jinsi

Hu Jinsi (胡進思) (died April 28, 948) was a general of the Chinese Five Dynasties and Ten Kingdoms Period state Wuyue, becoming powerful during the reign of its third king Qian Hongzuo (King Zhongxian). After Qian Hongzuo's death, Hu had frequent conflicts with Qian Hongzuo's brother and successor Qian Hongzong (King Zhongxun). Fearing that Qian Hongzong would kill him, he deposed Qian Hongzong in a coup and replaced him with his brother Qian Hongchu (King Zhongyi, later known as Qian Chu).

View More On Wikipedia.org
  1. Kukosekana kwa Open Source ya Symbian: Jinsi Mwelekeo wa Android ulivyoibuka na Kutoa Msaada wa Kizazi Kipya cha Simu za Mkononi

    Symbian OS ilikuwa mfumo wa uendeshaji wa simu za mkononi ulioanzishwa mwishoni mwa miaka ya 1990 na mapema miaka ya 2000, kabla ya Android OS kuingia kwenye soko na ni mojawapo ya mifumo ya kwanza ya uendeshaji kwa simu za mkononi yenye uwezo wa kufanya kazi kama kompyuta ndogo. Iliweza...
  2. Kwanini kuna ugumu mkubwa kufungua kikundi cha maendeleo kisheria

    wadau habari msaada tutani... JOB tupo kama mtu tano tunahitaji kuanzisha kikundi cha maendeleo ila tunataka kukisajili kisheria ili litakapotokea lolote kila mtu awe na haki sasa changamoto inakuja kuna vipengele vingi sana tukienda kwa mwanasheria mf. lazima uwe na physical address + P.O.BOX...
  3. Msaada Wa Jinsi Ya Kuwasha Data kwenye simu ya Sony SOV39

    Msaada tutani wakuu nimsaidie jamaa yangu Sehemu ya data ipo on lakini kwenye screen haionekani kuwa on, hata ukiingia mtandaoni hapafunguki
  4. Je kuna vitu binadamu tumefichwa ila vimefunuliwa kwa wanyama ?, Jinsi asili inavyo tutahasharisha kupitia wanyama kabla hayajatokea mambo ya hatari.

    uwezo wa wanyama kutambua pale majanga ya asili yanapokaribia kutokea ni wakushangaza sana... wengi tumewahi kusikia baadhi ya mambo kama vile tembo maeneo ya ufukweni walivyokimbilia kwenye miinuko muda mfupi kabla ya Tsunami, Jinsi Mbwa wanavyoingiwa hofu na kubweka hovyo muda mfupi kabla ya...
  5. Suleiman Nyambui asema hakufurahishwa jinsi kina Simbu walivyotoswa Airport

    Mwanariadha wa zamani na kocha wa mchezo huo, Suleiman Nyambui amesema hakufurahishwa na kitendo cha Uongozi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) kutojitokeza kuwapokea Wanariadha wa Tanzania walioenda kushiriki katika michezo ya Olimpiki Jijini Parisi, Ufaransa. Imedaiwa Mkuu wa Msafara huo...
  6. Maokoto ya wanamichezo wa nchi mbalimbali wanaoshinda medali za Olympics

    Mashindano ya Olympics yana michezo mingi sana na mingine ni nadra sana kwa mwanamichezo kutengeneza kipato nje ya mashindano yale. Umewahi kujiuliza wanamichezo wanaoshiriki michezo ya Olympics wanafaidikaje ukiacha nafasi ya kushinda medali? Ngoja nikuwekee mkeka wa mifano ya nchi kadhaa...
  7. Jinsi ya kupika mchicha wa mafuta mchanganyiko na dagaa wa kukaanga

    Mambo yasiwe mengi napenda zaidi mchicha wa mafuta wenye mchuzi maana yake nyanya inahusika, naomba kujuzwa formular nataka kutowa kitu na ugali. Mahitaji ni nini na nini na kiwango chake.
  8. Msaada nnataka kusoma online university vya nje nahitaji kujua jinsi ya kutambua vyuo vinavyotambulika

    Habari zenu wataalamu wa IT shida yangu km nilivyoandika hapo kwenye heading msaada please sihitaji cheti Mimi nnataka ujuzi wa IT ethical hacker nna diploma ya ict
  9. Ndugu mlipa Kodi shuhudia jinsi Magari ya Serikali yanavyoendeshwa kwa vurugu huko huko Barabarani

    Video hii inaonesha Msafara wa Magari ya Serikali tena ya Kiongozi Mkuu! yakiendeshwa kwa speed kubwa na bila tahadhari ya alama za Barabarani huko Morogoro.
  10. H

    Jinsi ninavyotumia MS Word + AI kurahisisha kazi

    Siku kadhaa zilizopita nilikuwa na kazi nzito sana ya kufanya translation ya pages zaidi ya 1,000 ndani ya wiki moja, kwa kawaida ilikuwa sio rahisi hivyo niliamua kutengeneza script kwa kutumia VBA, php kwenye upande wa server na kuunganisha API za OpenAI na GeminiAI ili ziweze kunisadia kazi...
  11. Mapinduzi ya 5G Tanzania: Jinsi Teknolojia Hii Inavyobadilisha Mawasiliano, Afya, na Biashara

    5G Technology: Teknolojia ya 5G ni kizazi cha tano cha teknolojia ya mawasiliano ya simu, ikiahidi kuleta mapinduzi makubwa katika mawasiliano ya simu na huduma za data. Kabla ya 5G, teknolojia za 3G na 4G zilikuwa zimeleta maendeleo makubwa, lakini 5G inatoa uwezo wa juu zaidi kwa kasi, uwezo...
  12. Msaada jinsi ya kujiunga na space twitter

    Mjadala wa kesho nataka nisikose
  13. Namshukuru Sana Mungu kwa hii Bar Jirani inayokesha siku Tatu kwa wiki, imenikuza Sana Kiroho.

    Mwalimu Yesu aliwahi kusema, Wana wa giza wanamaarifa katika Mambo Yao. Na sisi watu wa rohoni tusiwe wajinga kwenye Mambo ya rohoni. Hawa jamaa wao huwa wanaanza Kula stare he na kukesha siku Tatu mfululizo. Ijumaa, Jumamosi na Jumapili. Huwa nawafuatilia wako siriasi Sana na ratiba ya...
  14. Jinsi Hofu inavyoweza kukwamisha mafanikio ya mtu.

    Hofu inaweza kukufanya ukaona Jambo ni kubwa kama watu wanavyolizungumzia Kumbe hata hawalijui vizuri. Mimi tangu nakua nimekutana na watu wanaojua kumtia mtu hofu ikiwamo hata wazazi wenyewe. Nakumbuka kipindi hicho nilifeli Mtihani wa Form two nikapaswa kurudia shule ile ile lakini watu...
  15. P

    Ni jinsi gani naweza kujibu maswali ya Oral interview za utumishi.?

    Habari za weekend wakuu. Swali langu ni kama heading isemavyo. Na Mimi natamani nipate ajira niachane na huu ujobless, maisha magumu umri unaenda, wachumba hawanitaki kisa dough. mfano wa maswali. 1. What do you understand by the term security as applied in Information Technology (IT)? 2...
  16. Jinsi ya kutambua ibada ya kweli isiyo ya kweli

    Katika ibada ya uaguzi nabii anakazana kukuambia nani kakuroga, ila katika ibada ya kweli mtumishi anakazana kukwambia nani kakuokoa.
  17. Barack Obama: Jinsi ya Kutojisikia Kukata Tamaa - Simama, Chukua Hatua, na Lete Matumaini!

    Barack Obama aliwahi kusema hivi: "The best way to not feel hopeless is to get up and do something. Don't wait for good things to happen to you. If you go out and make some good things happen, you will fill the world with hope, you will fill yourself with hope." Tafsiri hisiyo rasmi ni kuwa...
  18. Jinsi ya kupakuwa move free on laptop...

    Nishirikishe kwa kunielekeza site ipi na weza pata latest move for free... Kama ni Utorent basi nipatie Link ni goes on of it... Natanguliza shkran za Dhati.
  19. Jinsi ya kuongeza umakini (mawazo) katika mipango ya maisha

    Wasalaam ndugu zangu waswahili, Leo nina hoja nzito saana upande wangu naomba tupeane ushauri mzuri tafwadhali... uki comment kebehi utalaaniwa immediately. Ni hivi kwanza nini siri ya kufanikiwa katika maisha?? Binafsi nilikua na ndoto kubwa saana kiasi kilinisukuma kuset appointment ikulu...
  20. F

    Naomba mbinu ya kumuacha mwanamke aliyekuganda

    Wakuu poleni na majukumu. Naombeni mbinu ya kuachana na huyu demu aisee ameniganda sana yaan Mimi Nina miaka 24 yeye ana 28 huyu demu nimekutana naye kwenye harakati hapa mbezi mwisho tulikuwa tunaongea fresh tu kirafiki simu yake ilipata tatizo nikamtengenezea hapo ndipo alipopata namba yangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…