Kuna Wimbi la vijana Wanaenda JKT,baada ya kumaliza Elimu za Msingi na Sekondari,Wanakaa jeshini wakijitolea miaka miwili, wanatoka bila ujuzi wowote mwingine zaidi ya Kutumia singe kujilinda na kupambana na Adui.
Wengi wanajiunga JKT Ili wapate cheti,Ikitokea kazi kwenye vyombo vya ulinzi na...