Hata mkutano Mkuu unaoandaliwa Dodoma umekosa shamsham zake kama ilivyo...
Magufuli was more than a Person, He was a Country, He was a Vector., However, we unexpectedly lost this national treasure.
Magufuli's Strategy, Ideas, Principles , Beliefs should be turned into a National Ideology and this will further prevent the risk associated with One Man.
The essence of...
TAARIFA KWA UMMA
TUNAITAKA SERIKALI YA JMT, KUWACHA MARA MOJA UTOWAJI WA LESENI KWA ENEO LA FUNGU MBARAKA NA BAHARI KUU UPANDE WA ZANZIBAR
Tokea mwaka (2009) ambapo Baraza la Wawakilishi na Serekali ya awamu ya sita ya Dr. Abedi Amani Karume na aliekua Waziri wa sekta hiyo ndugu Mansour Yussuf...
Wanabodi,
Makala yangu ya leo kwenye gazeti la Mwananchi.
https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/siasa/katiba-ya-zanzibar-inavyokinzana-na-ya-jamhuri-ya-muungano-wa-tanzania-4853314
Kuna msemo wa Kiswahili usemao, mchelea mwana kulia , hulia yeye!. Makala hii ni swali "Tanzania ni nchi moja ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.