Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27,nimekuwa nikijaribu kutafuta kazi ya udereva kwa muda mrefu bila mafanikio mpaka nafirikia kwenda kusoma tena operator ili kuongeza wigo wangu katika soko la ajira.
Nimejaribu kuandika barua tofauti katika ofisi tofauti kuomba nafasi ya kujitolea lakini...