jifunzeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bata batani

    Wakati wako ukishapita umepita waiting for tommorow is the biggest mistake tunaojutia sisi mabraza wenu wa 35 going to 40

    Wadogo zangu kama una mpango wa kufanya jambo aiseee lifanye mapema ukianza kufika aged from 35 haki ya nani unaanza kujilaumu mwenyewe polepole Sisi ma braza wenu saivi wengi tumeanza kujuta tangu tumeanza kuingia 35 going to 40 Kale katabia kaa waiting for tommorow to do something ndo...
  2. Think2

    Wanaume wenzagu wa Musoma, jifunzeni kula vizuri basi! Mnatia aibu

    Traditionally chakula huwa tunakula pamoja it means kwamba msosi unawekwa kati mnakula wote sasa watu wanakula vibaya sana yaani ukichukua nyama na yeye anachukua anatafuna vibaya then anarudia nyingine kama mashindano fulani ivi, aisee mjilekebishe ulaji wenu sio mzuri kama mnakimbizwa kupanua...
  3. K

    Prof. Tibaijuka kamzidi Samia kwa kipaji. Jifunzeni

    Kamzidi kwa uzoefu , elimu, kipaji na kujua kuongea https://youtu.be/pMynZNjFjf4?si=lC5nosA3JhoG4xny
  4. The Magnifico

    Bodaboda wa Tanzania jifunzeni kutoka kwa wenzenu wa Rwanda.

  5. Agent-47

    Mnaotetea mkidhani mpo salama jifunzeni kwa huyu jamaa

    Huyu mwamba pamoja na kuandika taarifa za kampeni za CCM wakati wa kipindi cha kampeni amefunguliwa mashtaka ya uhaini. Kwa mnaotetea mfumo wa ukandamizaji mkidhani haitawakuta, siku yenu itafika. Utakamatwa ukiendesha bodaboda yako kwa kosa kidogo tu la barabarani, na utapigwa na kutupwa huko...
  6. Damaso

    TBC jifunzeni Kutoka kwa CGTN: Badala ya Kuisifu serikali, tumie Nguvu zenu pia kukuza Ubunifu na Utamaduni wa Kitanzania

    Wakati Shirika la Habari la China, CGTN (China Global Television Network), linaendelea kuonesha umahiri wake katika kukuza utamaduni, sanaa, na fikra za kitaifa kupitia filamu kama “The Legend of the Monkey King” na “Nezha”, Shirika la Utangazaji la Taifa Tanzania (TBC) linaendelea kutumia...
  7. U

    CCM wana takwimu sahihi ya Wanachama kuanzia ngazi ya Shina hadi juu kabisa, Wanaingia kwenye Uchaguzi bila hofu, Wapinzani jifunzeni

    Ni ukweli wa kisayansi mfano wa kuigwa wanaenda kwenye vita Uchaguzi wakiwa na takwimu kamili, Wapinzani msione aibu njooni Lumumba mpewe Shule CCM ni Baba lao
  8. c_alphonce

    Wahubiri jifunzeni kwa Jimmy Lee Swaggart

    Jimmy Lee Swaggart muhibiri kutoka Nchini Marekani na Mjuzi wa muziki. Nilichelewa kumjua Jimmy Swaggart lakini Punde baada ya kumfahamu uelewa wangu juu ya maandiko Matakatifu, juu ya msalaba na Juu ya wokovu uliabadilika kabisa. Moto wa kuhubiri injili uliwaka ndani yangu. Niliamua kuanza...
  9. kavulata

    Wananchi jifunzeni kuishi na serikali yenu kwa akili, usisifu umeme ambao haupatikani mtaani kwenu,

    Wananchi katika Kila taifa wanalipa kodi nyingi kwa njia mbalimbali, hata yule anaenunua kibanio cha nguo na kijiko kimoja cha mafuta ya kupikia amelipa kodi. Kila muuzaji wa kitu chochote ni wakala wa TRA, anakusanya Kodi kutoka kwa wananchi wote na kuzipeleka serikalini. Na Kuna watu wanalipa...
  10. Ziroseventytwo

    Russia na Vladimir Putin, jifunzeni kwa Israel ya Netanyahu.

    Game inaanza tu. Maafisa wa ngazi za juu kabisa kwenye jeshi wanafyekwa kule iran. Wanasayansi wa maswala nyuklia nao wameliwa vichwa. Putin unatuangusha sana. Kumwacha Zeleskyy kuendelea kuzurura kote ulaya ba marekani kuomba msaada wa kupambana na nyie mjue hatuwaelewi!! Malizaneni na huyu...
  11. Khanji kapoor

    Watanganyika kuweni makini na waarabu jifunzeni kwa sudan inavyoangamiah

    Sudan ipo katika vita vya wenyewe kwa wenyewe mwaka wa pili huu watu wanakaribia milion waliokufa kutokana na vita inazidi hata vifo vya Gaza Unajua chanzo? Chanzo kilianzia kwa rais wao bashir aliuza raslimali zote kwa waarabu kwa hiyo uchumi wa sudan Ukawa unashikiliwa na waarabu na...
  12. Prof_Adventure_guide

    Wanaume Jifunzeni Ku-Handle Familia Zenu: Usikubali Uongozi wa Nyumba Ugeuke Ukoloni!

    Listen up kings, let’s get this real and raw—life ya ndoa siyo sinema, na hakuna mtu atakuja kukufundisha kuishi na mwanamke wako. Hii ni game ya akili, moyo na nidhamu ya hali ya juu. Ukiona unam-control mke wako kwa makelele, vitisho na mangumi, bro unaishi kama colonizer wa karne ya 18. Hii...
  13. Now and then

    Bakwata jifunzeni kwa wenzenu jinsi wanavyochambua mambo kwa weledi mkubwa Maaskofu

    Bakwata jifunzeni kwa wenzenu jinsi wanavyochambua mambo kwa ufanisi mkubwa Maaskofu . Juzi katika baraza la Eid mlikuwa mnaimba na kuongelea Amani Ila mnashindwa kugusia haki.
  14. Fbn

    Dereva yule yule wa Miaka 26 anakuta kuna mabadiliko nchini mwake China ila Tanzania tunachekesha sana halafu CCM kinga yao amani na ujinga

    Mwanaume aliye kwenye picha anaitwa Han Junjia, dereva wa treni kutoka China. Picha ya kwanza ilipigwa mwaka 1996, ikimuonesha akiwa amesimama mbele ya treni ya mvuke aina ya SY-class. Picha ya pili ilipigwa miaka 26 baadaye, ambapo anaonekana akiwa mbele ya treni ya kisasa ya mwendokasi...
  15. The only

    Wasanii wa Tanzania jifunzeni kustaafu, bongo mziki bado sio biashara ya kudumu

    Salaam! Ushauri kwa wale wanaojiita ma-regendary wa bongo wakuu ukweli huu hamtaupata popote na auonaye amwambie mwenzie ,wakuu Game ya bongo ya Muziki na hata sanaa zingine sio kazi au biashara ya kudumu ,mtawafariji ooh mbona wa ulaya mpaka leo wanapiga show ,wakuu hilo game la ulaya leo hii...
  16. S

    Halmashauri ya jiji la Mbeya jifunzeni kutoka Halmashauri ya jiji la Arusha na Manispaa ya Moshi kukataa jimbo kugawanywa

    Nitamshangaa Rais Samia akikubali kugawa eneo lolote la nchi kiutawala, aendelee na msimamo wa mtangulizi wake JPM, Magufuli aliapa asingegawa eneo lolote na akafa na msimamo wake. Kitu muhimu ni kujenga miundo mbinu imara na ya kisasa. Jifunzeni kutoka madiwani wa jiji la Arusha na wa Manispaa...
  17. JanguKamaJangu

    Rahim Mwanga: Kustaafu hakupaswi kuwa chanzo cha matatizo ya kifedha, Watumishi jifunzeni kuwekeza mapema

    Afisa Masoko Mwandamizi, Kampuni ya Uwekezaji ya UTT – AMIS, Bw. Rahim Mwanga, akitoa mafunzo ya elimu ya fedha kwa watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, yaliyotolewa na Wizara ya Fedha na Taasisi zake. Watumishi wa Umma na Sekta Binafsi wameshauriwa kujifunza kuhusu uwekezaji mapema ili...
  18. Pdidy

    CHADEMA jifunzeni maamuzi ya Leo CCM kwa viti maalum hivi sio viti vya familia ama ukoo flani ama kabila flan tu

    January niliandika sana hapa nkalia sana na haya mambo ya VITI MAALUM Nkaelezewa sana madhara yake kuna watu wako vijana wanazeekea voti MAALUM kiasi cha kwamba WAKIFIKA kule HATA akili aziwazo kusaidia wananchi WANAJUA watachsguliwa Tena wakipitidha mambo yaooo Sio hivyo iliwafanya HATA...
  19. Allen Kilewella

    Mnaombeza Lissu jifunzeni toka kwa timu ya Simba

    Kuna watu ambao kwa bahati mbaya wengine ni wanachama waandamizi wa CHADEMA, wanabeza msimamo wa Lissu wa kusimamia maamuzi ya vikao vya chama kuwa "No reforms No election" kuwa ni jambo lisilowezekana. Lakini Klabu ya Simba kwa kusimamia Kanuni za ligi ya Tanganyika, imefanikiwa kugomea mchezo...
  20. Rorscharch

    Wazazi Mnaosomesha Watoto Shule za Private jifunzeni kufanya tathmini ya Pesa mnayowekeza katika Elimu hiyo na matokeo yake (Hawatazeekea Nyumbani)?

    Katika kila jamii, elimu hupewa nafasi ya kipekee kama nyenzo ya kufanikisha maendeleo ya mtu binafsi na taifa kwa ujumla. Wazazi huwekeza kwa gharama kubwa kuhakikisha watoto wao wanapata elimu bora, wakiamini kuwa elimu ni ufunguo wa maisha bora. Lakini swali la msingi linabaki: Je, uwekezaji...
Back
Top Bottom