jezi

In Slavic folklore, Baba Yaga (; Russian: Баба-Яга, tr. Bába-Jagá, IPA: [ˈbabə jɪˈɡa] (listen)) is a supernatural being (or a trio of sisters of the same name) who appears as a deformed or ferocious-looking old woman. In Slavic culture, Baba Yaga lived in a hut usually described as standing on chicken legs.Baba Yaga may help or hinder those that encounter her or seek her out. She may play a maternal role and has associations with forest wildlife. According to Vladimir Propp's folktale morphology, Baba Yaga commonly appears as either a donor, villain, or may be altogether ambiguous. Her depictions vary greatly across tales, ranging from a child-eating monster, to helping a protagonist find his missing bride.
Andreas Johns identifies Baba Yaga as "one of the most memorable and distinctive figures in eastern European folklore", and observes that she is "enigmatic" and often exhibits "striking ambiguity". Johns summarizes Baba Yaga as "a many-faceted figure, capable of inspiring researchers to see her as a Cloud, Moon, Death, Winter, Snake, Bird, Pelican or Earth Goddess, totemic matriarchal ancestress, female initiator, phallic mother, or archetypal image".

View More On Wikipedia.org
  1. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Timu ya wananchi Yanga rasmi imetambulisha jezi zao za msimu ujao 2025-2026

    Unazipa asilimia ngapi jezi za wananchi?
  2. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Hivi wachezaji hawaogopi kulogwa kubadilishana badilishana jezi ambazo tayari mtu umeshazivaa?

    Miongoni mwa vitu ninavyovishangaa ni hiki kitendo cha kukubali mchezaji kugawa jezi yako yenye jasho lako kwa mchezaji mwenzako kwa kigezo tu cha kukubali uwezo wako. Kiuhalisia miongoni mwa silaha kubwa mtu akitaka akumalize kabisa (akuroge) kiurahisi basi akipata nguo ambazo umeshazivaa...
  3. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Unawapa alama ngapi Mbeya City kwa jezi zao?

    Chini ya 10 ungewapa alama ngapi akina mwaisa kwenye jezi zao?
  4. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga wameamua kuchoma Jezi za Yanga

    Clips zinasambaa mtandaoni; Mashabiki wa yanga mamia kwa maelfu wanapost video wakichoma Jezi za yanga naba do kuna wengine wanachoma bila kupost na wengine hawachomi ila wameshaikataa yanga. Engineer Hersi kama Rais wa Yanga inabidi sasa Ujiuzulu.Sidhani kama klabu ya Yanga itaichangia...
  5. Acehood

    JamiiForums Tanzania Wauzaji wa jezi

    Samahani wakuu yeyote mwenye jezi hizi za Manchester united au mojawapo naomba nijue nizipate.
  6. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Nimeona jezi za Yanga zipo kama vitenge vya batiki

    Nikiangalia bila jicho la ushabiki hizi ni jezi uchwara. Mbali na kuwa na muonekano wa batiki lakini wachezaji wanakuwa wanakabwa shingo.
  7. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Jezi za Yanga msimu huu Kutengenezwa na Nike

    Wadau hivi ni kweli kwamba Yanga walivunja mkataba na Sheria Ngowi baada ya makubaliano na kampuni ya Nike kutiki? Nikweli Nike ndiyo watatengeneza jezi msimu huu?
  8. President of China

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa ndizo jezi mpya za simba msimu huu unaoanza 2025

    Kazi kwenu wachawi toka utoporo
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Azam FC yazindua Jezi mpya za msimu wa 2025/26

    Azam FC imekuwa klabu ya kwanza ya Ligi Kuu Bara kuzindua jezi mpya za msimu ujao (2025/26). Azam FC imezidua jezi ya nyumbani, ugenini na chaguo la tatu. Unatoa asilimia ngapi kwa jezi za chama hili la Chamazi?
  10. Powell Gonzalez

    JamiiForums Tanzania Kwa heshima ya Diogo Jota, Liverpool imestaafisha jezi namba ishirini

    Kwanzia sasa Hakuna mchezaji atakaevaa Jezi namba ishirini pale Liverpool, Jezi imestaafishwa kama heshima kwa Diogo Jota. RIP Jota, na Ahsante Liverpool kwa kutambua mchango wake!
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Liverpool wastaafisha jezi ya Diogo Jota

    Baada ya mshambuliaji wa Liverpool, Diogo Jota kupata ajali leo asubuhi na kufariki dunia, klabu hiyo imeistahafisha jezi namba 20 iliyokuwa inavaliwa na nyota huyo raia wa Ureno. Soma,Pia: Mshambuliaji wa Liverpool Diogo Jota, afariki dunia katika ajali ya gari Jota alipata ajali hiyo leo...
  12. Pdidy

    JamiiForums Tanzania USHAURI.Viongozi WA Simba..zile JEZI mliandaa kuvaaa mkichukua ubingwa peleken kwa yatima na wagonjwa mahosptalini

    Za uzima Nianze kuwapongeza kwa kuwa washindi wa pili kombe la caf Kifupi mkijitayarisha kuvaaa majezi ma t-shirt y kila aina na hata zaa kuuzia mashbiki wenu pale mkichukua ubingwa Na haikuwa hivyoooo Ningeomba hizo jezi kama hamtojali peleken kwa yatima na wajane na wagonjwa hospt N...
  13. Pdidy

    JamiiForums Tanzania WAKATI YANGA WAMEVAA JEZI ZA VISIT ZNZ MKATUSABAHI HAMKUSOMA NYAKATI EEH ZAMU YENU KUVAA VISIT ZNz

    ZNZ N MOJA YA SEHEMU YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA WANA UWANJA UNAKIDHI MATAKWA NA SHERIA NA KANUNI ZA CAF HAKA KAUSEMI NIMEKAPENDA SANA KWENYE MAJIBU YA CAF.... NIRUDI KWENYE MADA WANA SIMBA WAKATI YANGA WANAVAA JEZI ZA VISIT ZNZ HAMKUWAELEWA EEEH YAANI NA WANANCHI TUMETENGENEZA...
  14. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Jezi mpya kwa timu mbalimbali kwa msimu mpya wa 2025/2026

    Tukiwa tunamalizia msimu huu, baadhi ya timu zimeshaanza kutoa jezi mpya kwa msimu ujao. Timu kubwa ya kwanza kuachia jezi zao ni Bayern Munic. Uzi huu utakuwa unakuletea jezi mpya kadri tunavyozipata kutoka katika vyanzo mbalimbali. Karibu...
  15. aka2030

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kashifa ya mkurugenzi wa JAYRUTTY watengeneza jezi wapya wa simba sc

  16. KUKULU- KAKALA

    JamiiForums Tanzania Mdhamini mpya wa Jezi wa Klabu ya Simba aliwahi kutuhumiwa kwa makosa haya

    Kwanza nimpongeze Mtanzania mwenzangu Joseph Rwegasira Samson kwa kushinda tenda ya kuzalisha jezi za mnyama. Pili niwapongeze SIMBA SC Kwa Mkataba mnono WA jezi wenye thamani ya BILLION 38.6 Kwa Miaka mitano. Ukiwa pamoja na Extra bonuses kama vile Ujenzi wa uwanja...Media production...
  17. iMart Discounts Kariakoo

    JamiiForums Tanzania Chimbo la Jezi za Jumla za Ulaya, Delivery Popote Ulipo

    Wadau wa JamiiForums! ⚽️ Karibu Kariakoo! Tumeleta jezi za timu za Ulaya (Arsenal, Liverpool, Man United, n.k.) kwa bei za jumla! Hii ni fursa kwa kila mtu kupata jezi za timu pendwa kwa bei nafuu. Tunatuma mikoani na nchi jirani kama Congo, Zambia, na Malawi! Bei ya jezi moja ni TZS 15,000 tu...
  18. Skull dance

    JamiiForums Tanzania Unachukuliaje kitendo cha Mess kukanyaga jezi ya Barcelona?

    Kitendo hicho kimetokea Huko nchini Marekani 🇺🇸 jijini Atlanta katika mchezo wa ligi nchini humo kati ya Atlanta united dhidi ya Inter Miami Messi Ameonekana akiikanyaga jezi ya Barcelona iliyorushwa na Shabiki wa Atlanta united kabla ya mchezo huo kuanza. Baadhi ya vyombo vya soka vimeripoti...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inadaiwa Klabu ya Simba imesaini mkataba wa bilioni 30 na mzabuni wa utengenezaji Jezi

    Klabu ya Simba SC imesaini mkataba wa zaidi ya Shilingi Bilioni 30 na kampuni ambayo imeshinda tenda ya uzabuni wa kutengeneza jezi na kusambaza vifaa vyenye nembo ya Simba Sports Club. Inatajwa ni mkataba wa miaka mitano na ni kampuni ya Kitanzania. Pia, Soma Kampuni ya Umbro yaomba tenda...
  20. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba ianze kutumia zaidi jezi nyeupe maana bado hazijachafuliwa

    Kuna kitu nimekiona msimu huu katika performance ya mchezaji mmoja mmoja wa Simba kimenifikirisha sana. Katika michezo miwili ya msimu huu ambayo naikumbuka mpaka sasa Simba wakivaa jezi nyeupe, huu mchezo wa leo dhidi ya Coastal Union na ule wa Costantine kule Algeria, performance ya mchezaji...
Back
Top Bottom