jezi

In Slavic folklore, Baba Yaga (; Russian: Баба-Яга, tr. Bába-Jagá, IPA: [ˈbabə jɪˈɡa] (listen)) is a supernatural being (or a trio of sisters of the same name) who appears as a deformed or ferocious-looking old woman. In Slavic culture, Baba Yaga lived in a hut usually described as standing on chicken legs.Baba Yaga may help or hinder those that encounter her or seek her out. She may play a maternal role and has associations with forest wildlife. According to Vladimir Propp's folktale morphology, Baba Yaga commonly appears as either a donor, villain, or may be altogether ambiguous. Her depictions vary greatly across tales, ranging from a child-eating monster, to helping a protagonist find his missing bride.
Andreas Johns identifies Baba Yaga as "one of the most memorable and distinctive figures in eastern European folklore", and observes that she is "enigmatic" and often exhibits "striking ambiguity". Johns summarizes Baba Yaga as "a many-faceted figure, capable of inspiring researchers to see her as a Cloud, Moon, Death, Winter, Snake, Bird, Pelican or Earth Goddess, totemic matriarchal ancestress, female initiator, phallic mother, or archetypal image".

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Limeuliza Jezi ya Yanga nimeambiwa 45 elfu, nimeshangaa

    Jana pita pita yangu, nimeikuta jezi ya Yanga nimeambiwa 45 elfu. Nia ilikuwa ya kununua na kufanyia mazoezi. Nilidhani elfu 5 tu. Najiuliza hivi mtanzania maskini ananua majezi ya club kwa bei hizi badala kutumia hela kusomesha watoto wake? Hivi tumerogwa wapi
  2. LIKUD

    Mfanyabiashara aliekuwa anakataa elfu tisini kuuza jezi mpya ya Yanga sasa anatafuta watu wa kununua jezi kwa elfu 55 na Raia wamemgomea

    Nimewahi kuandika hapa kwamba mbantu hawezi kufanya biashara kwa sababu huwa anashindwa kujitofautisha yeye na biashara yake. He think he is his business. Kwa mfano akiwa anauza bidhaa fulani halafu watu wakawa wanaigombania sana yeye atadhani kwamba hao wateja wana mshobokea yeye na sio...
  3. Jane Lowassa

    Kuvaa jezi ofisini kupigwe marufuku

    Huu mtindo unapata kasi sana. Upigwe marufuku kwasababu ni aibu kwa taifa. Ofisini ni sehemu ya heshima
  4. Gol D Roger

    Jezi za yanga zimehuzunisha sana japokuwa wengi wanazisifia

    Jezi za yanga hizi zilizotoka juzi hazina uhalisia kabisa, colour palette ya timu ya yanga ni kijani na njano. But hizi jezi mpya sijaelewa kwann wameamua kutumia rangi ambazo sio za yanga Yanga kuweni serious na brand yenu, hizo rangi hapo juu hazimo kweny official colour palette ya yanga...
  5. M

    Yanga wamefuta nyota kwenye jezi za ligi ya mabingwa. CAF hawataki nyota hewa. Ni mabingwa tu ndio wana nyota

    Habari wadau Naona Yanga wametoa jezi mpya kwa kwa ajili ya total caf champions league.. Wamefuta nyota zao walizoweka juu ya logo yao kwenye jezi zao za msimu huu walizochezea hatua za awali za caf champions league na ligi kuu ya tanzania. Watu wengi walishangaa why jezi ya mamelodi iwe na...
  6. Vincenzo Jr

    Yanga watangaza jezi mpya za Kimataifa 2024/25

    Leo saa 6 mchana timu pendwa kutoka kusini mwa jangwa la Sahara Yanga SC itazindua jezi zake leo 20/11/2024 karibu katoka Uzi huu kupata update za champions league kits Young Africans SC 𝐂𝐀𝐅𝐂𝐋 𝟐𝟎𝟐𝟒/𝟐𝟓 - 𝐇𝐎𝐌𝐄 𝐊𝐈𝐓🔰 Young Africans SC 𝐂𝐀𝐅𝐂𝐋 𝟐𝟎𝟐𝟒/𝟐𝟓 - 𝐀𝐖𝐀𝐘 𝐊𝐈𝐓🔰 Young Africans SC 𝐂𝐀𝐅𝐂𝐋 𝟐𝟎𝟐𝟒/𝟐𝟓 -...
  7. U

    Kwanini jezi namba 9 klabu ya simba haivaliwi na mchezaji yeyote kwa miaka mingi? mara ya mwisho jezi hiyo alipewa mchezaji felix sunzu

    Kichwa cha habari chahusika Karibuni
  8. Waufukweni

    Jezi mpya za Yanga za Klabu Bingwa kuzinduliwa Novemba 20

    Klabu ya Yanga Sc kupitia kwa Meneja wake wa Habari na Mawasiliano Ally Kamwe, imethibitisha kuwa jezi mpya za klabu hiyo kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa Afrika zitazinduliwa Tarehe 20, Novemba 2024 na zitauzwa kwa Tsh 50,000/= tu. "Tarehe 26 mwezi huu tuna mchezo wa ligi ya Mabingwa, wengi...
  9. Travis Kitengo

    Vijana wa ovyo tayari washachangamkia fursa kuzalisha jezi za Balthazar 400

    Yule mtu maarufu aliyezima habari zote duniani ikiwemo uchaguzi wa Marekani wadau wamemtumia kuanza kupiga pesa
  10. GENTAMYCINE

    Hivi huyu Shabiki Mchome mapovu ni Shabiki kweli wa Simba SC au ni mwana Yanga SC aliyenunuliwa Jezi ya Simba SC ili atudhalilishe?

    Nadhani sasa ifike muda Mashabiki wa Simba SC tuanzishe Mtindo wa Kuwaadabisha hawa Wanafiki kwa Vipigo Oky?
  11. Mwanadiplomasia Mahiri

    Kwasasa tumekuwa Taifa la kuvaa jezi mahali popote

    Mtu yupo kanisani au msikitini kavaa jezi ya Man Utd. Mtu yupo harusini au msibani kavaa jezi ya Yanga. Mtu kaendda kufata huduma ofisi za serikali, kaenda kupiga passport kwa ajili ya Kitambulisho cha NIDA kavaa jezi ya Simba. Mtu kaenda mahakamani kavaa jezi ya Barcelona. Watanzania nani...
  12. Mshana Jr

    Tulikabidhiwa Jezi

    Tulikabidhiwa jezi ya huu mchezo unaoitwa maisha, kabla hata hatujawa tayari kuingia uwanjani. Wala hatukuwa na uhakika wa kwenda kubadilisha matokeo. Ghafla tu, tukaambiwa baba amechoka, Mama Hana msaada pale mbele. Nenda kaipe tumaini team. Sisi ni makipa tunajua kudaka na kusubiri mashuti...
  13. Natafuta Ajira

    Sizioni jezi za makolo.

    Kuna sehemu nimekuja kupata supu ya kuondoa hangover, tangu saa nne asubuhi nipo hapa sijaona hata mtu mmoja alievaa jezi ya makolo. Naona wananchi tu wanakatiza mitaa wametupia jezi zao. Hali ipo hivi hivi na uko maeneo mengine.?
  14. kavulata

    Yanga Jezi mpya safi sana, lakini tangazo la mgongoni limezichafua sana.

    Tangazo la BOOST limewekwa vibaya kwenye karatasi nyeupe na kubwa mno kiasi kwamba limechafua jezi. Jezi za 45,000 kila moja lakini watu wanaogopa kuzivaa kwasababu ya mtangazo mkuuubwa sana ulibandikwa vibaya mgongoni. Tangazo lile la mdhamini lirekebishwe ili kuboresha muonekano wa biashara...
  15. Camilo Cienfuegos

    Wabongo mnaivaa hii jezi kwa wingi, nini siri yake?

    Huwezi ukaenda Kariakoo usikutane na mbongo kavaa jezi hii. Ina siri gani ya kukubalika sana?
  16. Gang Chomba

    Hadithi ya Del Piero na Totti kuhusu jezi namba 10

    Ilikuwa Kabla ya Kombe la Dunia Mwaka 2002 kule Korea na Japan, pale Del Piero alipokuwa akivaa Jezi namba 10 huku Totti akiwa anavaa namba 20. Siku moja baada ya mazoezi ya nguvu huku kila Mchezaji akiwa full kwa ajili ya kulitumikia Taifa, wachezaji waliitwa waliitwa ili wachague namba za...
  17. DELETED ACCOUNT

    Yanga yapiga picha rasmi ya msimu kwa jezi za mazoezi

    Kuna siku niliwahi kuongelea "obsession" waliyonayo viongozi wa sasa wa Yanga juu ya mambo yanayofanana na Simba, kuanzia rangi za jezi hadi wachezaji wake. Katika jambo la kushangaza sana na naamini litaleta mjadala mkubwa ndani na nje ya klabu hiyo, leo wamepiga picha rasmi ya msimu ya timu...
  18. P

    Viongozi wa Simba vaeni jezi za timu yenu kama hamuwezi vaeni za Yanga.

    Jana tarehe 3/8/2024 ilikuwa ni siku ya Simba day. Ni siku ya pekee kwa wapenzi wa Simba katika kutambulisha wachezaji wapya, bench la ufundi, jezi n.k. Tunajuwa viongozi siku zote wanakuwa mfano, ila hapo unyamani kuna baadhi ya viongozi hawosomeki sijuwi ni hawataki kuonyesha utambulisho wao...
  19. Selemani Sele

    Uuzaji wa jezi feki hautoweza kuisha nchini

    Leo nikiwa matembezi yangu Kariakoo kujitafuta, nimeona jezi za Yanga na Simba za msimu huu Mpya zikiuzwa elfu 3 ,elfu 5 na Elfu 7 zimemwagwa chini machinga tena karibu na jengo la Simba mtaa wa Agrrey na watu wanazigombania sana tu. Kwa hilo nimeona sio leo wala kesho uharamia wa jezi...
  20. M

    SI KWELI Simba walianza kuuza Tiketi na Jezi wiki 5 nyuma. Yanga watumia wiki 1 tu kwa mujibu wa Manara

    Kwenye hii video Manara anadai kuna Fact ambayo haisemwi kuwa Simba ilianza kuuza jezi na tiketi wiki 5 nyuma. Yanga wametumia wiki 1 tu kuuza tiketi na jezi na zimeisha, huku akisema kuna propaganda ambazo yeye alikuwa anatumia huenda ndio Simba wametumia kuonesha wamemaliza tiketi zao( Sold...
Back
Top Bottom