Kuna tabia flani mwanao akiwa nazo unayepata shida ni wewe mzazi
1. Mtoto kulilia kitu cha mgeni au chakula ulichowatengea wageni,
2. Akiwa anacheza na wenzake akiguswa tu kidogo kilio na machozi,
3. Kususa kitu kisa kimekatwa au kimepunguzwa mbele ya macho yake,
4. Mchana ukimwambia alale...