jezi

In Slavic folklore, Baba Yaga (; Russian: Баба-Яга, tr. Bába-Jagá, IPA: [ˈbabə jɪˈɡa] (listen)) is a supernatural being (or a trio of sisters of the same name) who appears as a deformed or ferocious-looking old woman. In Slavic culture, Baba Yaga lived in a hut usually described as standing on chicken legs.Baba Yaga may help or hinder those that encounter her or seek her out. She may play a maternal role and has associations with forest wildlife. According to Vladimir Propp's folktale morphology, Baba Yaga commonly appears as either a donor, villain, or may be altogether ambiguous. Her depictions vary greatly across tales, ranging from a child-eating monster, to helping a protagonist find his missing bride.
Andreas Johns identifies Baba Yaga as "one of the most memorable and distinctive figures in eastern European folklore", and observes that she is "enigmatic" and often exhibits "striking ambiguity". Johns summarizes Baba Yaga as "a many-faceted figure, capable of inspiring researchers to see her as a Cloud, Moon, Death, Winter, Snake, Bird, Pelican or Earth Goddess, totemic matriarchal ancestress, female initiator, phallic mother, or archetypal image".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania KAMA MANGUNGU ANASEMA VIONGOZI HAWAHUSIKI KUVUJA JEZI BASI WACHEZAJI.. 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 watajeni

    Hahahaaaa ukistaajabu ya polepolee utafurahia ya mangungu mwenyekiti wa Simba ameibuka na kusema hawahusiki kabisa na swala la kuvuja jezi kama viongozi walifanya sehemuyaoo na kama kuna ivujujaji wa jezi vasi waulizwe wengine nasio viongozi wa Simba swali la 1 Unasema kama kuna uvujaji...
  2. D

    JamiiForums Tanzania hizi jezi za Simba, mbele wapi? nyuma wapi? mbona hazieleweki.

    I will be short hizi jezi , mbona kama makengeza, mbele wapi, nyuma wapi?? mcheki kapombe amkuwa kama kanyongwa , ajulikani kageuka mbele au nyumA.
  3. JamiiForums Tanzania Zile jezi mbovu zilizovuja kumbe ndiyo zenyewe, Sijawahi kuona jezi mbovu kama hizi

    Huyu mzabuni mpya inaonekana anaingia na nuksi, kwanza jezi zilivuja, wakakanusha kwamba sio zenyewe, kwamba zilizovuja zilikuwa sample, cha kushangaza kumbe ndiyo zenyewe, kuna wengine walisema kama itakuwa ndiyo zenyewe basi avae bwana Amberruty mwenyewe, sasa imethibitika ndiyo zenyewe, Je...
  4. JamiiForums Tanzania QR Code haiwezi kuwa njia ya udhibiti wa jezi feki

    Sijajua kama huu utaratibu uliowekwa wa mzabuni wa jezi za Simba JayRutty kuweka QR Code katika jezi kama ni njia sahihi ya kudhibiti jezi feki. Ninavyofahamu mimi ukishajua hiyo QR Code inatakiwa kukupeleka kwenye website na ukurasa gani, hata mimi ukinipa dakika 2 naweza kuitengeneza sasa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Zilizovuja kumbe zilikuwa ni zenyewe bwana Yanga bingwa tena kwa kufaulu nje ya uwanja

    Nilikuwa nasubilia kwa hamu kujua kama zile jezi zilizovujishwa za Simba kama zilikuwa ni jezi halisia hili nijiridhishe na jambo Fulani,,, Lakini nimejiridhisha Leo kwamba zilikuwa ni jezi zenyewe halisia baada ya kuzinduliwa zile zile zilizovujishwa! Hapa nawapa kongole yanga kwa kuwa vizuri...
  6. JamiiForums Tanzania Jezi mpya Yanga ni bora lakini shingo ni mbovu, sio rafiki kwa shingo.

    Nimeinununua moja ya kijani, kitambaa ni bomba sana lakini imeshaniudhi shingoni. Material waliyoweka kuzunguuka shingo sio laini (soft) kiasi cha kutia karaha kwenye ngozi na mishipa ya singo pale inapogusa sehemu hizo. Kama wangebadilisha kitambaa kinachozunguuka shingo ingekuwa nzuri sana...
  7. JamiiForums Tanzania Klabu ya YF JUVENTUS yavaa jezi za BARCELONA

    Mashabiki walishangaa ikiwa ni baada ya YF Juventus, klabu ya mjini Zurich inayocheza katika Swiss 1. Liga Classic, kuingia uwanjani wakiwa wamevaa jezi zinazofanana kabisa na zile za FC Barcelona msimu wa 2022/23 (jezi ya tatu). Ndiyo, umesoma vizuri—muundo ule ule wa samawati wa jezi ambazo...
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta wauzaji wa jezi za timu mbalimbali

    Habari.? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu natafuta wauzaji wajumla wa jezi za timu mbalimbali hasa jezi za msimu huu, yeyote mwenye kujua wapi naweza kupata namomba anisaidie..
  9. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu jezi za Simba ni huu

    Nitalielezea hili jambo kwa ufupi sana, mengine mtajalizia wenyewe. Nimeacha kuongelea sana soka la Tanzania maana wababaishaji ni wengi, kuanzia viongozi, wachezaji, wachambuzi na waandishi wa habari hadi mashabiki. Kiufupi ni kwamba jezi za Simba zinazoenda kuzinduliwa J5 ni zile zile ambazo...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini jezi za Simba zizinduliwe Superdome Masaki, 'sisi' wa Msimbazi sio muhimu?

    Wenye fedha ndio muhimu msimu huu hapa Simba. Uzinduzi wa jezi za Simba umewalenga wao tu sisi wa Tandale tusubiri masazo baada ya vibopa kuzivaa kwanza. Hii imetudhalilisha vibaya sana sisi tunaopaka rangi nyekundu usoni viwanjani wakati wa mechi. Naomba matajiri waende kuishangilia timu...
  11. JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC wenye Akili tunauliza je, hizi Jezi zetu mpya tunazotamba nazo kama Wendawazimu zimetengenewa na Kampuni gani ya Kimataifa?

    Na sisi wana Yanga SC tutashukuru sana tu kama tukitajiwa hiyo Kampuni ili tujiridhishe nayo kama kweli ni ya Kimataifa.
  12. JamiiForums Tanzania Ukiona Jezi za Klabu yote ile Tanzania haijatengenezwa na hizi Kampuni Tano Kubwa za Kimataifa jua hiyo Jezi ni Takataka na Toilet Paper tu

    1. Adidas 2. Puma 3. Nike 4. Umbro 5. Diadora Imeisha hiyo.......!!!!!!!
  13. JamiiForums Tanzania Sina uhakika kama diadora ndo watengezaji wa jezi za Simba

    Nimeona jezi za Simba alizitengeza diadora zikiwa mbaya mno. Nina wasiwasi kama kweli jayrutty alitwambia ukweli kama diadora ndo atakuwa na mashirikiano nae ili wazalishe jezi Bora Diadora ni kampuni kutoka Italia na imejijengea heshima kubwa hasa kuvalisha mastaa wakubwa wa mchezo wa tennis 🎾...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Jezi mpya za Simba zimevuja, Kama ni kweli ndio zile ni nzuri sana ila bado watu wabaya hawajafa ndani ya timu yetu na tujiandae kudhalilika tena

    Baada ya wao kutoa jezi mbovu, zinizi na ubora wowote, inasemekana jezi mpya za Simba zimetoka, wanaozipost ni washabiki wa Yanga pamoja na mwandishi kanjanja İbrahim Ambokile. Kama kweli zile ni jezi za Simba nimezipenda na nitazinunua za rangi zote, ni jezi zenye Quality ya kutosha, yule Ali...
  15. JamiiForums Tanzania Wanayanga wenzangu tusikubali kuingia kwenye mtego wa mashabiki wa simba kuhusu jezi zetu mpya

    Mara baada ya Yanga kutangaza jezi zake mpya za msimu huu wa 2025/2026 wameibuka baadhi ya mashabiki wa simba na kuanza kuziponda jezi za yanga na kusema ni mbaya. Ubaya ni kwamba bila kufahamu the motive behind,baadhi ya mashabiki wa yanga nao wameungana na wale wa simba kwenye kuzisema jezi...
  16. JamiiForums Tanzania Yanga wana utoto sana kwenye jezi zao

    Jezi mpya ya ugenini ya Yanga iliyozinduliwa leo imeandikwa “Walisepa 08.03.2025” Huu ni utoto wa hali ya juu. Wameweka makusudi ili kuwavutia mashabiki wao wanunue jezi hizo ambazo kimsingi sio jezi nzuri.
  17. JamiiForums Tanzania Jezi za yanga ni upuuzi wa muongo

    Baada ya sheria ngowi kuachana na yanga, yanga walipata designer mpya ila cha ajabu hizi jersey za msimu huu ni kituko cha muongo kama sio karne kabsa. Kwenye jersey ety wameweka mwenge sa sjui unafanya nin mwenge wa kichaw wa Nyerere. Ni aibu na haujapendeza kabsa. Ushauri wa bure mnatakiwa...
  18. JamiiForums Tanzania Jezi za Young Africans kwaajili ya msimu ujao wa 2025-26.

    𝐇𝐎𝐌𝐄 𝐊𝐈𝐓 𝟐𝟎𝟐𝟓/𝟐𝟔. 🔰 𝐀𝐖𝐀𝐘 𝐊𝐈𝐓 𝟐𝟎𝟐𝟓/𝟐𝟔 🔰 𝐓𝐇𝐈𝐑𝐃 𝐊𝐈𝐓 𝟐𝟎𝟐𝟓/𝟐𝟔 🔰 𝐌𝐓𝐎𝐊𝐎 𝐖𝐀 𝐊𝐈𝐌𝐀𝐓𝐀𝐈𝐅𝐀 𝐔𝐌𝐄𝐅𝐈𝐊𝐀 🤩Sogea hapa Makao Makuu ya klabu yetu Jangwani upate mtoko wako Mwananchi🔰.#timuyawananchi #daimambelenyumamwiko Kwa elfu 45 tu mwananchi 💚💛
  19. JamiiForums Tanzania JEZI MPYA YA YANGA KUELEKEA MSIMU WA 25/26 MWANANCHI UMEIONAJE JEZI HII ?

    Huyu ni mbunifu mpya baada ya sheria ngowi kutemana na yanga vipi hapo amepatia au tuendelee kumpa muda
  20. JamiiForums Tanzania Timu ya wananchi Yanga rasmi imetambulisha jezi zao za msimu ujao 2025-2026

    Unazipa asilimia ngapi jezi za wananchi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…