jitahidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Ukiwa Kiongozi wa umma, jitahidi usiongee PUMBA mwezi mzima

    Kuna kiongozi / viongozi sasa ni zaidi ya miezi anaongea/ wanaongea pumba! Hakuna any meaningful takehome message from his mouth!
  2. G

    Mwanaume jitahidi uoe mwanamke uliyemzidi kipato zaidi ya mara mbili na kuendelea pia akili usiweke pembeni

    Ni ushauri wa Bure Kwa mwanaume anayetaka kubaki kwenye nafasi yake ya uanaume. Ambao mmeamua kuleft siwashangai Wala kuwadharau uanaume ni kazi ngumu sana Huwezi kuambiwa jikaze kimwanamke , jikaze kiume ndo NENO liko Hadi kwenye maandiko
  3. Mwanamke jitahidi uyajue mafuta ya Miski haswa kwa wenye maumbile ya kike makubwa.

    Ukiwa kama mwanamke jitahidi uwe na mafuta ya miski halisi itakusaidia kufanya uke ubane, inarudisha joto asilia na inaondoa harufu mbaya ya uke. Uke unakuwa mdogo mnato kama wa mtoto.
  4. Ukijuana na anayekuzidi uwezo, jitahidi kuficha njaa zako

    https://m.youtube.com/shorts/9yn5UKUP3yM Hii inakata stimu sana. Umepotezana miaka kibao na jamaa yako, mnakuja kukutana hivi karibuni. Unashindwa kabisa kuficha njaa zako, sms za simu za virungu kibao. Umetambulishwa kwa mtu anayekuzidi uwezo basi chota maarifa. Najua hatuishiwi shida...
  5. Kama umemaliza angalau kidato cha 4 halafu hujui Kiingereza. Jitahidi ujue, hiyo ni aibu

    Wasiojua Kiingereza na wana Elimu ambayo wameipata kwa lugha ya Kiingereza watakuja na utetezi wao kuwa Kiingereza ni utumwa, mara Elimu si lugha, mara utawasikia Wachina mbona wana viwanda, wengine wana Master's na hawajui Kiingereza. Utetezi wa namna hii ni mfu, unapaswa unyang'anywe vyeti...
  6. Baada ya samia kumaliza mda wake, uchumi utakua mgumu kidogo! JItahidi hiki kipindi uwe na uwekezaji wa maaana

    Baada ya samia kumaliza mda wake, CCM itakuja na projects mpya kidogo za kiuchumi lakini hazitaanza mda huo huo, kipindi cha miaka 4 ya kwanza ya raisi atakaechaguliwa mda huo basi serikali itajikita sana katika kulipa madeni, ni tafauti sana na saahv ambapo pesa mtaani ni nyingi sana haswa...
  7. Jitahidi kupima uzito wa kila neno unaloletewa

    Wakuu Mimi Niko salaama, salama sijui ninyi huko, turudi kwenye uzi Siku moja Nguli wa falsafa bwana Socrates, siku moja alitewa habari na shushu, snitch pindi alipokuwa ofisini kwake, Bwana Socrates alimwambia hivi snitch ambaye alikuwa mwanafunzi wake kwamba kabla ya hujanipa hizo habari...
  8. Usiishi kama uko bustanini Edeni, Dunia hii imechafuka jitahidi kuzingatia haya

    Kama dunia ingekuwa imenyooka kama katika ile bustani basi ungekuwa huru kufunguka Kila KITU. Ila ya Sasa ni vurugu tupu angalia sana unavyovisema maana vinakutambulisha. Mambo machache ya kuzingatia... 1: Hakikisha hufunguki 100% kusudi lako na umepanga kufanya nini. Acha watu waone matokeo...
  9. M

    Form 6 leavers mliopata division 2 na 3, mjitahidi kuomba vyuo vingi hasa vya makanisa na private, Vya serikali ni vigumu kuingia.

    Kumbuka Division One ni zaidi ya elfu 60, Division Two karibu elfu 40, na Division Three zipo chache zaidi elfu 10. Hii inaonyesha ushindani mkubwa sana kwenye udahili unaoendelea vyuoni, hasa vile vya serikali (Udsm, Mzumbe, Udom, Must, Dit, Tia, Ifm, Mipango, Mweka, n.k) si kwamba ukiwa na...
  10. Kama huna muonekano mzuri jitahidi uvae na unukie vizuri

    Kuna wengine tunapendeza kwa jitihada ndogo mana muonekano unatubeba, sasa kama wewe huna muonekano, jitahidi uvae vizuri na unukie vizuri. Mtu anaenda jumuia kama anaenda shamba, halafu watu waki “pay attention “ kwetu mnaanza kushangaa. Kama unajua una sura personal na irregular shape, then...
  11. Mrisho Gambo jitahidi hii utakayopata ya kiinua mgongo uitumie vizuri kwakuwa haurudi Bungeni umeumiza sana watu

    Mrisho Gambo kwa jinsi ulivyoumiza watu Sana , nakupa huu ushauri huu usiharibu kiinua Mg on go chako kugombea. I hope you gonna shine with another way Nigga.
  12. Jitahidi uoe mwanamke uliyemzidi kuanzia miaka kumi kama alivyofanya Juma JUX kwa mke wake Prisca

    Jitahidi uoe mwanamke uliyemzidi kuanzia miaka kumi kama alivyofanya Juma JUX kwa mke wake Prisca. Faida ni kuwa utakuwa Comfortable Sana . Na pia utakuwa unawaza kitofauti Sana . Na itakuongezea heshima 35 Yrs Jux 23 Yrs Prisca.
  13. Jitahidi kuficha maumivu yako kwa watu ambao sio sahihi ila pia onesha maumivu yako kwa watu ambao ni sahihi. "Law of power"

    Success can sometimes draw unkind judgments from low-minded people. When you achieve great things, they may claim that you did it through witchcraft (uchawi), or if you face challenges, they could say you are cursed (umerogwa). According to the 48 Laws of Power, achieving great things...
  14. Mwanaume jitahidi kwenye maisha yako ya mahusiano/ndoa uwe na mwanamke kama "Zuchu"

    Mwanaume jitahidi kwenye maisha yako ya mahusiano/ndoa uwe na mwanamke kama "Zuchu"
  15. R

    Salamu ya masikini ilishatafsiriwa ni kuomba msaada, jitahidi sana kwenye haya maisha upigane na umasikini watu wasikukwepe

    Hata kabla hujafungua kinywa au hata kabla simu yako uliyopiga haijapokelewa, tayari unaonekana unataka kutaja shida usizoweza kuzitatua sababu ya kukosa pesa hivyo unataka kuomba msaada, Ukiona watu wanapita kama vile hawajakuona, wanajifanya kuwa bize kuongea na simu, n.k. hesabia...
  16. Kijana jitahidi ujifunze angalau lugha mbili za kimataifa

    Najua sisi wabongo ni wazito mno kujifunza lugha za watu zaidi ya kiswahili na kiingereza ila niwahimize vijana kujitahidi kujua kiingereza na lugha nyingine moja ya kimataifa. Kwa mfanyabiashara/mjasiriamali makini lazima atajua umuhimu wa hiki ninachokisema. Kwa Mtanzania jitahidi ujue...
  17. Ukifikisha miaka 35 jitahidi uanze kuwekeza katika biashara ambazo zina risk ndogo.

    Wakuu habari . Ukifikisha miaka 35 jitahidi uwekeze ktk biashara ambayo Ina risk ndogo . Mfano ,anza kufikiria kuhusu real estate business, Kama kuwa na Lodge za kupangisha ,mashamba na mifugo. Pia anza kufikiria kuhusu Passive income na kuwekeza katika teknolojia zaidi . Maana at the age...
  18. Ushauri: Jitahidi kutembelea ndugu/jamaa na marafiki wenye uwezo wa Duni na wachini kabisa(masikini)

    Wana jamvi ni kwema? huku leo kuna baridi sana na kwa sababu hii kilimo cha watoto hakina mbadala. Leo hii watu tumekuwa wabaguzi sana tofauti na kipindi cha nyuma utu ulikuwa sehemu ya maisha ya kila binadamu. Na kwa sababu hatuna utu basi kuna msemo usemao ndenge wanao fanana huruka...
  19. Je, wajua kuna alama zinazomaanisha maagano na viapo? Jitahidi sana kuzilinda ili maadui zako wasizipate

    JE WAJUA KUNA ALAMA ZENYE MAAGANO NA VIAPO? JITAHIDI SANA KUZILINDA MAADUI ZAKO WASIZIPATE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Alama! Watu wengi hawana ufahamu Mkubwa kuhusu Elimu ya ALAMA. Alama zipo nyingi Sana na zina matumizi Mengi Sana. Alama ni kitu au Jambo linalobeba au kurejelea...
  20. Haya ni baadhi ya matendo ya kimaskini yanachochea umaskini. Jitahidi uyaepuke

    Ishara kubwa au alama kubwa ya umaskini ndani ya mtu ni hali ya maisha yake. Daily routine ya mtu inatoa jibu kuwa huyu mtu ni maskini , tajiri au mtu wa kipato cha kati. Matendo ya kimaskini ni pamoja na ; 1. Kuomba punguzo kila bidhaa anayonunua. Akiambbiwa suruali hii inauzwa sh. 25000...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…