Jamani amkeni amkeni
Huko Dubai mambo ni moto balaa! Leo hii Rais wa JMT Mhe Samia Suluhu Hassan ameshuhudia utiaji saini wa mikataba zaidi ya 30 ya uwekezaji Tanzania yenye thamani ya fedha za Tanzania zaidi ya Trilioni 17 na itakayotoa ajira kwa Watanzania za moja kwa moja zaidi ya laki 2...
Tujikumbushe.
1. Awamu ya kwanza Rais Mwalimu Nyerere RIP
2. Awamu ya pili Rais mzee Mwinyi
3.Awamu ya tatu Rais mzee Mkapa RIP
4. Awamu ya nne Rais mzee Kikwete
5. Awamu ya tano Rais Magufuli RIP
Maendeleo hayana vyama!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.