MH WAZIRI WA MAMBO YA NDANI, SENGEREMA INALIA-JE, NANI ATASIKIA SAUTI YA WANANCHI?
Kwa kipindi cha hivi karibuni, wilaya ya Sengerema imekuwa ikikumbwa na matukio ya moto yanayo sababisha hasara kubwa kwa wananchi, kinachozid kuumiza ni kwamba karibu kila tukio linapoibuka, matumaini ya...