jinsi

Hu Jinsi (胡進思) (died April 28, 948) was a general of the Chinese Five Dynasties and Ten Kingdoms Period state Wuyue, becoming powerful during the reign of its third king Qian Hongzuo (King Zhongxian). After Qian Hongzuo's death, Hu had frequent conflicts with Qian Hongzuo's brother and successor Qian Hongzong (King Zhongxun). Fearing that Qian Hongzong would kill him, he deposed Qian Hongzong in a coup and replaced him with his brother Qian Hongchu (King Zhongyi, later known as Qian Chu).

View More On Wikipedia.org
  1. Jinsi ya Kuongea na Ndugu Yako Aliyekufa

    Ndugu yako aliyekufa, anatamani kuongea na wewe, lakini wewe hufahamu njia ya kukuwezesha kuongea naye. Inawezekana mambo yamekuwa magumu na unaamini unahitaji ushauri wake, inawezekana umemkumbuka tu na ungependa uzungumze naye, na inawezekana alifariki mkiwa katika ugomvi sasa unataka mmalize...
  2. I

    Je, Laptop Inaweza Kutumiwa Hata Ikiwa Imezimwa? Fahamu Ukweli wa Kushtua Kuhusu Intel AMT na Jinsi ya Kujilinda

    Je, Laptop Inaweza Kutumiwa Hata Ikiwa Imezimwa? Fahamu Ukweli wa Kushtua Kuhusu Intel AMT na Jinsi ya Kujilinda Jibu rahisi ni ndyo ?? Sounds like sci-fi? It’s not. It’s real, it’s dangerous, and it’s probably inside your laptop right now. 👇 Na It's MALEKOGJ Katika ulimwengu wa kisasa wa...
  3. Nielekezeni jinsi ya kununua ma-Game kwenye PS 4

    Kama nilivyosema hapo juu, nchi yetu haina access za kununua game kwenye account za PlayStation. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikitafuta suluhisho la kununua hayo magame. Nasikia ukiwa Tanzania sio rahisi kununua mpaka ufuate utaratibu maalum, ambapo ni kufungua account na kupata redeem code –...
  4. B

    Jinsi ya kupona ww3(vita vya nyukilia) vinavyokuja siju chache..

    Habari za jumapili, Leo sijaenda kazini nimepumzika,katika kupitia pitia mtandaoni nimeona mambo ambayo siku si nyingi yatajiri,kwanza ni vita vikubwa vya dunia ambavyo vitakuwa vya nyukilia,kama wewe ni mpenzi wa kutazama movies au series kuna movies nyingi sana zimetoka kwanzia 2019-2025...
  5. Angalia jinsi CCM wanavyochezea hela zetu hapa lazima deni la taifa lifike trilion 107

    GT Jioneeni wenyewe, msisahau.na matamasha kule mwanza na simiyu pesa inachezewa kama haina mwenyewe.
  6. Ujinga wa Kura: Jinsi Mfumo Unavyowalaghai Wananchi kwa Lugha Tamu za Kisiasa

    Katika jamii nyingi za Kiafrika, hususan katika mataifa yanayoendelea, mwananchi wa kawaida amewekwa kwenye mzunguko wa ujinga wa kimfumo, ujinga ambao hauhusiani na kutokujua kusoma na kuandika, bali ni ujinga uliopandikizwa kwa makusudi na mfumo wa kisiasa unaonufaika na kutojitambua kwa...
  7. Jifunze jinsi ya kutengeneza mbolea na virutubisho vya mimea kwa bustani yako ( booster na grower)

    Kama unashughulika na kilimo na unapata changamoto ya gharama za kunuanua virutubisho vya mimie shambani kwako huu hapa muongozo. Hapa kuna mwongozo wa kutengeneza Super Glow na Booster za mimea nyumbani kwa kutumia viambato vya asili au vya bei nafuu vilivyopo sokoni. Hii ni nzuri...
  8. Jinsi USA na UK walivyoshirikiana Kuondoa Demokrasia Iran

    Mnamo mwaka 1953, serikali za Amerika na Uingereza zilipanga mapinduzi nchini Iran, na kumpindua Waziri Mkuu aliyechaguliwa kidemokrasia Mohammad Mossadegh. Hatua hii, inayojulikana kama Operesheni Ajax, ilichochewa na mambo mawili:- Wasiwasi juu ya utaifishaji wa sekta ya mafuta, ambayo hapo...
  9. Jinsi B-2 Spirit (Stealth Bomber) kitaalamu inavyoweza ipasua Fordow ya Iran

    Kwa uwezo wa kijeshi na teknolojia ya kisasa, ndege ya kivita ya Marekani aina ya B-2 Spirit (stealth bomber) inaweza kuharibu kituo cha nyuklia cha Iran cha Fordow (au Fordo Fuel Enrichment Plant – FFEP) KIUWEZO, lakini utekelezaji wake ungehitaji maandalizi ya hali ya juu na ungeambatana na...
  10. Jinsi ya kutoa ushauri wa kifedha bila kumfadhaisha mtu

    Imeandaliwa na Smart Finance SW Nimekuwa nikifuatilia ushauri wa watu mbali mbali kwenye hii platform na platform zengine huko zinazohusiana na mswala ya fedha. Nilichogundua watu wengi au washauri wengi wanapenda sana kutumia nyakati zilizopita wanapotoa ushauri au kuelezea juu ya fursa...
  11. Jinsi Nilivyogundua Njia Rahisi ya Kuongeza Followers na Traffic kwenye mitandao ya kijamii

    Ndugu zangu wa Jamii Forums, Nimekuwa nikisoma mengi humu, na leo nimeona ni vizuri nami nichangie kitu ambacho kimenisaidia sana — na naamini pia kinaweza kuwasaidia mkiamua kuchukua hatua. Nilikuwa napambana kupata followers Instagram, Twitter, YouTube subscribers, lakini ilikuwa ngumu —...
  12. A

    DOKEZO Serikali inavyoibiwa Kodi kwenye Vilemu vya Uchimbaji Madini (hasa Malera, Nyamongo) Ofisi ya Madini ikihusika moja kwa moja!

    Kumekuwa na utaratibu wa kikodi wa kiholela sana unaocha mianya ya rushwa ya wazi kabisa kwa Ofisi ya Madini hasa kwa eneo nililolitaja, nadhani utaratibu huu unatumika kote nchini, hapa wilaya ya Tarime, Mkoa wa Mara. Mwishoni nitatoa pendekezo langu juu ya nini kifanyike namna nzuri ya...
  13. Jinsi operation "rising lion" ilivyogeuka kuwa operation "sleeping lion". Nini tunajifunza kuhusu jambo hilo?

    Niaje waungwana Kinachotokea sasa hivi huko Tel Aviv kwa muuaji Shetaninyau kinanikumbusha ule msemo wa Mike Tyson aliosema kuwa "EVERYONE HAS A PLAN UNTIL THEY GET PUNCHED IN THE FACE" Kama mwanzisha rising lion angejua kichapo kitachompata yeye mwenyewe kutokana na operation yake, sidhani...
  14. Jinsi hali ya kiwanja inavyoathiri bajeti ya ujenzi

    Hi ------ Posti hii inaeleza jinsi hali ya kiwanja inavyoathiri bajeti ya ujenzi. Mambo muhimu yaliyoangaziwa ni: 1. Aina ya ardhi: - Tambarare: Gharama hupungua. - Mteremko/milima: Gharama huongezeka. 2. Aina ya udongo: - Laini: Huhitaji msingi wa kina → gharama huongezeka. -...
  15. Special Thread: Uzi Maalumu kwa Ajili ya Kujifunza Jinsi Ya Kuandika Prompt mbalimbali kuziweka kwenye Akili Mnemba

    Kabla ya Yote Thread Hii inahusu Prompt zote, Maandishi Ramani,vitabu,tafsiri , barua,uandishi, Utengenezaji wa Kila Kitu haijajikita Kwenye picha Peke yake.., Kwahiyo nawaomba Mod Wasiunganishe na Uzi wowote.. Nimeona Wengi tukisumbuka Kutengeneza Prompt mbalimbali Kwa Ajili ya Matumizi ya...
  16. M

    Jinsi Iran ilivyoiingiza mkenge Israel ikadhani kuwa imemaliza ulinzi wa anga wa Iran

    Jana Israel ilijidanganya kuwa imepiga na kumaliza ulinzi wa anga wa Iran na kwa hivyo inaweza kufanya lolote. Kumbe hilo lilikuwa uongo, ni mchezo ambao Iran iliucheza ili kuiingiza mkenge kwa kujifanya ulinzi wake wa anga umekwisha. Kilichofanyika kumbe Iran ina decoys (midoli) ya air...
  17. K

    Jinsi Iran ilivyoshusha mvua ya mabomu Tel Aviv na miji jirani kujibu mashambulizi ya Israel ndani ya Iran!!

    Iran hajachukua muda mrefu, amejibu mapigo, tusubirie vita kamili kati ya Iran na Israthuku USA akiichagiza Saudia na vibaraka wake wamtulize Iran, safari hii USA atafeli kutumia vibaraka na itambidi aingie front mwenyewe, Houthi na wao nawaona punde wakiungana na Iran kushusha makombora kwa...
  18. K

    Jinsi Wasomi Wanavyochangia Tanzania Isiyo ya Kidemokrasia BY Chat GPT

    Jinsi Wasomi Wanavyochangia Tanzania Isiyo ya Kidemokrasia Katika jamii nyingi, wasomi hutegemewa kuwa mstari wa mbele katika kuendeleza demokrasia, haki za binadamu, na uwajibikaji wa serikali. Hata hivyo, hali ya mambo nchini Tanzania inaonyesha kuwa sehemu ya wasomi wanachangia kudidimiza...
  19. Angalia jinsi Chauma "walivyosepa na kijiji" Tabora, umati ni maelfu kwa malaki, wasipuuzwe, wanakamata nafasi chama kikuu cha upinzani

    Inawezekana ni kweli kwamba chama hiki kina ma injinia wa siasa. Chama hiki kina ma-genius wa siasa. Wanajua wafanye nini saa ngapi, na wapi. Ni muda mfupi tu, lakini angalia walivyoifunika Tabora! Hawa jamaa wakiendelea hivi, kufikia October itakuwa habari nyingine! Kufikia 2027 watakuwa...
  20. Muhusika wa series ya Mr robot ndio kacheza sinema ya The mature.Ila zinaonesha kuhusu serekali na ubabe na jinsi ya kushindana nazo

    Kwa wale waliofatilia MR robot Mtakuwa sio wageni kuhusu mambo ya utawala na ushenzi wa dunia ulivyo kwa watawala. Sasa amekuja na sinema ambayo kumbe serikali kuna ponjoro wengi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…