jimbo

Jimbo is a diminutive form of the given name James. It is also a Japanese surname, and it means state in Swahili. It may refer to:

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Halmashauri ya jiji la Mbeya jifunzeni kutoka Halmashauri ya jiji la Arusha na Manispaa ya Moshi kukataa jimbo kugawanywa

    Nitamshangaa Rais Samia akikubali kugawa eneo lolote la nchi kiutawala, aendelee na msimamo wa mtangulizi wake JPM, Magufuli aliapa asingegawa eneo lolote na akafa na msimamo wake. Kitu muhimu ni kujenga miundo mbinu imara na ya kisasa. Jifunzeni kutoka madiwani wa jiji la Arusha na wa Manispaa...
  2. PreGE2025 Baraza la Madiwani wagoma kuligawa jimbo la Arusha mjini mara mbili

    Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Arusha wamekataa kuligawa Jimbo la Arusha mjini mara mbili wakidai ukubwa uliopo hivi sasa unakidhi mahitaji ya Wananchi huku wakikubaliana kugawanywa kwa kata nane za Jiji. Madiwani wamekataa kwa pamoja madai ya kuligawa Jimbo la Arusha kwa madai kuwa halina...
  3. J

    Nitatetea tena nafasi yangu ya ubunge jimbo la Nkasi 2025

    πŸ›‘ NITATETEA TENA NAFASI YANGU YA UBUNGE JIMBO LA NKASI 2025 NILISHINDA UBUNGE 2020 LICHA YA CHAMA KUSUSIA UCHAGUZI, KAULIMBIU YA 'NO REFORMS, NO ELECTION' HAINIHUSU - NITATETEA TENA NAFASI YANGU MWAKA (2025) HUU - AIDA KHENAN, MBUNGE WA CHADEMA NKASI KASKAZINI ==== JamiiCheck imefuatilia...
  4. W

    PreGE2025 Waislamu wa Jimbo la Mtwara vijijini wamuombea Shamsia Mtamba kuendelea kwa miaka mitano ijayo

    WAISLAMU WA JIMBO LA MTWARA VIJIJINI WAMUOMBEA DUA MBUNGE SHAMSIA MTAMBA KUENDELEA KWA MIAKA MITANO IJAYO Waislamu wa jimbo la Mtwara Vijijini wameonyesha msaada na upendo mkubwa kwa mbunge wao, Shamsia Aziz Mtamba, huku wakimwombea aendelee kupewa dhamana na wananchi wa jimbo hilo kuwa...
  5. PreGE2025 Mbunge wa Jimbo la Pangawe Wananchi wako wanadai umewatupa

    Wakazi wa Tawi la Mnarani, Jimbo la Pangawe, Mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Dimani, Unguja ni kama hawana tawi licha ya kwamba lipo na Wananchi wanalijua. Nina mzee wangu ambaye yupo hapo analalamika kuwa jengo ambalo wamepanga kodi iliisha tangu Desemba 2024, lakini kinachowasikitisha...
  6. Ushauri wa Wananchi wa Jimbo la Moshi Manispaa kwa Mbunge wao

    Wananchi wa Jimbo la Moshi kwa ujumla wamewasilisha maoni yao kuhusu uongozi wa mbunge aliyepo madarakani. Wameeleza wasiwasi wao na kumshauri asichukue fomu kuomba kugombea tena ubunge kupitia CCM. Sababu za ushauri huu ni nyingi na zinaashiria kutokubalika kwa mbunge huyo katika jamii...
  7. PreGE2025 Mbunge Handeni Mjini: Tunautaka umeme wa Ethiopia, hata Marekani wananunua umeme nje

    Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini (CCM) Kwagilwa Rubeni, amesema kuwa wabunge na wananchi wa ukanda wa kaskazini wanaunga mkono uamuzi wa serikali wa kununua umeme kutoka Ethiopia kupitia Kenya, kwani baadhi ya maeneo ya kanda hiyo hayana vyanzo vya kutosha vya umeme. Akizungumza na wanahabari...
  8. B

    Kundi kubwa liloshindwa kabla ya ushindani limeteleza kwenye Upotoshaji wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa ndani ya Jimbo Moshi mjini....

    Kundi kubwa liloshindwa kabla ya ushindani limeteleza kwenye Upotoshaji wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa ndani ya Jimbo Moshi mjini.... Kundi Hilo limeathirika kwa kushindwa kujinadi nini watafanya na kwanini aliyekupo hajamaliza mnampiga vita na kutusi na kukejeli KAZI za kutekelezwa...
  9. PreGE2025 Jimbo likiwa kubwa kinachohitajika ni kuligawa ili apatikane Mbunge mwingine au kinachohitajika ni kuongeza bajeti ya kulihudumia hilo jimbo?

    Wakuu , naomba kupata ufafanuzi wa kitaalamu . Ikiwa Jimbo ni kubwa je kinachohitajika zaidi nini kati ya haya. Tume ya huru ya uchaguzi -kuligawa jimbo . Au serikali kuelekeza bajeti kubwa ya kulihudumia hilo jimbo? Maana ikiwa tutaligawa Jimbo maana yake tunaenda kuongeza idadi ya wabunge...
  10. Jimbo la arusha mjini na monduli yagawanywe

    Jimbo la Arusha mjini limekuwa na ongezeko kubwa la watu. Itapendeza kama litagawanywa. Hii ni kwa sababu ktk muda mfupi sana uliopita,kumekuwa na kuzaliwa kwa mitaa mipya mingi ambayo inahitaji uwakilishi bungeni. Mfano mzuri ni eneo naarufu la kwa Mrombo ambalo liko busy sana kiuchumi na lina...
  11. PreGE2025 Shinyanga: Madiwani wapitisha pendekezo la Jimbo la Solwa kugawanywa mara mbili

    Wakuu, Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, wamepokea, kujadili na kupitisha pendekezo la kugawa Jimbo la Solwa, kuwa na majimbo mawili ya uchaguzi ambayo ni Solwa na Itwangi. Wamepitisha pendekezo hilo jana, Machi 11, 2025 kwenye Mkutano Maalumu wa Baraza la Madiwani, kwa ajili ya...
  12. Tetesi: Dr Maulidi Kitenge kuwania ubunge Jimbo la KAWE

    1. Mtangazaji nguli na mume wa Mbunge Hanjeh ameonyesha Nia ya kulitwaa Jimbo la KAWE. 2. Kinachosubiriwa kwa sasa ni vikao vya maamuzi vya chama na mafao toka mjengon
  13. PreGE2025 Makalla Jimbo la Kigamboni mmezidi kujipitisha, msipojirekebisha tutawaengua

    Minyukano ya makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), inayoendelea kupigania Jimbo la Kigamboni imeuibua uongozi wa Chama hicho unaodai haufurahishwi na vitendo hivyo huku ukiahidi kuwashughulikia iwapo hawata jirekebisha. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
  14. U

    PreGE2025 Mara: Jimbo la uchaguzi Serengeti kugawanywa kuwa majimbo mawili, Serengeti Mashariki na Serengeti magharibi

    Wajumbe wa kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Mara (RCC) wamepitisha Jimbo la Uchaguzi la Serengeti kugawanywa na kupata majimbo mawili ya uchaguzi ambapo majina ya majimbo yanayopendekezwa ni Serengeti Mashariki na Serengeti Magharibi. Mkuu wa Mkoa wa Mara Evans Mtambi aliongoza kikao...
  15. Jimbo la mhambwe ni aibu kwa mbunge wa jimbo hilo barabara inayounganisha mkoa kutoka kibondo mjini ni chakavu na inatisha.

    Mbunge wa jimbo la mhambwe wilaya ya kibondo mkoa wa kigoma alichofanya nikugawa pikipiki za samia 2025 ameshindwa kutetea jimbo lake akiwa bungeni barabara hazipitiki za wapiga kura hata ameshindwa kuishauli serikali kujenga soko la kisasa kwa ajiri ya wajasiriamali. Utakuwa ni aibu kubwa kama...
  16. Eng Hersi Said analitaka Jimbo la Kinondoni

    Eng Hersi amekuwa ambaye ndiyo Rais wa club ya Yanga na Mwenyekiti wa vilabu vyote Africa, amekuwa mahiri na kuonyesha uongoza thabiti na wenye weledi Akiwa Yanga amefanya mapinduzi makubwa na mafanikio kimataifa, Amefanya biashara ya mpira na kiuwezesha timu ya Yanga kuwa Moja ya timu kubwa...
  17. Jimbo gani ligawanywe, kwanini?

    Tumesikia hii leo Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe.Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akitangaza Tume kufungua pazia la kuanza kupokea maombi ya ugawanywaji na ubadilishaji wa majina ya majimbo ya uchaguzi. Lakini Je! Unadhani ni Jimbo gani linastahili kugawanywa na...
  18. Padre Josephat Jackson Bududu ateuliwa kuwa Askofu Msaidizi Jimbo Kuu la Tabora

    BABA MTAKATIFU FRANSISKO AMEMTEUA PADRE JOSAPHAT JACKSON BUDUDU KUWA ASKOFU MSAIDIZI JIMBO KUU KATOLIKI TABORA Hongera sana wanajimbo Kuu Katoliki Tabora, Hongera Taifa la Tanzania kwa zawadi nzuri ya kiongozi katika Kanisa. πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™ .
  19. Ni njia zipi hutumika ili mtu agombee ubunge hili nikawatumikie wananchi wangu katika jimbo langu??

    Naomba mwongozo jinsi ya kuingia katika mbio za kuwatumikia wananchi wajimbo langu baada yakuona mbunge aliyekuwepo hana alichokifanya,Je ni njia gani za wazi nitumie ili niweze kuingia katika Kinyang'anyiro hicho?? Kwa sina pesa za kuhonga wajumbe mimi nina nia ya dhati ya kutaka kugombea na...
  20. U

    Naibu Waziri Mkuu Mhe. Doto Biteko amempongeza Askofu wa Jimbo Katoliki Rulenge -Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi kwa mamaono ya kujenga Kanisa

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amempongeza Askofu wa Jimbo Katoliki Rulenge -Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi kwa maono ya kujenga Kanisa Kuu la Jimbo Katoliki la Rulenge - Ngara mkoani Kagera. β€œ Nakupongeza Baba Askofu kwa kuwa na maono makubwa ya kujenga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…