jinsi ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumtambua ng'ombe wako kama yupo joto

    Habari wafugaji, Leo tutajifunza juu ya kumjua ng'ombe wako Kama yupo kwenye joto (estrus), dalili za joto kwa ng’ombe: 1. Kukubali kupandwa (standing heat): - Dalili kuu! Ng’ombe husimama kimya anapopandwa na wenzake au dume. 2. Kutoka ute mwepesi (clear mucus) sehemu za siri - Mara...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumtambua nguruwe wako kama yupo joto

    Habari za muda huu natumaini wote ni wazima,Leo nitaenda kutoa elimu ya kujua Kama nguruwe wako yupo kwenye joto. 👉Note. Nguruwe ambaye yupo kwenye joto hukaa ndani ya masaa 72 (siku tatu) ✅Njia za kumtambua nguruwe aliye joto: 1. Test ya "standing reflex": - Mweke mikono yako juu ya...
  3. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuongea na Ndugu Yako Aliyekufa

    Ndugu yako aliyekufa, anatamani kuongea na wewe, lakini wewe hufahamu njia ya kukuwezesha kuongea naye. Inawezekana mambo yamekuwa magumu na unaamini unahitaji ushauri wake, inawezekana umemkumbuka tu na ungependa uzungumze naye, na inawezekana alifariki mkiwa katika ugomvi sasa unataka mmalize...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Je, Laptop Inaweza Kutumiwa Hata Ikiwa Imezimwa? Fahamu Ukweli wa Kushtua Kuhusu Intel AMT na Jinsi ya Kujilinda

    Je, Laptop Inaweza Kutumiwa Hata Ikiwa Imezimwa? Fahamu Ukweli wa Kushtua Kuhusu Intel AMT na Jinsi ya Kujilinda Jibu rahisi ni ndyo ?? Sounds like sci-fi? It’s not. It’s real, it’s dangerous, and it’s probably inside your laptop right now. 👇 Na It's MALEKOGJ Katika ulimwengu wa kisasa wa...
  5. JamiiForums Tanzania Nielekezeni jinsi ya kununua ma-Game kwenye PS 4

    Kama nilivyosema hapo juu, nchi yetu haina access za kununua game kwenye account za PlayStation. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikitafuta suluhisho la kununua hayo magame. Nasikia ukiwa Tanzania sio rahisi kununua mpaka ufuate utaratibu maalum, ambapo ni kufungua account na kupata redeem code –...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupona ww3(vita vya nyukilia) vinavyokuja siju chache..

    Habari za jumapili, Leo sijaenda kazini nimepumzika,katika kupitia pitia mtandaoni nimeona mambo ambayo siku si nyingi yatajiri,kwanza ni vita vikubwa vya dunia ambavyo vitakuwa vya nyukilia,kama wewe ni mpenzi wa kutazama movies au series kuna movies nyingi sana zimetoka kwanzia 2019-2025...
  7. JamiiForums Tanzania Jifunze jinsi ya kutengeneza mbolea na virutubisho vya mimea kwa bustani yako ( booster na grower)

    Kama unashughulika na kilimo na unapata changamoto ya gharama za kunuanua virutubisho vya mimie shambani kwako huu hapa muongozo. Hapa kuna mwongozo wa kutengeneza Super Glow na Booster za mimea nyumbani kwa kutumia viambato vya asili au vya bei nafuu vilivyopo sokoni. Hii ni nzuri...
  8. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutoa ushauri wa kifedha bila kumfadhaisha mtu

    Imeandaliwa na Smart Finance SW Nimekuwa nikifuatilia ushauri wa watu mbali mbali kwenye hii platform na platform zengine huko zinazohusiana na mswala ya fedha. Nilichogundua watu wengi au washauri wengi wanapenda sana kutumia nyakati zilizopita wanapotoa ushauri au kuelezea juu ya fursa...
  9. JamiiForums Tanzania Special Thread: Uzi Maalumu kwa Ajili ya Kujifunza Jinsi Ya Kuandika Prompt mbalimbali kuziweka kwenye Akili Mnemba

    Kabla ya Yote Thread Hii inahusu Prompt zote, Maandishi Ramani,vitabu,tafsiri , barua,uandishi, Utengenezaji wa Kila Kitu haijajikita Kwenye picha Peke yake.., Kwahiyo nawaomba Mod Wasiunganishe na Uzi wowote.. Nimeona Wengi tukisumbuka Kutengeneza Prompt mbalimbali Kwa Ajili ya Matumizi ya...
  10. JamiiForums Tanzania Muhusika wa series ya Mr robot ndio kacheza sinema ya The mature.Ila zinaonesha kuhusu serekali na ubabe na jinsi ya kushindana nazo

    Kwa wale waliofatilia MR robot Mtakuwa sio wageni kuhusu mambo ya utawala na ushenzi wa dunia ulivyo kwa watawala. Sasa amekuja na sinema ambayo kumbe serikali kuna ponjoro wengi.
  11. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutoa maoni kwa Viongozi wakuu wa nchi bila kuwavunjia heshima

    Katika jamii ya leo ambapo uhuru wa kuongea umekuzwa sana, watu wengi badala ya kutoa maoni, wanajikuta wakitoa matusi kwa wakuu wa nchi au viongozi wa kisiasa. Matokeo yake maoni yao hayapewi kipaumbele kwa sababu ya ukosefu wa lugha ya staha. Hebu leo tujifunze jinsi tunavyoweza kusema ukweli...
  12. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumia teknolojia ku'bold' hoja kwa wananchi wakati wa kampeni

    Wasalam! I declare! PATRIOTISM FORWARD PIA SIASA NI DINI MPYA. Ni wazi sasa technolojia ina nguvu kubwa kwenye maisha yetu, technolojia ina nafasi kubwa kwenye utendaji wa kazi zetu za kila siku. Uvumbuzi na ugunduzi wa mashine mbalimbali za kidijidali na kirobotiki zimerahisisha mambo mengi...
  13. JamiiForums Tanzania Kuku Chotara🐔 Wanaojilisha na Kujigharamia wenyewe💰? Hivi ndo jinsi ya kuwafikisha Hali Hiyo Kwa Siku 84 au Chini

    ❌ Usianze Ufugaji Kabla Hujajua Kuku Wangapi Unafuga na Gharama Zake.Ukipuuzia Itakugharimu 💸Zaidi Kuliko Unavyofikiria Nakumbuka nilivyoanza niliweka lengo la kufuga kuku kwa miezi mitatu yaani siku 84( wiki 1 ni siku 7) ili wakifika umri huo na uzito wa angalau kg 3 niweze kuuza nipate faida...
  14. JamiiForums Tanzania 🧠 JINSI YA KUANDIKA LANDING PAGE INAYOUZA (Step-by-Step)

    Landing page ni sehemu ya kwanza mteja anakutana nayo — kama mlango wa duka lako. Ukiwa boring au usioeleweka, hataingia ndani. Hii hapa ni formula ya kuandika landing page kali, inayo-convert kwa kutumia psychology ya mteja wa kibongo au wa mtandaoni: 1. HEADLINE YENYE KUKAMATA AKILI Hii ndio...
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufungua simu uliyosahau password

    SOMO LA LEO ♌️: JINSI YA KUFUNGUA SIMU ULIYOSAHAU PASSWORD KWA KUTUMIA KOMPYUTA 💻📱 Kama umesahau password yako (Pattern, PIN, Fingerprint) usikimbilie Kariakoo unaweza kuweka sawa mwenyewe kwa kutumia kompyuta 🧰 VIFAA VINAVYOHITAJIKA 1📍Kompyuta yenye internet 2📍USB cable 3📍Simu iliyo-lock...
  16. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuepuka Kutapeliwa Online

    Katika dunia ya kidigitali, kuna fursa nyingi za kufanya biashara, kupata huduma, na hata kujifunza. Lakini pamoja na faida hizi, kuna pia hatari ya kutapeliwa. Matapeli wanazidi kuwa wabunifu na wanatumia njia mbalimbali kama WhatsApp, Instagram, Facebook, na hata websites feki ili kuwaibia...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuset ussd code zifanye kazi

    Habari za muda huu wakuu , Msaada jinsi ya kuset USSD zifanye kazi maana kila nikijaribu kuingia kwenye menu inaonyesha ussd code running alafu baada ya muda inaandika connection failed or mmi invalid
  18. JamiiForums Tanzania JINSI YA KUUZA EBOOKS ONLINE NA KUTENGENEZA MPAKA MILIONI KILA MWEZI

    Katika dunia ya leo ya kidijitali, kuuza ebooks (vitabu vya mtandaoni) imekuwa moja ya njia rahisi na faida kubwa ya kutengeneza pesa — hata ukiwa nyumbani tu. Haijalishi kama wewe ni mwandishi, mjasiriamali, au mtu mwenye maarifa ya kipekee — unaweza kugeuza maarifa yako kuwa chanzo cha mapato...
  19. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufanya matangazo ya facebook na instagram yafanye vizuri (2025 guide)

    Katika ulimwengu wa kidijitali, biashara nyingi Tanzania zinaanza kuelewa nguvu ya matangazo ya Facebook na Instagram. Lakini si matangazo yote yanayoleta matokeo. Ili matangazo yako yafanye kazi — yaweze kuuza, kuingiza leads, au kukuza brand yako — lazima uyatengeneze kwa ustadi. Leo...
  20. JamiiForums Tanzania Aziz Ki na Harmonize jifunzeni kwa Diamond jinsi ya kutunza ndugu zenu. Miaka yote ulimficha mama yako sababu amechakaa

    Kipindi nasoma chuo kuna binti alijifanyaga sista duu.mara paa baba yake mzazi akafariki. Rafiki yake wakaribu akatoa taarifa,tukajikusanya kukodi coaster kwenda msibani Binti mfiwa kidogo adondike,alikuwa akiishi uswazi mwananyamala kisiwani,nyumba imechokaaa. Aziz Ki mjinga sanaalimficha mama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…