jimbo

Jimbo is a diminutive form of the given name James. It is also a Japanese surname, and it means state in Swahili. It may refer to:

View More On Wikipedia.org
  1. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Madai ya Upendeleo na Rushwa Katika Uchaguzi wa CHADEMA Jimbo la Hai

    Katika hali inayoibua maswali mengi kuhusu uwazi na haki ndani ya chama cha CHADEMA, mtoto wa Freeman Mbowe, kiongozi wa chama hicho, ameonekana kupendelewa katika uchaguzi wa ndani wa Jimbo la Hai. Taarifa zinadai kwamba viongozi wa juu wa jimbo hilo walihusika moja kwa moja katika kuhakikisha...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wananchi Waongeza Kasi ya Ujenzi wa Sekondari Mpya Kwenye Kata za Jimbo la Musoma Vijijini

    WANANCHI WAONGEZA KASI YA UJENZI WA SEKONDARI MPYA KWENYE KATA ZETU Jimbo la Musoma Vijijini linaongeza kasi ya ujenzi wa sekondari mpya za Kata kwa kushirikiana vizuri na Serikali yetu. Vilevile, kasi imeongezeka kwenye ujenzi wa maabara tatu (3) za masomo ya sayansi (physics, chemistry &...
  3. Annie X6

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natarajia kuwa single, jimbo litakaa wazi

    Huyu mwanaume nimemchoka. Nitaorodhesha weakness zake hata wewe utaniambia nilipaswa kummwaga zamani. Sababu z kuachana 1. Mlevi kupindukia 2. Kwa siku anatumia si chini ya laki3 3. Ameoa anaishi na mke kwa siri. 4.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Waandikishaji Jimbo la Bukoba Mjini wametapeliwa pesa zao

    Waandikishaji daftari la wapiga Kura, Bukoba manispaa wametapeliwa pesa zao. Hawajalipwa kiasi cha pesa elfu sitini ambayo ni malipo ya siku moja.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ukraine yateka vitongoji vya Urusi kwenye jimbo la Kursk

    Wanajeshi wa Ukraine wamefanya uvamizi wa ghafla kwenye jimbo la Kursk nchini Urusi lililoko kwenye mpaka na jimbo la Summy la nchini Ukraine. Taarifa zinasema mpaka sasa wanajeshi wa Ukraine wamesonga mbele umbali wa 30km kutoka Mpaka wake na Urusi. Mapigano yanaendelea huku taarifa...
  6. chiembe

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe, pamoja na vitu vingine, pia atamrithisha James Mbowe jimbo la Hai, James atamba anasubiri kuapishwa

    Tofauti ya CCM na Chadema ni ndogo sana, wanafanana katika mengi, bora tubaki na zimwi tulijualo, halituli tukakwisha.
  7. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jimbo la Hai 2025 linakwenda na Fuya , Saashisha Mafue aanza ziara ya kuaga wapiga kura wake katika kata 17

    CCM na wana-Hai wameshafanya maamuzi, Hai mwaka 2025 jimbo linakabidhiwa kwa Fuya . Saashisha ameshaanza ziara katika Kata mbalimbali za jimbo hilo kwa ajili ya kuaga wapiga kura wake, na kuwashukuru kwa ushirikiano waliompa kwa kipindi chote. Wanahai wako hai,hawatafanya makosa mwaka 2025.
  8. G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni ngumu kwa mtu ambitious kuridhika na Ukuu wa Mkoa, 2025 Makonda anaingia bungeni kwa kutumia jimbo gani?

    Makonda ni very ambitious, ni ngumu sana kutosheka na cheo cha RC, ili kuwa na vyeo venye power kubwa zaidi kama Uwaziri njia ya uhakika ni kuwa mbunge. 2020 alikurupuka ila round hii itakuwa kajipanga vilivyo swali, je atatumia jimbo gani?
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Sekondari Ndani ya Jimbo la Musoma Vijijini

    ELIM ELIMU YA SEKONDARI NDANI YA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI Ukubwa wa Jimbo letu: Kata 21 zenye vijiji 68 na vitongoji 374 Idadi ya sekondari Jimboni mwetu: +26 za Kata zinatoa elimu +2 za Binafsi zinatoa elimu +3 mpya zinajengwa kwa fedha za Serikali Kuu. Wanavijiji kuchangia nguvukazi +3 mpya...
  10. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakati CHADEMA mmejikita twita CCM wapo kimkakati kwa maandalizi ya 2025 msije kusema mmeibiwa

    Vijana wa upinzani Tanzania hasa kupitia vyama vikubwa vya chadema na act wazalendo ,wamejikita twita! Wanadhani kwa mabishano na kelele za twita wanaweza kuleta mageuzi yoyote katika nchi hii !! Watu wenye akili na weledi na wapiga kura wa kweli hata twita hawapo na wengine hata hawaijui kabisa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mc Gara B kugombea jimbo la SEGEREA 2025 (tetesi)

    Mc Mashuhuri duniani GARA B ameonyesha nia ya kugombea jimbo la Segerea kwenye uchaguzi 2025. Kupitia Chama Cha Mapinduzi. Hakika Segerea mpya yaja. Wana Segerea kazi kwenu.
  12. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tarime: CCM yapewa angalizo kupoteza Jimbo la Tarime DC 2025 ikimsimamisha Waitara

    Kada ya CCM Tarime mkoa wa Mara Zakayo Wangwe aelezea kwa kina hali ya siasa Tarime na changamoto iliyopo ikiwa mbunge wa CCM Waitara atapitishwa kugombea 2025 Kada Zakayo Wangwe amesema kuwa kuna makundi ya CCM Halisi na CCM wakuja ya Waitara yanayokinzana na kumlaunu mbunge Waitara ndiye...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Ni Chama kipi cha Upinzani Kilishinda Uchaguzi wa Jimbo moja mwaka 1962?

    Wakuu Jana usiku nilikuwa Nasikiliza hotuba ya mwalimu Julius Kambarage Nyerere, ambayo aliitoa 16 AUGUST 1990 sehemu ya hotuba hiyo alisema kwamba mwaka 1962 wakati wa uchaguziTANU ilishindaviti 77 na kukosa Kiti kimoja tu ambacho alishinda mgombea wa upinzani, ambaye anadai alikuwa chama cha...
  14. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Lissu, Heche, Wenje, Garubindi, Bulaya, Mdee etl KARIBUNI CCM TUTAWAPOKEA - KAZI ZIPO NYINGI

    Watanzania, SALAAM! Ifahamike kuwa siasa haina adui wala rafiki wa kudumu. Niliowataja hapo nafahamu uwezo wao wa kisiasa. Ni dhahili kuwa huko waliko hawathaminiwi hata kidogo - nguvu wanayoitumia wakiwa CDM ni kubwa sana ukilinganisha na rewards wanayopata. Hawa wanafaa kuja kusaidia...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Makonda ni karata muhimu CCM kwa jimbo la Arusha mjini 2025. Anafaa kupewa jimbo.

    Katika majimbo yanayoleta changamoto kubwa kwa CCM nyakati za uchaguzi ni jimbo la Arusha mjini. Kibaya zaidi changamoto kubwa huwa ni ndani ya CCM kwenyewe wakati wa kupata mgombea ubunge kupitia CCM. Kwa utafiti wangu binafsi nadhani CCM Arusha ndo imejaa mamluki wengi sana wa CHADEMA kuliko...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Kiteto Tumepokea Fedha Kwaajili ya Miradi ya Maendeleo Kiasi cha Tsh. 965,280,029

    JIMBO LA KITETO: TAARIFA KWA WANANCHI WA KITETO TUMEPOKEA FEDHA KWA AJILI YA MIRADI YA MAENDELEO KIASI CHA SHS 965,280,029 Ndugu wananchi wenzangu wa Jimbo la Kiteto, nachukua fursa kuwafahamisha kuwa tumepokea fedha 965,280,029 Shs kwa ajili ya miradi ya maendeleo. Nimezungumza na Mhe...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Jimbo la kyerwa halina mbunge???

    Wadau ,,sijawahibkusikia mbunhe WA Jimbo ka kyrwa akielezea chichote bungeni au nje ya Bunge.Ndo maana nauliza ,,je Jimbo la Kyerwa linamumnge wa kychaguliwa???
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo, unamshauri nini Luhaga Mpina mbunge wa Jimbo la Kisesa CCM?

    kama mdau wa siasa, harakati na demokrasia nchini, ni upi ushauri wako muafaka kwa kiongozi huyo wa kisiasa, kulingana na joto na uelekeo wa siasa za Tanzania, kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka huu2024, na ule uchaguzi mkuu wa mwaka ujao 2025? afanye nini, aamue nini, na...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Shilingi Bilioni 2.6 Zatengwa Kwaajili ya Matengenezo ya Barabara Jimbo la Mbogwe

    SHILINGI BILIONI 2.6 ZATENGWA KWAAJILI YA MATENGENEZO YA BARABARA JIMBO LA MBOGWE "Ili kukarabati Barabara katika Jimbo la Mbogwe, kiasi cha Shilingi Bilioni 2.6 zimetengwa katika mwaka 2024/2025 kwaajili ya kuendelea kutengeneza matengenezo ya Barabara. Fedha zilizotengwa zitatumika pia...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Dr James Zotto anatosha Jimbo la NYASA (2025-2030)

    Msomi Nguli Dr James Zotto (PhD) anatosha kuwakilisha Wana Nyasa bungeni. Hivyo hima wajumbe msituangushe.
Back
Top Bottom