Mwalimu Nyerere wakati anabadilisha jina la jeshi kutoka East Africa Rifles na kuwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania, alisema kuwa jeshi hili ni Jeshi la Wananchi wa Tanzania. Jukumu lake la msingi ni kuwalinda Watanzania na kuilinda katiba ya nchi.
Kwa nyakati kama hizi ambazo dhuluma dhidi ya...
Wakuu,
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere (MNF), Joseph Butiku, amewataka Watanzania kupuuza taarifa zilizotolewa jana Oktoba 4, na mtu aliyejitambulisha kama Kapteni Tesha wa Jeshi la Wananchi (JWTZ), aliyetoa wito wa jeshi kuchukua hatua dhidi ya Serikali.
"Nilimuona ana ndevu...
Zingatia: "Hoja hizo zinatolewa na watu waliopo mazingira ya kijeshi"
Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linautaarifu umma wa Watanzania kuwa kumejitokeza baadhi ya watu wanaotumia mitandao ya kijamii kuweka maudhui yanayochochea kuingiza Jeshi katika...
Katika nchi yetu kuna chombo kikuu kilichopewa majukumu makuu mawili yaani
1. Kulinda mipaka
2. Kulinda Katiba
Katika kutekeleza majukumu hayo chombo hiki hakiwezi kurelegate majukumu yake kwa yeyote yule.
Mfano wa jukumu la kulinda mipaka ni pale Iddi Amin alipovamia nchi yetu na kutangaza...
Wakati dunia inazungumza kuhusu vita vya kisasa vinavyotumia teknolojia ya hali ya juu, jeshi la Tanzania bado limebaki nyuma likifanya mazoezi yasiyo na tija.
Badala ya kuwekeza kwenye zana za kivita za kisasa na mbinu za kijeshi zinazolingana na zama hizi, mara nyingi wanajeshi huonekana...
Niliwahi kusoma na vijana ya mataifa jirani, waliokuwa wanashangaa yaani kukaa wiki mzima hamjasikia milio ya bunduki ni ajabu, waliokuwa wanashangaa sana hapa kwetu, hii ni sifa kubwa kwa jeshi letu la ulinzi na usalama.
Hoja yangu kwenu sasa hivi kuna wimbi la kelele ambazo hazikuzoeleka "...
Wakuu asalaam !
Kwa mujibu wa sheria, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) iliundwa kwa lengo la kuchunguza, kuzuia na kupambana na vitendo vya rushwa nchini Tanzania. Inatakiwa iwe nguzo ya haki na mwanga wa matumaini kwa kila raia anayetafuta msaada dhidi ya dhuluma na...
Habari Tanzania !
Natamani sana siku moja ardhi hii ya Tanzania isimamiwe na kuangaliwa toka moja kwa moja ofisi za JWT.
Usalama wa nchi ni sambamba na ardhi. Kwa kuwa chombo cha JWTZ kinahusika na ulinzi wa mipaka ya nchi sio vibaya wakapewa jukumu la ulinzi wa ardhi.
1. Hakutakuwa na...
Kwa jinsi siasa za sasa zilivyo kuna uwezakano mkubwa kuwa mtoto wa raisi anaweza kusimama kama raisi na kufanya maamuzi na ku-control kila kitu kama yeye ndie raisi na msijue na hata asichukuliwe hatua za kisheria.
Hii inaweza kutokana na sababu nyingi sana kama vile uwepo wa rushwa, mahakama...
bunge
jeshijeshilawananchi
jinsi
kuchukua
kufanya
kufanya maamuzi
maamuzi
mfumo
mfumo wa utawala
mtoto
mtoto wa
muda
nafasi
raisi
tunahitaji
udhaifu
utawala
wananchi
wazi
Wakuu,
Moja ya Kazi yake sio kulinda Katiba ya nchi? Kwanini katiba ya nchi inasiginwa mchana kweupe na wao wapo wanaangalia bila hata kuchukua hatua yoyote?
Ni kweli wameamua kuacha polisi kuonea wananchi? Hili si Jeshi la Wananchi? Na wananchi si ndio sisi?
Au tafsiri ya wananchi ni...
Mashambulizi ni makali mno nchini Congo kati ya Jeshi la wananchi wa Tanzania eneo la goma jeshi la wananchi JWTZ limepoteza Askari wawili huku M23 wakishindwa kusonga mbele kutokana na mashambulizi mazito ya JWTZ yakiendelea idadi ya Askar wa M23 waliofaliki katika mashambulizi hayo imewekwa...
Historia ya Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ)
Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) lilianzishwa rasmi tarehe 1 Septemba 1964, baada ya kuundwa kwa Muungano wa Tanganyika Rifles (TR) na vikosi vingine vya kijeshi. Hii ilifuatia uhuru wa Tanganyika kutoka kwa utawala wa Uingereza mnamo 1961...
Nyuki wa Mama mpo?
Kama mnavyomuona kwenye picha Waziri wa Ulinzi akiwa beneti na Mama wakiangalia kwa makini hicho walichoambiwa ni cha kutazama katika ufunguzi wa zoezi la medani katika kuazimisha miaka 60 ya JWTZ, Msata-Pwani
Kwa utaalamu mkubwa alionao Bi Stergomena Tax akatumia kifaa...
Amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu ya kila asomae.
Kuna mtihani mkubwa umewakumbuka wananchi wengi Leo unaosemekana kusababishwa na gari ya jeshi kuharibika na kipande cha barabara kufungwa kwa muda usojulikana.
Kwenye Magari kuna wagonjwa ambao wanaenda hospital je hali zao itakuwaje?
Kuna...
Ni wakati mwongine tunashuhudia kauli za yule RC anayependa kumwaga damu akilielekeza Jeshi kufanya usafi jiji la Dar ambapo kwa mujibu wa kanuni na sheria Jeshi haliwezi kupokea amri kutoka kwa wanasiasa zaidi ya Bunge na Amiri Jeshi Mkuu.
Mkuu huyo wa mkoa ambaye hajaridhika na matokeo ya...
Sijawahi kuona bodaboda au vijana wa hovyo kama hao vijana wa Kawe aisee ni wajinga na wakora kupitiliza aisee kwanza ni wezi, makuwadi, wauza bangi na aina ya vitu vya hovyo kupitiliza.
Siwezi kusahau siku walionipora milioni mbili kwenye begi langu na mmoja ya watu waliohusika kunifanyia huo...
WAKILI MWABUKUSI ANATAKA MKUU WA MAJESHI AZUIE UVUNJIFU WA KATIBA.
"Nchi inaongozwa kwa mujibu wa sheria na katiba. Kazi ya kukamata wa halifu ni ya Jeshi la Polisi. Jeshi la wananchi halina mamlaka kisheria na kikatiba kuingia kufanya msako mitaani kwa kisingizio cha kutafuta sare zao. Jukumu...
Hivi kwa huu unyama unaotendeka hapa chini hili linafaa liitwe jeshi la Wananchi wa Tanzania au jeshi la Maharamia dhidi ya wananchi wa Tanzania?
CDF haya ndio mafunzo mnaowapa vijana wenu dhidi yetu Watanzania wenzao?
Ni sheria gani ya nchi na hapo jeshini inaruhusu huu upuuzi unaofanywa na...
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linatoa taarifa kuwa kuna habari ya uzushi iliyosambazwa na mtandao wa kiiamii wa Tanzania Abroad TV (TAT) kwamba Wanajeshi wa ngazi za juu wa JWTZ wameongezewa mshahara. Taarifa hiyo imeeleza kuwa ongezeko hilo limelipwa tarehe 18 Agosti 2023...
Pongezi nyingi ziende kwa wapambanaji wote kuanzia mashabiki, viongozi, benchi la ufundi na wanachama wote wa Dar es Salaam Young Africans kwa ushirikiano mkubwa wa kuisapoti timu yao.
Walistahili ushindi kwakuwa wameupiga mwingi mpaka ukamwagika, Master Nabi ni bingwa wa kumsoma mpinzani na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.