jkt

JKT48 (read as "J. K. T. Forty-eight") is an Indonesian idol group whose name is derived from its based city of Jakarta and the Japanese idol group AKB48. Formed in 2011, it is the first AKB48 sister group outside Japan and adopts the concept of "idols you can meet", before switching to "idols that will come to meet you" since 8 April 2018. Fans can attend daily performances at the group's theater, which was built as a close replica to the AKB48 Theater in Akihabara.While JKT48 does not restrict membership by nationality, applicants must be residents of Indonesia. As of 13 December 2019, the group has 42 individual team members, with one of them performs in two teams. It also has 28 Class A Academy members – formerly known as trainees – and 13 Class B Academy members.On 16 February 2013, JKT48 released its first studio album Heavy Rotation via Hits Records, a division of MNC subsidiary PT Star Media Nusantara. It performs songs by AKB48 and other sister groups that are translated into Indonesian.

View More On Wikipedia.org
  1. Machache yaliyoonekana Simba ikiibuka na ushindi dakika za jioni dhidi ya JKT Tanzania

    1. Hii ni moja kati ya mechi ngumu msimu huu, JKT wamecheza kwa mbinu na nguvu nyingi dakika zote. 2. Refarii hajafanya kosa kutoa tuta, lile ni tuta, wa kulaumiwa ni mchezaji wa JKT kufanya utoto dakika za mwisho ( inawezekana ni mwanafamilia wa Simba). 3. Joshua mutale apewe mapumziko na...
  2. Shaloom Africa enterprises tunakuletea bungalow lipo Mbweni JKT kwa mil 685

    Maelezo ya Nyumba: Nyumba kubwa sana na ina sehemu ya parking kubwa sana. Nyumba ipo mbweni JKT. Nyumba na eneo la wazi ukubwa wa SQM 2201. Nyumba ina mortgage Mwanga Bank kiasi cha MiL 300 so tunaenda kufanya process zote bank ili uchukue Nyumba na hati zake. Kuiona nyumba no nakupeleka na...
  3. FT: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania | NBC PL | KMC Complex | 24.12.2024

    Simba Sports wanashuka dimbani kwenye soku ya mkesha wa krisimasi kumenyana na maafande wa JKT katika dimba la KMC Je, Dozi ya goli 5 alizotoa Simba kwa Kagera ataendeleza kwa maafande? Mechi ni Saa 10:15 jioni kupitia Azam Sports 1HD Usikose uhondo huo
  4. Mechi ya kiporo ya Simba dhidi ya JKT Tanzania kuchezwa Disemba 24, KMC Complex

    Mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya JKT Tanzania ambao awali ulihairishwa baada ya mpinzani wetu kupata ajali sasa umepangwa kuchezwa Disemba 24, 2024 saa 10:00 jioni katika Uwanja wa KMC Complex. Mchezo huu awali haukuchezwa kutokana na JKT Tanzania kupata ajali ya gari na baadhi ya wachezaji wao...
  5. Nyerere na Wanafunzi wa Chuo Kikuu waliopinga kwenda JKT.

    Hotuba hii ilitolewa kama kijitabu TANZANIA ITAJENGWA NA WENYE MOYO. Unaweza kukisoma bure ndani ya app ya Maktaba Sauti. Inapatikana playstore. Oktoba 23, 1966. Wananchi, Jana tumefukuza wanafunzi wapatao 393 kutoka katika vyuo mbali mbali vya Dar es Salaam baada ya maandamano yao ya...
  6. Watanzania sio washangiliaji hata wakiingia Bure wanaenda kukaa tu nakutafuna popcorn ni afadhali tungepeleka jkt, wanafunzi wa shule zote na scout

    Watanzania ni mashololo ,ni mabishoo ni watu wasiopenda shida hawajui hamasa ila wanachojua wao ni kulaumu na Kutukana basi !tungepeleka wanafunzi wa secondary na vikundi vya hamasa vya ccm ,bendi ya TOT na twangapepeta nk
  7. "Baada ya kumaliza chuo 2019 nakusota bila ajira mwaka huu nikaona nitumie cheti cha JKT kuomba ajira ya ulinzi Suma JKT.

    "Baada ya kumaliza chuo 2019 nakusota bila ajira mwaka huu nikaona nitumie cheti cha JKT kuomba ajira ya ulinzi Suma JKT nikalinda sehemu ya kwanza ilikua Golden Tulip ambako security officer alinitaka niingie kila siku kwa mshahara wa laki mbili. Ilikua changamoto kutoka kigamboni paka masaki...
  8. Basi la Klabu ya JKT Tanzania lapata ajali, Wachezaji 12 wapo chini ya Uangalizi

    Kikosi cha timu ya soka ya JKT Tanzania, kimepata ajali baada ya basi lililowabeba kuacha njia na kuanguka mtaroni majira ya saa 1:00 asubuhi leo na kusababisha maumivu kwa baadhi ya wachezaji na wafanyakazi wengine. Basi hilo limepata ajali likiwa linatokea jijini Dodoma kucheza mechi ya NBC...
  9. LGE2024 Morogoro: CHADEMA wafichua uwepo wa vituo vya kuandikisha wapiga kura kwenye kambi ya Jeshi ya JKT

    Wakuu, Baada ya videos kusambaa mtandaoni kwamba kumekuwa na uandikishwaji mkubwa wa wanafunzi underage kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, sasa hivi kumeibuka shutma mpya dhidi ya zoezi hilo. Akiongea leo asubuhi, kada huyu wa CHADEMA amefichua kuwa kuna baadhi ya vituo vya kujiandikisha...
  10. Sishauri kwa kijana ambaye amesoma kwenda kujitolea JKT

    Habar zenu Sababu zangu zinanzo nifanya nikate kwakijana mwenyewe elimu degree au diploma au masters kwenda jeshini yaani kujitolea Kwaza, unaenda kuua career yako mwenyewe uwezi kuwa competent katika taaluma yako ambayo umesomea kwasababu kule elimu inawekwa pembeni nguvu inatumika so that...
  11. Wito wa Kujiunga na Mafunzo ya JKT kwa Kujitolea Mwaka 2024. Kazi kwenu!

    Wazee niaje Jkt yazindua goma jipya 2024, mchakato wa maombi kuanza mosi 2024, oktoba. Mshindwe ninyi tu!
  12. Jeshi la kujenga taifa JKT litutumie Vijana kwa maslahi ya jamii zetu

    Siku hizi kumekuwa na wimbi kubwa sana la vijana wanaopenda kujiunga na jeshi la kujenga taifa hasa wale wa mujibu wa sheria huwa wanajaa mno. Ijapo kuwa jeshi hili halitoi ajira, lakini vijana wengi huwa wanapenda kuomba nafasi za kujitolea ili mradi tu watimize ndoto zao na wengine huamini...
  13. U

    Nayaona mafanikio ya Taifastars siku wachezaji wote wa JKT Tanzania watakapochaguliwa kuitumikia!

    ... 👂 𝗠𝗠𝗘𝗦𝗜𝗞𝗜𝗔 𝗛𝗨𝗞𝗢 ?😀 "Nayaona mafanikio ya Taifastars siku wachezaji wote wa JKT Tanzania watakapochaguliwa kuitumikia. Rejea ushauri wa Rais wa awamu ya tano" ©️ Masau Bwire. Afisa habari wa klabu ya JKT. Tom Cruz
  14. E

    House4Sale Nyumba zinauzwa maeneo mbalimbali

    Nyumba inauzwa kibaha maili moja loliondo Ina Vyumba 2 kimoja master Jiko,public toilet, sebule Umeme upo,eneo lina 20 kwa 20 Umiliki Mkataba wa Mauziano ya serikali za Mtaa Nimailimoja loliondo pikipiki sh. 2000 Bei mln 19 maongezi yapo kidogo 0675 065906
  15. CEO wa JKT, Jemedari Said ataweza kuikosoa timu hiyo redioni Crown FM?

    Nauliza tu huyu jamaa ambaye huku ni mchambuzi wa mpira Crown FM huku ni CEO wa JKT Tanzania ataweza kutofautisha vipi haya mawili? Asije kuongea kwa hisia akajikuta amefungiwa muda mrefu TFF
  16. Hivi kuna ulazima kwa waamuzi wa kike kuchezesha mechi za Ligi Kuu ya wanaume nchini, huku na wenyewe wakiwa na Ligi yao?

    Nimeona niulize hili swali kwa sababu muda huu naangalia mubashara mechi ya mtoano kati ya Tabora United vs JKT. Kilicho nihuzunisha ni maamuzi ya kibabaishaji ya hawa waamuzi wote watatu wa kike wanaochezesha huu mchezo. Imagine JkT inaongoza kwa ushindi wa magoli mawili ugenini; na yote ni ya...
  17. Hadi Sasa play off JKT ana goli mbili za clear offside mpira unaumiza sana

    Hii mechi wamepewa kina dada pekee na mwanaume mmoja Tabora ni wananyongwa hadharani na line two Napenda JKT washinde ila sio kwa namna hii
  18. TFF kama mnampenda Sana Tatu Malogo mtafutieni kazi nyingine

    Hiki anachokifanya hapa Tabora kimesababisha nitoke nje kabisa ya uwanja. Siwezi kuendelea kuangalia Mechi inayochezwshwa kama Chandimu. Goli la Kwanza la JKT limetokana na double offside, lakini halitoshi build up imeanzia na foul dhidi ya mchezaji wa Tabora United na refa yuko Mita 4 toka...
  19. FT: Simba 2-0 JKT Tanzania | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 28/05/2024

    Leo majira ya saa 10:00 jioni katika uwanja wa Mkapa, timu ya Simba itakuwa dimbani kuwakaribisha JKT Tanzania kwenye mchezo wa kufungia msimu. Mechi hii inategemewa kuwa na ushindani mkali sana kwa sababu ya uhitaji wa timu zote mbili. Nani kuibuka mshindi leo? --- Kikosi cha Simba...
  20. M

    Mabinti wa Kiislamu kuvaa bukta katika mafunzo JKT ni kwenda kinyume na Katiba

    Dhana ya Haki na Uhuru wa Kuabudu JE NI HAKI KWA WATENDAJI WA SERIKALI KULAZIMISHA RAIA AU WATUMISHI WA UMMA KUISHI BILA DINI AU KUZUIA UHURU NA HAKI YA KUABUDU WAKIWA KTK OFISI ZA UMMA? Kwa ufupi Serikali haina haki ya kuzuia haki na uhuru wa watu kuabudu na kuwang'anya haki yao ya kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…