jinsi

Hu Jinsi (胡進思) (died April 28, 948) was a general of the Chinese Five Dynasties and Ten Kingdoms Period state Wuyue, becoming powerful during the reign of its third king Qian Hongzuo (King Zhongxian). After Qian Hongzuo's death, Hu had frequent conflicts with Qian Hongzuo's brother and successor Qian Hongzong (King Zhongxun). Fearing that Qian Hongzong would kill him, he deposed Qian Hongzong in a coup and replaced him with his brother Qian Hongchu (King Zhongyi, later known as Qian Chu).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nafikiria kuleta kozi hapa jinsi ya ku-apply na kutoboa Upwork. Lakini naomba tusemezane kwanza...

    Habari wanaJF, Ni mimi tena (It's me again). katika pita pita zangu, nimeangukia kozi moja makini ambayo naweza kuileta kwenu kwa ajili ya kusaidia wanaotaka kufanya kazi Upwork. Nina account huko, na nimefanikiwa pakubwa. Kozi screenshot yake hii hapa: Niliipata kwa mKenya fulani hivi...
  2. JamiiForums Tanzania Kitabu cha Jinsi ya Kufanya Biashara kwenye internet ( Mtandaoni)

    Fursa muhimu sasa katika kufanya biashara ni kwa kwa kutumia mtandao wa internet.. Dunia inakadiriwa kuwa zaidi ya watu bilioni moja hununua kwenye internet. Hapa Tanzania kulinga na tovuti ya Statista hadi kufikia January 2024, karibu asilimia 18.9 ya watanzania walifanya manunuzi na kulipa...
  3. JamiiForums Tanzania Jerry Silaa anatuonesha jinsi mfumo wa utoaji haki ulivyooza...

    Kila maamuzi anayotoa Waziri wa Ardhi na Makazi na maendeleo ya Nyumba, Jerry Silaa ujumbe anaoutoa ni kwamba mifumo ya utoaji haki kwenye Taifa letu imeoza. Mabaraza ya Ardhi mpaka mahakama zetu zinatoa maamuzi yake kuhusu migogoro ya Ardhi kwa kuegemea zaidi mambo ya kiufundi (technicalities)...
  4. JamiiForums Tanzania Ukweli na Ustadi: Jinsi ya kupata faida katika Michezo ya betting kwa uhakika

    Maana ya Betting Betting, au kamari, ni kitendo cha kuweka dau au kubashiri matokeo ya tukio fulani, mara nyingi matokeo ya michezo, kwa matumaini ya kushinda fedha au tuzo nyingine. Betting inahusisha hatari ya kupoteza dau lako la awali lakini pia inatoa fursa ya kushinda zaidi. Aina...
  5. JamiiForums Tanzania JINSI YA KUSAHIHISHA KIFAA CHAKO IOS 18 Dev Beta

    Jinsi ya kusahihisha kifaa chako kwenda IOS 18 dev beta. Tahadhari toleo hili ni majaribio linawez lisifanye kazi kwa ufanisi
  6. T

    JamiiForums Tanzania SoC04 Jinsi Wizara ya Afya inavyo weza kushirikiana na Hospitali Binafsi na Wadau wa Afya kuleta ufanisi katika suala la Bima ya Afya

    Ni mara kadhaa sasa kipindi cha hivi karibuni kumeshuhudiwa sinto fahamu katika mfumo wa bima ya afya swala lililopelekea huduma kusuasua na kuleta sinto fahamu.Ifuatayo chini ni moja ya mfano dhahiri wa kuonesha kwamba kuna changamoto katika kuandaa mikakati ya kuboresha mfumo wa bima ya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi Hezbollah inavyoitembezea kichapo Israel kimyakimya

    Siongei sana. Sina maneno mengi! Video yenyewe iliyosheheni operation za Hezbollah inajisemea. Tazama! https://m.youtube.com/watch?v=JpONxjW0X9Q
  8. JamiiForums Tanzania Mizaha tunayofanya kwenye mambo ya maana inaonesha jinsi watanzania tusivyojiheshimu!!

    Wakati mwingine mtu unatamani kusema sisi watanzania ni majuha lakini unaheshimu uumbaji wa Mungu wetu. Jinsi mambo ya hovyo yanayofanywa na baadhi ya watu tuliowapa madaraka yanavyotia kinyaa, mtu unatamani kusonya lakini ukweli ulio mbele yetu unakutia aibu. Wakati mwingine unaposikia mtu...
  9. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kujenga Utajiri wa Mwendokasi

    Rafiki yangu mpendwa, Utajiri ni kitu kizuri sana kwenye maisha. Hiyo ni kwa sababu utajiri unatuweka huru, kwa kutuwezesha kuyaishi maisha yetu vile tunavyotaka. Kitu kimoja ambacho watu wengi huwa hawakijui ni kwamba kila mtu anaweza kuwa tajiri. Ndiyo, namaanisha kila mtu kabisa, ikiwepo...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufanikiwa kiuchumi, Kijamii, kisiasa, kiroho, kirahisi kabisa

    Salaam, Shalom!! Salamu hapo juu itoshe kukujulisha kuwa walengwa wa HOJA hapo juu ni Wana wa Mungu, ni wale ambao wanahangaika,wanafanya KAZI Kwa bidii, wanajitenga na UOVU, walipao ZAKA nk nk, lakini Bado malengo Yao hayafanikiwi Kwa hatua za kuridhisha. Neno la Mungu lasema katika ( Yakobo...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada wa mwongozo wa jinsi ya kufika Visiwa vya Comoro tokea Dar Es Salaam

    Habari Wana jukwaaa? Mimi ni mkazi wa dar es salaam Mwishoni mwa mwezi June ni matarajio yangu kufika visiwa vya COMORO nimeleta Uzi huu ili kusaidiwa kupata mwongozo jinsi ya kufika visiwa hivyo Yani nauli vigezo na masharti mpka kuingia visiwa hivyo kutokea hapa DAR ES SALAAM Ahsanteni...!!
  12. JamiiForums Tanzania Video: Sikiliza jinsi Shirika la Afya la Dunia (WHO) linavyojipanga kukabili population Afrika

    Salam wana jukwaa. Kwenye video ni Dr. Wahome kutoka Kenya mbele ya Mhe. Museven, Rais wa Uganda akimwelezea jinsi WHO inavyojipanga kupitisha sheria au protocol ambayo itaipa nguvu katika kufanya maamuzi kuhusu masuala mbalimbali ya afya. Swali la kujiuliza ni je, wataalam wetu wamejipanga vipi...
  13. JamiiForums Tanzania Jinsi Marekani inavyoshirikiana na Israel kufanya unyama Palestina, wasiingie nchi yoyote duniani kuamrisha ujinga ujinga wao

    Silaha zinazotumika kuua Gaza tangu mwanzo mpaka mwisho karibu zote zimetengenezwa Marekani na hata kuingia Rafah white house imetetea kuwa hakuna kibaya kilichofanyika . Ubaya wa uvamivi wa Gaza na uporaji wa ardhi unaofanywa maeneo mengine ya Palestina tena kupingana na amri za mahakama na...
  14. JamiiForums Tanzania SoC04 Changamoto ya kuheshimu haki za binadamu na jinsi filamu, muziki, na sanaa zinavyoweza kusaidia kufikia Tanzania bora

    Kuheshimu haki za binadamu ni mojawapo ya changamoto kubwa zinazokabili jamii nyingi duniani, na Tanzania haiko nyuma katika hili. Kwa muda mrefu, kumekuwa na matatizo ya ukiukwaji wa haki za binadamu, kama vile ukandamizaji wa uhuru wa kujieleza, ubaguzi wa kijinsia, na ukosefu wa usawa wa...
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi chama cha upinzani kinavyomsulubu Edgar lungu ambaye aliachia uongozi kwa amani

    Zambia's former President Edgar Lungu has insisted that he is "virtually under house arrest" although police said the monitoring of his movements was "strictly for his own safety". "I cannot move out of my house without being accosted and challenged by police, who drive me back home," Mr Lungu...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Ansbert Ngurumo azungumzia namna ya kuchagua viongozi wabaya

    Moderators naomba clip hii muiache kwa manufaa ya wapiga kura wa chadema na watanzania kwa ujumla. Erythrocyte
  17. JamiiForums Tanzania Chidi benzi anasema ukweli Lakin mbona hasemi jinsi madawa yanavyosababisha vijana kua mashoga kisa uraibu wa unga??

    Chid benzi anadai wasanii wengi michicha miba lakini mbona haelezi ukweli kuhusu uraibu unavowafanya vijana kuwa mapapai
  18. JamiiForums Tanzania muongozo jinsi ya kwenda kuoa Lesotho

    naombeni muongozo wakuu
  19. JamiiForums Tanzania Msaada wa unlock Airtel router (5G smart box)

    Habari wakuu, Wiki chache nyuma nilikuja jukwaani kuomba msaada wa jinsi ku block users amabo wanapata access ya password, Baada ya kuitumia Router ya Airtel kwa kipindi kirefu sasa imeanza kunipa kuchangamoto kadhaa ikiwepo kupungua kwa kasi ya internet nimechoka kuvumilia ikumbukwe nalipia...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara wa Arushaa aeleze jinsi Task Force walivyomnyang'anya kiwanda chake

    ..kuna umuhimu wa kujua Task Force walikuwa wakipewa maelekezo na nani. ..sikilizeni sakata la huyu Mfanyabiashara wa Arusha jinsi alivyonyang'anywa kiwanda chake. https://www.youtube.com/watch?v=js9jyBLemIY
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…